tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Financial Analyst

    Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

    Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa. Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi. Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo...
  2. kavulata

    Mapindizi cup Tanzania Bara imedhalilika

    Ni mashindano ya kuidhalilisha Tanganyika na watanganyika. Imefungwa Kila timu.
  3. kavulata

    Hakuna Tanzania bara Kuna Tanganyika.

    Ziliungana Zanzibar na Tanganyika sio Zanzibar na Tanzania bara. Tanganyika tunakwama wapi? Sio sawa kuita Tanganyika kwa jina la Tanzania bara kwasababu hata Tanganyika Kuna visiwa vingi pia kama vile Mafia, Mbuja, ukerewe, nk. Tanganyika inahitaji kuombewa ili ijitambue.
  4. Mandingo

    Tanganyika yaitwa Tanzania Bara Azam tv!

    Nimeumia sana kuona Zanzibar ipo ila Tanganyika imebatizwa jina la ajabu eti Tanzania Bara!!!
  5. Damaso

    Je, Kwa Nini Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Ni Kilimanjaro Stars Badala ya Tanganyika Heroes?

    Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
  6. Mshana Jr

    Leo katika historia Tanganyika

    Hii ndio ilikuwa Bendera yetu, na katikati ya Bendera ni Ngao ya Jamii (Coat of Arms) ya Nchi yetu enzi tunaitwa Deutsch-Ostafrika (Ujerumani ya Afrika Mashariki) miaka ya 1885 mpaka 1918. Wakati huo nchi ilikuwa na eneo la Mita Square 994,996 Km² ndani yake kuna Burundi na Rwanda, na Eneo la...
  7. B

    Kagunga Kasekese Tanganyika Tanzania

    Kijiji cha Kagunga Kata ya Kasekese Wilaya ya Tanganyika 50211 WAKULIMA WAANGUA KILIO KWA RAIS SAMIA WAFYEKEWA MAHINDI YALIYOZAA https://m.youtube.com/watch?v=__MWE5flqWo Wananchi walia kunyanyaswa wapigwa, wabebeshwa matofali kijiji cha Kagunga, kata ya Kasekese Tanganyika. Fidia bado...
  8. B

    Sultani wa Zanzibar alikaa Tanganyika kwa siku 5 kabla ya kuelekea Uingereza kwa hifadhi ya kisiasa

    SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR. Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan Jamshid. TOKA MAKTABA: AIISHUKURU SERIKALI YA TANGANYIKA KWA KUMPA NJIA YA KUPITA KUELEKEA...
  9. Mohamed Said

    Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Nne na ya Mwisho

    https://youtu.be/7hdr_NWa6mk?si=iZwFvEiOtXV3lK35
  10. Mohamed Said

    Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Tatu

    https://youtu.be/iCuOj7ppe5E?si=QeKMvxp0WqOpAzUi
  11. Mshana Jr

    CHADEMA imeiteka Tanganyika

    Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike! Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions. Ni kama...
  12. Mohamed Said

    Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/CeBBijxdjwg?si=3wUQnU1BEJOgcM_N
  13. Mohamed Said

    Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir Mufti wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZY0ozVzGzXo?si=7u9N3U8Ky8qlgefs
  14. M

    Wanasiasa wa Tanganyika ni tamaa ya madaraka na wanakosa subra tofauti na Zanzibar

    Tamaa ya vyeo, mfuragano nakukosa subra ktk vyama vya siasa 1. NCCR 2. TLP 3. CUF bara 4. Hivi sasa chadema Siasa wanaona mchakato wa siku 1 , 2 au 3
  15. Mindyou

    LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika aonya viongozi wa Serikali Za Mitaa kutojihusisha na uuzaji wa ardhi

    Wakuu, Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Onesmo Buswelu amewataka viongozi wa Serikali za vijiji na vitongoji kutojihusisha na uuzaji wa ardhi katika maeneo yao. Hayo yamejiri katika kikao cha halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) katika wilaya hiyo ambapo mbunge wa jimbo la...
  16. Mlalamikaji daily

    Zanzibar kwenye sikukuu ya Idd mwezi Aprili walilipwa mshahara tar 16. Huku Tanganyika Christmas mshahara hakuna

    Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!! Ila ona huku mpaka leo kimya.. Tujikumbushe hapa Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
  17. Pang Fung Mi

    Kwa faida ya Tanganyika ijayo ipo haja kwa watanzania wote wafurahie Tundu Lissu kuomba nafasi ya Uenyekiti Taifa wa CHADEMA

    Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja mbeleni kwenye maeneo kadhaa ambayo sipaswi kuyasema. Demokrasia ndani ya CHADEMA ni chachu ya...
  18. R

    Tuweke rekodi sawa, Kuna bendera ya Taifa duniani inayovutia kama ya Tanganyika?

    Zipo bendera za Taifa duniani zenye kuvutia, Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika? Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani . Nawasilisha, Karibuni🙏
  19. GoldDhahabu

    Happy Tanganyika Day!

    Japo sikuwa nimezaliwa, lakini kupitia vitabu nimefahamu kuwa tarehe kama ya leo ndiyo siku nchi yetu ya Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni mweupe! Kwa furaha kabisa nawatakia Watanganyika wote heri ya siku ya uhuru wa nchi yetu ya Tanganyika! Happy Tanganyika Day!!!
  20. Waufukweni

    Makundi mbalimbali yaadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kutunza mazingira

    Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru, mikoa mbalimbali nchini imejitokeza kushiriki shughuli za kutunza mazingira, ikiwemo kufanya usafi na kupanda miti. Mkoani Morogoro, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana na Kikosi cha Mazao Mzinga na wadau wa mazingira wamepanda miti 7,000...
Back
Top Bottom