tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. TANESCO: Unit 75 kwa mwezi ni chache sana kwa maisha ya sasa ya technolojia

    TANESCO wanatakiwa kwenda na wakati unit 75 kwa mwezi kwa maisha ya sasa ni chache sana maana kwa sasa vitu basic vya umeme majumbani ni vingi mambo yamesha badilika na nyie mbadilike Mtu anatumia umeme kwa kujibana bana kisa anaogopa kuvuka unit 75 na wakati vitu alivyo navyo ni basic kabisa...
  2. KERO Siku ya tatu hatuna umeme Vikindu Kilongoni

    Ndugu zangu wana JamiiForums huko kwenu Hali ya umeme ikoje baada ya mvua? Huku kwetu tuna siku 3 mfululizo hatuna umeme maeneo ya vikindu kilongoni tumeshapiga simu weee jamaa wamekausha. Wengi Kula yetu inategemea ufanye kazi kwenye computer ndio upate riziki. Sijui hawa jamaa wanashida...
  3. Je! kuna Bifu kati ya staff wa tanesco na dawasa?

    leo nimeshuhudia sijui ni bifu au tuseme ni kituko gari ya tanesco yenye wafanyakazi ilipokutana na ya dawasa kwenye foleni Mwenge basi yakaanza matani dawasa wanaitwa chura nao wanawaita wa tanesco popo yakaanza matusi sasa 🤣🤣🤣
  4. TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi. TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja...
  5. Ndugu zetu TANESCO, tatizo nini tena?

    Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi. Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko matumizi yetu watanzania. Sasa haya ya kukatikakatika kwa umeme yanatokana na nini? Kama ni mgawo tena...
  6. Ilikuchukua muda gani mpaka kuunganishiwa Umeme na Tanesco?

    Mtaa ninamoishi una makazi mengi sana, tena watu hujenga kama vile wamavamia, ila ukweli ni kwamba watu wamejenga, siyo siri. Nikifikiria siku ninunua hapa, miji haikuwepo kabisa. Ilikuwa ni wazi, unaweza sema kwamba uwezekano wa watu kuja eneo lile haukuwepo, au isingechukua muda mfupi wawe...
  7. Zoezi la TANESCO la kubadili Mita limejaa Usumbufu, Utapeli na Ubabaifu

    Kwema Wakuu, Mimi ni mkaazi wa Kitongoji Kimoja wilaya ya Kinondoni hapa Dar es Salaam. Jumatatu nilipigiwa simu na watu wa TANESCO kunifahamisha kua Kwa kua number ya mita yangu inaanzia na 24... basi nitabadilishiwa mita hiyo kesho yake yaani juzi. Juzi Jumanne kweli walikuja asubuhi...
  8. J

    Profesa Tibaijuka: Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ila limeshindwa kuregulate mafuriko!

    Waziri wa zamani wa Ardhi ameandika ukurasani X kwamba Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Bwawa la Mwalimu Nyerere lakini pamoja na kuzalisha Umeme Bwawa lilitakiwa kuregulate mafuriko Limeshindwa Tibaijuka amesema Tudai kujua kwanini na kurekebisha tukitambua Hasara ya kutekeleza miradi...
  9. A

    TANESCO yakemea upotoshaji kuhusisha mafuriko Pwani na JNHPP

    TANESCO yakemea upotoshaji kuhusisha mafuriko Pwani na JNHPP DODOMA: SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limefafanua kuwa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) limechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza athari za mafuriko katika maeneo ya Wilaya za Rufiji na Kibiti, tofauti na...
  10. TANESCO: Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kuhusishwa na athari za mafuriko ya Kibiti na Rufiji ni kupotosha Umma

    UFAFANUZI KUHUSU ATHARI ZA MAFURIKO YA KIBITI NA RUFIJI KUHUSISHWA NA UJENZI WA BWAWA LA JULIUS NYERERE (JNHPP) Alhamisi, 11 Aprili 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma kuhusu athari za mafuriko yanayoendelea katika maeneo ya Wilaya za Rufiji na Kibiti...
  11. M

    TANESCO na Serikali walipeni watu fidia wahamishwe Rufiji. Bwawa la Umeme ni muhimu. Kila Mtanzania achangie fidia kwa kuongezewa 1000 kwenye Luku

    Bwawa la umeme Rufiji ni muhimu sana kwa nchi nzima. hivyo tunapaswa wa Tanzania wote kulilinda bwawa lisibomoke kwa kuchangia pesa za fidia ya kuhamisha watu wote wa rufiji maana umeme tunautaka wote Tanzania nzima Hali ya rufiji ni mbaya. nawaza tu kwa nini serikali isiwahamishe wakazi...
  12. Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini

    Serikali inatarajia kuwasha mtambo wa pili wa kufua umeme kwenye bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere pamoja na changamoto ya kuzidi maji katika bwawa hilo. Mkurugenzi wa Tanesco kanda ya mashariki, Kenneth Boymanda amesema majaribio yanaendelea ambapo mtambo huo unaojulikana kama mtambo namba nane...
  13. Dkt. Biteko: Watendaji wazembe TANESCO kuanza kuchukuliwa hatua kila mwezi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma kwa Wateja ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ianze kutolewa kila mwezi ili kufahamu maeneo yenye changamoto ya umeme nchini na kurahisisha watendaji wazembe kuchukuliwa hatua...
  14. N

    TANESCO imetosha sasa, huu umeme wa kushituashitua namna hii bora usiwepo maana upo ila hatuwezi kuutumia

    TANESCO, Huu ndio umeme mmeona leo mtulee watu wa Mbezi mwisho kweli, hivi mna nini nyie? Hapo ukute kwenye ripoti zenu mmejaza Mbezi wana umeme ndio huu? Sisi tutaufanyia nini iwapo hata taa tu inasumbuka kiasi hiki? Au mnalengo la kutuunguzia vitu, maana ukitulia dk 5 unaaanza kwa spidi a...
  15. Kukatika umeme Pasaka, TANESCO mnatupiga changa la macho, ni uzembe

    Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema. Umeme ulikatika karibia nchi nzima. Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko kunatokana na maji "kuzidi" na mitambo kujizima. Maelezo hayo kimsingi hayana maana kabisa...
  16. V

    Dotto Biteko: Tumezima mtambo wa bwawa la Mwl Nyerere

    AFRIKA tuna shida jamani. Sasa inabidi tumwombe Mungu apunguze mvua. Mitambo inazama majini. Serikali imeshtuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua inanyesha kali viunga hivyo. Wakati wana dizaini bwawa hawakujua kuna siku mvua zitapiga, hakuna provision ya kuchepusha maji...
  17. Waziri Biteko aagiza watumishi wa TANESCO waliokuwa likizo ya pasaka warudi haraka

  18. Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Tuliambiwa mgao wa umeme sasa basi! Hali tangu jana ni hii, vipi nyie huko kwenu? ==============
  19. Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko afichua orodha ya matendo ya uhujumu wa miundombinu ya TANESCO

    Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu 1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’ 2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe...
  20. TANESCO Hamko serious hata kidogo

    Nimegundua mita yangu haikati umeme hata unit zikiisha, ni mpya kabisa na imefungwa kwenye nguzo yao ya umeme. Wamefunga mita za nyumba kama 4 kwenye nguzo hiyo, kwahiyo tunatumia vile vi remote ku control. Sasa baada ya kubaini hitalafu hiyo jana nikaenda kwenye ofisi yao kuripoti, mhudumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…