Tangazo la TONE TONE la CHADEMA la sasa linaonyesha zaidi ufahari na lenye kuwakilisha mazingira ya tabaka la mjini na kishua zaidi. CHADEMA, halina msisitizo na msisimko wa wale mnayopigania au kuhitaji kutoka kwa jamii.
TANGAZO: NATAFUTA DALALI WA KIWANJA
Natafuta dalali wa kusaidia kuuza kiwanja changu kilichopo Bukoba Mjini. Kiwanja kina eneo zuri, kipo kwenye mahala pazuri kwa makazi au biashara, na kina hati halali.
Dalali anayejua soko la viwanja Bukoba na anaweza kupata mteja haraka awasiliane nami...
Nafasi: Wasaidizi wa Kukusanya Data za Wateja
Eneo: Mwanza Mjini
Muda wa Kazi: Mwezi Mmoja
Mwisho wa Maombi : 27-02-2025
CollectTech Limited inatangaza nafasi za muda kwa vijana wanaoishi Mwanza Mjini kwa ajili ya kazi ya kukusanya data za wateja.
Sifa za Mwombaji:
• Awe mkazi wa Mwanza...
Wakuu kwema…
Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.
Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.
Mdau mwingine akasema yeye...
HABARI WANA NDUGU
NINEANDIKA HUKU BAADA YA KUSHAURI HII TV WAONDOE HILO TANGAZO
TANGAZO LIKO HIVI
ANATOKEA MWL WAO ANASEMA INAKUPA NN MWANAO KUFAULU KWENDA FORM FIVE BILA KUWA NA NIDHAMU
INAKUPA NN MWANAO KUPATA DIV ONE BILA KUWA NA NIDHAMU
NILIPOCHOKA WANAONYESHA MATOKEO YAO HAHA WANA DIV...
Kuna tangazo moja la kampuni ya Yas,Mtu mmoja anadai ni mkazi wa kijiji kimoja kule wilayani Mkinga,Tanga anajinadi kwamba ameshinda bahati nasibu ya kampuni ya Yas kupitia promotion ya Giftishe na magifti na anajitaja kwa jina sijui Athuman Athuman na baadaye anasikika mama yake naye akishukuru...
Tunatafuta mtaalamu mwenye ujuzi katika Graphic Design na Digital Marketing kwa ajili ya kujiunga na timu yetu. Mtu anayefaa kwa nafasi hii anatakiwa kuwa mbunifu, mwenye uelewa mzuri wa masoko ya kidijitali, na uwezo wa kuandaa maudhui yanayovutia.
Majukumu:
Kubuni na kutengeneza nyenzo za...
Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu
Si mbaya tukayasahihisha
Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma
ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024 badlaa ya 2025
Naamini tutaona tofauti
Thx
Wakuu naomba kueleweshwa, nimekutana na baadhi ya matangazo ya kazi ambayo Yana kigezo kimojawapo cha muombaji kuwa ni mwajiriwa na aambatanishe barua yenye muhuri kutoka ofisi aliyoajiriwa.
Sasa nikajiuliza inamaana hawaoni wasiokuwa na ajira ni wengi mtaani? Ama hawaamini kupata mfanyakazi...
Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam .
Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira
Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira .
Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
🇹🇿TANGAZO TANGAZO.🇹🇿
Kwa wale mnaokuja kula christmas vijijini zingatia yafuatayo:
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia.
2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako...
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo.
2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka.
3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
Poleni na kazi wakuu,
Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote anayemiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari.
Napatikana
Dar.
Anahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu.
MAJUKUMU
-Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha (Financial services)
-Kuandaa ripoti na hesabu za ofisi
-Kubuni na kuteleza mikakati ya kuipanua na...
Habari! Karibu kwenye jukwaa la jamii yetu! Leo tungependa kujadili safari ya kutembelea Chemka Hot Springs. Kwa kufanya hivyo, wageni watajipatia fursa nyingi muhimu. Kwanza kabisa, kutembelea Chemka ni njia nzuri ya kupumzika na kujiondoa mbali na msongamano wa maisha ya kila siku. Pia, wageni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.