Hisa za Tanga Cement PLC (TCCL) ziliongoza shughuli za biashara katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyopita baada ya dili kubwa la mabilioni ya shilingi kufanikisha Scancem International DA kukaribia lengo lake la kuongeza umiliki katika kampuni hiyo ya saruji.
Alhamisi, Agosti 7...