tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. M

    Kafulila: Anayetaka kuwekeza TANESCO na aje,Tanzania inajengeka kwa Kasi mno mwaka 2050 tutahitaji zaidi ya Megawatt 60K wakati leo tuna Megawatt 4K

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika Kipindi Cha One on One Cha Wasafi TV amesema haya, " Tanzania katika miaka 25 ijayo inatarajia kujenga Uchumi mkubwa karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo...
  2. Revolution

    KERO TANESCO mtaunguza nyumba Kigamboni mnakata umeme mara 8 kwa siku

    Pamoja na kero ya kukatika kwa umeme inayoendelea katika Jiji la Dar es Salaam, Tanesco wanaweza kukata umeme na kuurejesha mara 8 au 10 kwa siku katika Manispaa ya Kigamboni. Hii ni hatari sana! Kwanini msiukate tu kisha kama kuna hitilafu ama mgao mkaurejesha baada ya kutatua tatizo? Mtakuja...
  3. M

    KERO Tanesco Mkoa wa Kinondoni Kusini- Kimara/Kibamba

    Tangu mwaka huu 2025 umeanza TANESCO wamekuwa na huduma mbaya ndani ya Mkoa huu wa kwao wa kiutendaji (KINONDONI SOUTH) hasa njia ya umeme ya kutoa huduma kuanzia Kimara mpaka Kibamba. Umeme Kila siku unakatika katika ndani ya muda mfupi na wakati mwingine kukatwa kwa muda mrefu kwa maelekezo...
  4. Hismastersvoice

    Tanesco tumeona matokeo ya mechi yenu

    Baada ya mechi ya Simba kuisha Tanesco mkachomoa fyuzi, hivi sasa saa 00:00 hamjarudisha umeme Mbagala Dar es Salaam, Sasa saa 00:04 mmerudisha umeme! Mungu awalaani.
  5. Waufukweni

    Dkt. Biteko awawashia moto TANESCO, adai "Mmezoea matatizo, hatutakubali!"

    Wakuu Kash Kash karibu na uchaguzi == Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi, mmezoea matatizo. Mwaka mzima matatizo, tunarudi nyuma. Siwezi kukubali hiyo biashara ya kufika mahali...
  6. T

    Dkt. Biteko ataka Uongozi wa Call centre ya TANESCO ufumuliwe

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu (call centre) ufumuliwe. Maagizo ya Dk Biteko kwa Tenesco ni kufuatia kutotekelezwa kwa maagizo yake ya aliyoyatoa mwaka jana ya...
  7. Upekuzi101

    TRC na TANESCO kuweni makini na SGR, iko siku itagoma kusimama

    Sitaki kusema natabiri ila napenda kuwatadharisha shirika la reli wawe makini na SGR, hayo makosa madogo madogo ya hii train kusimama simama bila kuelewa sababu za msingi, mara wakati mwingine utasikia umeme umekatika, kuweni makini ipo siku hii train itakataa kusimama, sijui kitakachotokea hapo...
  8. Lugano Edom

    KERO Ukiwatoa TANESCO, bado Idara ya Maji haieleweki kabisa linapokuja suala la bili zao

    Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu. Pongezi kwa TANESCO kwa mfumo bora wa LUKU. Lakini kwa upande wa Idara ya Maji na bili zenu, bado...
  9. CFX

    TANESCO Tuliwakosea Nini wakazi wa Mbozi bar, Majohe , Gongo la Mboto

    Tanesco
  10. Jerry Farms

    Kero: Huduma mbovu Ofisi ya TANESCO Kahama.

    Ni hali ya kushangaza sana na taratibu ya ovyo. Leo nimetembelea ofisi ya TANESCO Kahama, kwa issue inayohusu umeme...cha ajabu naambiwa nirudi nikapige simu nakuomba huduma nikiwa nyumbani...namba niliyopatiwa ni namba ambayo muda wote iko "busy" 0733105423 TANESCO KAHAMA MJITAFAKARI.
  11. D

    KERO Hivi TANESCO mna shida gani yani siku hizi umeme unakatika na kuwaka kwa siku hata mara 10

    Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa. Unakatika haipiti hata dakika wanawasha. Sijui wanalenga kutuunguzia vitu. Nina desktop hadi imeanza kuwa na wenge toka juzi.
  12. Transistor

    TANESCO wanakulipisha hadi taka za nishati ya nguvu ya umeme.....chukua hatua!

    Ukiwa unatumia vifaa vya umeme, haijalishi kama umeme unaotumia unaenda katika uzalishaji halisi au upotevu—vyote utavilipia. Hii ina maana kwamba Tanesco (kihalali) wanakulipisha: 1. Nguvu iliyotumika kukamilisha upatikanaji wa huduma yako, iwe mwanga, joto, kuwasha TV, n.k. 2. Nguvu...
  13. The Watchman

    MBEYA: Je, TANESCO na REA mmeishiwa nguzo mpaka mnafunga nyaya za kusambazia umeme kama kamba za kuanikia nguo?

    Hapa ni kitongoji cha Hasengo, kijiji cha Shibolya wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya, Ni jambo jema na tunashukuru huduma ya umeme imetufikia kupitia wakala wa kusambaza umeme vijijini REA, baada ya kutokuwepo kwa huduma hiyo muhimu tangu kupata uhuru wa nchi hii. Bila shaka usambazaji wa...
  14. M

    Nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77 na Token haziingii

    Tatizo ni kwamba, nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77" na Token haziingii. Kwa sasa ni zaidi ya wiki tatu naongea na watoa huduma wa ngazi mbalimbali wakiniahidi kuwa mafundi wa karibu watafika kutatua tatizo lakini hakuna kinachoendelea mpaka sasa. Kila nikiwapigia...
  15. Roving Journalist

    Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Nyamo-Hanga: Mashine tano Mradi wa JNHPP zimekamilika kwa 100% na zimeanza uzalishaji wa umeme

    Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa wasimamizi kuhakikisha usimikaji wa mashine nne zilizobakia unafanyika ipasavyo ili umeme...
  16. P

    Angalieni wenyewe Tanesco wanavyofanya kazi

    Leo ni wiki inafika na sijapata huduma. Update : Leo tarehe 21/12/2024 saa tisa na dakika 35 tanesco wamefika na wametatua tatizo Asante sana meneja asante sana mdau Sope suazo kwa kunipa namba ya meneja Asante mafundi walionihudumia Asante TANESCO
  17. Cute Wife

    TANESCO: Umeme kukatika usiku (Disemba 18, 2024) ni hitilafu katika gridi ya taifa

    Wakuu, Pale ambapo taarifa inakuja zaidi ya saa baada ya umeme kukata! Walikuwa wanasikilizia kwanza kuona muujiza ama? Nyinyi TANESCO na DAWASA Wizara ya Maji siku hizi hamna maana kabisa. Mbu kwa kushirikiana na joto, usiku utakuwa mrefu kweli leo! ====== TANESCO wamesema kuwa kukatika kwa...
  18. P

    Siku ya tatu leo, kariakoo katikati na sina umeme, tanesco wanasema wanakuja na hawafiki

    Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne? Kama kariakoo tu ni hivi huko vijijini ikoje? Hawajawahi kuwa serious
  19. A

    KERO TANESCO - Chanika, mtaa Wa Mazinda, mjitafakari mnakata umeme kila siku saa 1 usiku mnarudisha saa 5 usiku

    Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi.. "This is too much" Hii ni kwa zaidi ya miezi kibao huku nyuma yaani Chanika kwa MAZINDA nikama bado wapo miaka ya zamani sana...
  20. Mkalukungone mwamba

    Watu wanne mbaroni wakidaiwa kuhujumu miuondombinu ya Tanesco na SGR

    Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa vipindi tofauti wakidaiwa kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Shirika la Reli Tanzania (TRC). Mara kadhaa TRC imekuwa ikieleza kuwapo kwa baadhi ya watu wanaokula njama za kuharibu miundombinu ili kuzorotesha usafiri wa...
Back
Top Bottom