tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. S

    KERO TANESCO wilaya ya Arumeru Kikatiti kwanini mnatunyanyasa? Hatuna umeme tangu asubuhi

    Kikatiti wilaya ya Arumeru leo tumekuwa tukikatiwa umeme tangia asubuhi kuna nini? Sahivi tuko gizani, what's going on? Tunaomba umeme vinginevyo tupeni taarifa kuna nini. Soma Pia: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?
  2. E

    UMEME 'KUSHTUKA', TANESCO WATUPE UFAFANUZI...

    Nimetumia neno 'kushtuka' kwa sababu huu si ukatikaji wa umeme uliozoeleka. Kwamba kwa siku za karibuni nimeshuhudia umeme ukikata na kurudi kwa sekunde moja au mbili; na hii imetokea zaidi ya mara tano katika kipindi cha saa 12. Hali hii nimeishuhudia nikiwa nimejituliza nyumbani siku ya...
  3. Ghiti Milimo

    TANESCO, mmefuta ile bei nafuu kwa watumiaji umeme mdogo?

    Wadau, salaam! Mi nipo kanda ya ziwa. Nina kiduka, ambacho kinafanya shughuri za ki fedha, yaani, wakala wa Benki mbali mbali, na pia, makampuni ya simu. Pamoja na wateja wa kutoa na kuweka fedha, wapo wa kununua Luku, pamoja na kulipia maji. Sasa, toka mwezi huu wa Septemba uanze, nimekuwa...
  4. Mindyou

    Njombe yanusurika kuingia gizani kisa moto kuwaka kwenye kituo cha kusambaza umeme

    Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo. Mara tu baada ya kudhibiti moto huo, Kaimu meneja wa TANESCO mkoa wa Njombe Mhandisi Lazaro Bartazai alidokeza kuwa hakuna athari...
  5. Kahtan Ahmed

    Je, haitoshi kusema Rais Samia ameshindwa kuwa bora sababu ya huduma mbovu ya umeme?

    Sijui ila kwa akili zangu naweza kusema kuwa kama sekta muhimu na mhimili wa maendeleo ya Tanzania TANESCO kushindwa kufikisha malengo ya wananchi ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, je, sekta nyingine zina hali gani? Binafsi akili yangu inanituma kusema Rais Samia ameshindwa kwani TANESCO ni...
  6. Roving Journalist

    TANESCO- Simiyu yatuma Wataalam kufuatilia changamoto ya umeme Kata ya Muamatondo - Bariadi

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mkazi wa Bariadi katika Kata ya Muamatondo amedai kunachangamoto kubwa ya kukatikakatika kwa umeme hasa katika Kijiji cha Mwasinasi. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana...
  7. mwandende

    KERO TANESCO kupitisha NGUZO NA WIRE ZA UMEME bila kumshirikisha mwenye shamba ni sawa?

    Habari wakuu, Mimi nina eneo langu kibaha ,maeneo ya serikali ya mtaa viziwaziwa shuleni,, Ukubwa wa eneo ni nusu hekta.. Shida niliyonayo ni kwamba ,,nimekuta TANESCO KIBAHA wamepitisha wire za umeme shambani kwangu ili kumpatia jirani nafasi ya kujenga eneo lake bila kunishirikisha wala...
  8. A

    KERO Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana

    Huku Bariadi kata ya Muamatondo hasa kijiji cha Mwasinasi umeme umekuwa kero toka wakati wa mgao hadi kuwashwa kwa mitambo ya Bwawa la mwl Nyerere. Yaani kwa siku wanakata hata zaidi ya mara saba, kibaya zaidi hatuambiwi shida nini. Toka jana Jumamosi asubuhi mpaka leo saa tisa na robo Jumapili...
  9. A

    DOKEZO TANESCO Tarime siyo waadilifu, bila kutoa rushwa huunganishiwi umeme kwa wakati

    TANESCO wilaya ya Tarime wamekuwa siyo waadilifu kutekeleza majukumu yao, inashangaza wateja wanalipia toka mwezi wa pili mwaka 2024 mpaka mwezi huu wa nane hawajaunganishiwa umeme! Ukienda ofisini kuuliza wanakwambia nguzo hazipo ama vifaa vyako havijafika huku wengine wanalipia na...
  10. D

    TANESCO lini watakuwa na akili? Unalipa kuunganishiwa tangia jana mpk sahz hakuna ht uthibitisho wa malipo

    Nilijisajili kuunganishiwa umeme ikiwa ni kuletewa nguzo 2. Nikatumiwa control number ya malipo baada ya kufanya survey kuwa nitume Tsh 697,000/=. Mpaka muda huu ujumbe ni ule wa mwanzo tu kuwa malipo yako yanashughulikiwa na utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha malipo yako. Siku ya 2 hakuna...
  11. M

    Tanesco Mungu anawaona. Mlisema umeme mnaturudishia saa 12 jioni leo.

    Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo. Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo bize na shughuli zake binafsi za ujasiriamali halafu muda wote ni kuchomekea tu na tai. Injinia gani...
  12. K

    Bi. Irene Gowelle: Tarehe 26 Agosti, 2024, TANESCO inaanza Maboresho ya LUKU katika Kanda ya Kati na Kaskazini

    Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bi. Irene Gowelle akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mha Gissima Nyamo-Hanga kutoa taarifa ya zoezi la Maboresho ya mfumo wa LUKU kwa wateja wa Kanda ya Kati...
  13. K

    TANESCO: Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme

    RAIS SAMIA AMEFANYA UMEME KUWA SI ANASA- KAPINGA 📌 *Tanzania kufuta historia ya Vijiji kutokuwa na umeme 📌 Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme 📌 Wananchi watakiwa kutunza miundombinu ya umeme Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya...
  14. K

    Mgodi wa GGML waaanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. Sasa watatumia Umeme wa TANESCO badala ya Mafuta

    MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA 📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) 📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali 📌 Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa 📌 TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 hadi 3 kwa mwezi Naibu Waziri...
  15. Aramun

    Tetesi: NMB, CRDB, TRA, TANESCO, TPA na wadau wengine wa "Executive Category" kujitoa NHIF.

    Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF. Kama ilivyokuwa zamani haya mashirika yalikuwa yanatumia mifuko mingine ya bima za afya kama Strategis na...
  16. Teremaro

    Msaada: Umeme unatumika sana wakati nina matumizi ya kawaida, tatizo itakuwa nini?

    Habari ndugu wana jamii forums, naombeni ushauri kwa wataalam wa mambo ya umeme. Nyumba yangu ni ya vyumba vitatu, natumia umeme kwenye taa, feni, tv, fridge na heater mara moja moja. Umeme naweka wa elfu 50000 ila haumalizi mwezi! Pia soma: Vitu vyangu vya umeme vimeungua na umeme wa TANESCO...
  17. A

    Tumechoka wananchi wa Karagwe na mamlaka za TANESCO pamoja na TCRA

    Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika. Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme...
  18. D

    TANESCO, Usa-River Arusha kuna mgawo wa umeme?

    TANESCO Wilaya ya TANESCO Usa-River Arusha tangia juzi ikifika saa 12 jioni mnakata umeme, vipi kuna mgawo? Au ni kwamba hamsikii raha bila kutukatia umeme. Meneja wa hapa km siyo mchawi basi ana roho ya kichawi maana mojawapo ya malengo ya uchawi ni kutesa wenzako.
  19. Pdidy

    Asante TANESCO Vipindi vinaonyeshwa kwenye TV vinasaidia sana

    Muda huu nangalia kipindi ITV TANESCO wanaelezea kuhusu namba za marejesho. Na mchana nikapigiwa mzigoni umeme umekatika bahati na nunuaga LUKU nahifadhi. Nikawapa wakaweka kumbe Baba Mkubwa naye ashanuua kazini kapewa na namba namba za maboresho. Jamaa wanasema kama ulishanunua huko nyuma ya...
  20. D

    KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

    Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya...
Back
Top Bottom