Hii ndio ilikuwa Bendera yetu, na katikati ya Bendera ni Ngao ya Jamii (Coat of Arms) ya Nchi yetu enzi tunaitwa Deutsch-Ostafrika (Ujerumani ya Afrika Mashariki) miaka ya 1885 mpaka 1918.
Wakati huo nchi ilikuwa na eneo la Mita Square 994,996 Km² ndani yake kuna Burundi na Rwanda, na Eneo la...