Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Tangia saa 2 asubuhi leo huku Halmashauri ya wilaya ya Meru TANESCO wamekata umeme mpaka sahizi. Kwanini umeme ukatwe kwanza bila taarifa? Na mpaka sahizi?
Kuna tatizo gani. Kwanini Huu utaratibu usio wa kistaarabu? Huyu meneja wa TANESCO wilaya ya ARUMERU afuatiliwe, kama vipi akae pembeni
TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA
📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme
Benaco - Kyaka
Na Charles Kombe, Dar es Salaam
Shirika...
Miezi kadhaa iliyopita, tulikumbwa na janga kubwa la mgao wa umeme ambalo lilileta usumbufu wa kila aina kwa Watanzania. Watu wakawa 'frustrated' na umeme ukawa ndo story kila kona na mitandao ya kijamii.
Mvua ikaanza kunyesha na tararibu kadhia hii ya umeme ikaanza kupungua, na kwa sasa...
Toka jana mida ya Saa 8 usiku hakuna umeme, ukarudi kwenye saa 11 na kukatika tena hadi sasa
Ubaya ni kuwa hakuna taarifa yoyote kutoka TANESCO kuhusu changamoto ya iliyosababisha katizo la Umeme
Kwanini TANESCO hamtujali wateja wenu? Unakataje Umeme kwa zaidi ya Saa 6 bila kutoa Taarifa?
Na...
Wiki kadhaa zilizopita TANESCO walikuja kwangu kubadili mita (niliwaita kutengeneza kutokana na mita kuwa inajizima yenyewe, walipoitazama wakasema lazima iwekwe mpya) hivyo wakasema watakuja watu wataoweka hiyo mita.
Kesho yake mapema wakaja watu wengine kuniwekea mita, wakaangalia umeme...
MABORESHO YA MITA ZA LUKU KWA WATEJA WA TANESCO KANDA YA ZIWA NA KANDA YA MAGHARIBI
Jumatatu, 27 Mei 2024
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara, Geita, Simiyu, Tabora, Katavi na Shinyanga kuwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU litaanza...
TANESCO hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji.
Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA...
Kucheleweshea wateja wa service line wanaohitaji nguzo imekuwa changamoto sana kwetu wateja
Sababu kubwa ikiwa ni upungufu wa vifaa.
Kweli wasimamizi wa taasisi mmeshindwa kulisimamia hili jambo au shirika limezidiwa?
Wakazi wa wilaya ya Morogoro eneo la Mkuyuni tumewakosea nini, kila siku iendayo kwa Mungu lazima mkate at least sekunde mbili au tatu na mida yenu ya kukata ni kuanzia saa mbili hadi nne.
Mmeshatuunguzia vitu hadi imetosha sasa, yaani inakuwa kero. Ni service gani mnafanya kila siku muda ule...
Anonymous
Thread
changamoto ya umeme
kukatika kwa umeme
mgao wa umeme
shida ya umeme
tanesco
📌Matumizi ya wakandarasi wasio na utaalamu (Vishoka)kutandaza nyaya (wiring)pasipo kuwa na utaalaamu wa kufanya hivyo
📌*Matumizi holela ya vyombo mbalimbambali vinavyohitaji kutumia nishati ya Umeme visivyotengenezwa kwa ubora
📌Matumizi Mabaya ya Nishati zingine vyatajwa kuongoza kama chanzo...
KATIKATI YA KIPINDI TANESCO WANAZIMA
Mahojiano yamepamba moto camera zina "roll," mara paa umeme umekatika.
Kiza totorooo...
Jicho la camera kama jicho la binadamu halioni kwenye kiza.
Mfikirie mtangazaji anatakakiwa kipindi kiwe hewani leo usiku.
Jua lishavuka mpaka sasa linaanza safari ya...
Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo
nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
Wakuu natafuta wanasheria mzuri anaeijua kazi yake, ili tufungue kesi dhidi ya shirika la umma TANESCO, kutokana na hasara walionisababishia kwenye biashara yangu ya bucha la samaki wabichi, walikata umeme toka jana asubuh tarehe 14 bila taarifa na hawakurudisha hada saa 2 usiku tena dakika 5 tu...
Wakuu kichwa cha habari nadhani kinajieleza vya kutosha.
Hakuna uharibifu wowote nilioupata upande wa vifaa kutoka na "Hitilafu" hii ya umeme lakini dili zangu zinaharibika sababu ya hitilafu hiyo.
Kazi nyingi zinategemea umeme, unapata dili fresh, unapokea advance na kazi inabidi ikamilike...
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama Buguruni.
2. Songas ilianzishwa kwa mtaji wa Dola milioni 306, yaani 75% ( Serikali ya Tanzania kupitia...
TUWAANDAE WATANZANIA KUTOITEGEMEA TANESCO
UTANGULIZI
Nchi yetu imepitia katika matatizo ya mara kwa mara ya ukatikaji wa umeme na mgao wa umeme kwa nchi nzima takribani miaka 30 sasa.Kwa miaka hiyo 30 Serikali zote zimekuwa na ahadi zenye matumaini ya kutatua kabisa changamoto ya...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo.
TANESCO wanasema Juhudi za...
Tunapozungumza leo, uwekezaji uliopo nchini wa viwanda na migodi (Mfano Mgodi wa Geita kwa siku moja unatumia umeme wa Mkoa mzima wa Njombe, huo ni mgodi mmoja tu je tuna migodi mingapi?, hapo hatujazungumzia Viwanda na matumizi binafsi).Vilevile namna serikali ilivyosambaza kwa ukubwa Umeme...
Nimechangia Bungeni namna mahitaji na matumizi ya Umeme yalivyoongezeka nchini, wakati TANESCO inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa ndogo, usambazaji wa umeme ulikuwa kwa kiwango kidogo.
Tunapozungumza leo, uwekezaji uliopo nchini wa viwanda na migodi (Mfano Mgodi wa Geita kwa siku moja unatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.