tangaza

  1. R

    Tangaza biashara yako kwenye mji wako kwa sauti (audio advertising) kwa shilingi mia tano tu

    Tangaza biashara au tangazo lolote halali la sauti lisilozidi dakika moja kwa shilingi 500 tu. Rekodi tangazo lako kwa simu au njia nyingine na uweke namba za mawasiliano kwa kuzirudia mara tatu. Taja mji unapotaka tangazo lisikike. Tunatumia mobile loud speakers kutangaza. Pm au tuma ujumbe...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia: Sitangazi hadharani kiasi cha Ongezeko la Mshahara ili wafanyabiashara wasipandishe bei

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) leo tarehe 01 Mei, 2023 mkoani Morogoro. Rais amewasili uwanjani akiambatana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson pamoja na Viongozi wengine wa...
  3. Msee Paka

    Tunadarizi na kuchapa t-shirts/shirts

    Huduma nzuri na bora ya kutengeneza, kudariz na kuchapa logo/nembo kwenye t-shirts na shirts kwaajili ya wafanyakazi/wanafunzi na matukio mbalimbali. BEI; Kudarizi ni sh 13,000@ pamoja na t-shirt (Original form sx) na kuchapa/printing ni sh 11,000@ pamoja na t-shirt (Original from sx). Karibu...
Back
Top Bottom