Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!
Miezi miwili iliyopita kiliuzwa kituo cha mabasi madogo ya abria maarufu kama simu 2000.. Tulipiga kelele za hapa na pale...