tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani kukosa umeme kwa nyakati tofauti

    TAARIFA KWA UMMA MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM Jumatano, 19 Februari 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na...
  2. R

    Uliwahi kuunguziwa kitu gani na matatizo ya umeme ya Tanesco (Kata washa, Umeme kufifia, n.k)

    Tv imepiga shoti, Radio imeungua, Simu imeasti, n.k. Kata washa - unaweza kuhisi kuna mtoto kaachwa anachezea swichi, umeme unarudi na kuwaka mara kwa mara Umeme kufifia - umeme unakuwa mdogo na hufanya vifaa visipate umeme wa kutosha,mfano taa zinafifia
  3. Tanesco wa Ziwa Tanganyika

    Leo kwenye pitapita zangu nikakutana na huyu mwamba! Jina lake limenipotea ila nimepata kusikia watu wakimuita TANESCO wa Ziwa Tanganyika. Wanadai anachezesha shoti za umeme hatari! Je ni kweli kuwa huyu samaki sio wa kumgusa ovyo kama unavyomgusa Sato ama Sangara?
  4. Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo. Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
  5. Hivi Makato ya Tanesco ya pango yamebadilika?

    Habarini wanajukwaa!! Nimepata kero hapa mpaka nashindwa kutatua, naombeni kufahamishwa. Ni hivi nimenunua umeme hapa Ila nimekatwa Makato ambayo sio stahiki Mana mara ya mwisho nilinunua November mwaka jana . Sasa Leo nimenunua wa 15000 nashangaa wanakata deni 10500 napewa umeme wa 4500 sawa...
  6. G

    Hivi hili deni ambalo Tanesco wanakata ukinunua Luku, wanakata kwa ajili ya nini?

    Habari zenu JF Naomba kuuliza mwenye kuelewa anijuze, nimenunua LUKU mwisho mwa meseji nimeona wameandika DEBT COLLECTED, Hili deni wanalokusanya ni deni Gani?, Kodi ya nyumba au ni Nini?,
  7. KERO TANESCO mbona mnakata sana umeme Mtwara?

    Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara. TANESCO mnaturudisha sana nyuma sisi ambao ni wajasiriamali tunaotegemea Umeme kujipatia riziki. Kwa siku umeme unaweza kukatika...
  8. Meneja Tanesco Karatu jiuzulu

    Imekua kero umeme Karatu mjini upo huku Endabashi mnakata hovyo na mnatuunguzia vifaa. Achia ngazi waje wanaoweza unakiangusha chama cha CCM
  9. Kwanini baadhi ya nguzo huleta matatizo kipindi cha mvua?

    TANESCO zamani nguzo za umeme hizi za milingoti zilidumu hadi miaka 20 na kuendelea kwa sababu licha ya treatment ya kuchemsha kwenye dawa, ziada ilikuwa 1. Shimo la kusimikwa nguzo kulimiminwa zege 2. Baada ya kuisimamisha nguzo ilishindiliwa kwa zege 3. Nguzo zilidumu kipindi kirefu sana...
  10. KERO Natamani kupata majibu kutoka TANESCO Chanika, Ilala kulikoni mnakata sana umeme huko? Shangazi yangu anaishi huko anadai umeme unakatika hata mara 10

    TANESCO Chanika, Ilala tunaomba ufafanuzi wa kwanini umeme unakatika sana Chanika mwisho pale eneo lote la Stand ya Mbagala Nina shangazi yangu anaishi Chanika mwisho anadai umeme unakatika sana kiasi kwamba wakazi wengi wanachoshwa sana na hilo tatizo Alinieleza umeme unakatika hata mara 10...
  11. Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje

    Wakuu Rais Samia akiongea kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika leo Januari 28,2025 Jijini Dar es salaam. "Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati, kupitia mpango wetu tunatarajia kuongeza kasi ya kuunganisha umeme nchini hadi kufikia...
  12. TANESCO wameturudisha nyuma miaka 10 umeme kukatika mara 5 Kwa siku

    Haya mambo tulisha yasahau Baada ya Magufuli kuingia madarakani alikomesha kabisa haya mambo Kama umeme ulikatika basi ni Kwa sababu za msingi na taarifa ilitokewa Lakini hili linaloendelea Kwa Sasa umeme kukatika mara 5 Kila siku bila ya sababu zozote za msingi tulisha yasahau haya Kama ni...
  13. M

    KERO Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.

    Jamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata. Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja unarufi dakika moja unakata, mtatuunguzia vitu bhana. Sasa imagine tangu saa kumi mpaka sasahivi umeme...
  14. KERO TANESCO wakazi wa Boko magengeni na viunga vyake mnatutesa kwa kutukatia umeme hadi usiku wa manane

    Tangu kuanza wiki hii TANESCO wamekuwa wakikata umeme bila taarifa kabisa kwa wananchi wa maeneo husika Boko magengeni, Bulemawe, Chama,Calfonia, Ndogondogo center na Mtambani. Mfano jumatatu, jumanne, jumatano wanakata umeme kuanzia asubhi unarudi usiku! Na ukirudi tena saa sita au saa 7 usiku...
  15. Pre GE2025 Tanesco yadaiwa kuhujumu Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Yakata umeme Lissu akihutubia

    Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo. Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator. Kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu M/kiti fuatilia LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya...
  16. Pre GE2025 TANESCO yaeleza sababu ya umeme kukatika Mliman City wakati Lissu akihutubia kwenye Uchaguzi wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA UMEME KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM Jumanne, 21 Januari 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kwamba hali ya upatikanaji wa huduma ya umeme katika Mkoa qa Dar es Salaam ni nzuri kwa ujumla licha ya kuwa na maboresho mbalimbali ya...
  17. KERO TANESCO Morogoro wanaongoza kwa uzembe, Wapewe tuzo.

    Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake. Napendekeza meneja wa mkoa apewe tuzo kwa niaba ya afisa mkataji mwandamizi. Kipindi cha JPM ukiwapigia simu umeme umekata...
  18. Generator ya TANESCO Mtwara kwani ile Diesel wanayotumia ni ghali

    Nafikiri ipo haja ya kuwaunga kwenye grid kama bado, kwani ile Diesel wanayotumia ni ghali sana ukilinganisha na gharama za umeme wa maji. Katika kipindi cha mahojiano Radio one jioni hii; Naibu waziri mkuu alituambia kuwa Generator inayotumika kuzalisha umeme ukanda huo inatumia lita za...
  19. M

    KERO Kwanini TANESCO hamtoi taarifa juu ya kukatika kwa umeme mpaka pale watumiaji wa huduma zenu wanapolalamika katika mitandao?

    Yaani hili shirika la umeme nchini Tanzania huwa linajiamulia tu kukata umeme pasi na kutanguliza taarifa kwa watumiaji wa huduma zake. Hutaona afisa habari wa shirika hili akitoa taarifa mpaka pale watumiaji wanapolalamika katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
  20. KERO TANESCO mkikata umeme jioni rudisheni kwa wakati

    Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye shuka ukitingisha tu kwa uwoga umepigwa na nyoka acheni izo mambo Af ilo treni la umeme nao a mda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…