tangazo

  1. BLACK MOVEMENT

    Tangazo la Wizara ya Ardhi la Rais kutwaa ardhi Dar ni matokeo ya Mipango miji ya kisiasa. Nchi haileweki wala haina plan za miaka hata 20 ijayo

    Wakati wenzetu wakiwa na plan za miaka 100 ijayo Bongo tuna plan za wiki 5 zijazo. Nchi ina plani za kisiasa na ziko Surported na wajinga hili Taifa la Tanzania. Tanzania kuna plan za wiki chache mbele, kila mara ni Bomoa hiki weka hiki, badili hiki weka hiki. Mfano Chukulia ujenzi wa kituo...
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

    Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
  3. Brojust

    Creative Directors mmeona tangazo la Yas na Mixx by Yas?

    Habari za mchana huu. Dah nimelifuatilia tangazo la YAS na MIXX BY YAS. Yaani chini ya sekunde sitini mtu anakupa content ya maana na kueleweka. Maana mpaka sasa kwa matangazo ya kwetu hasa mitandao ya simu wanatumia wasanii ambapo wakati mwingine mimi naona huwa wanaharibu. Sasa link yake...
  4. D

    Ongezeko la 2% ya Pensheni kwa wastaafu ni kejeli ya karne

    Wastaafu kote nchini tumeshtushwa sana na tangazo la ongezeko ya pensheni kwa asilimia 2% kuanzia 2025 lililotangazwa na Waziri Kikwete (jnr). Itakumbukwa kwamba ongezeko hili kiduchu kwa rekodi linafanyika baada ya kupita karibu miaka 10 i.e. enzi za Rais Kikwete na Waziri Mkuya walipoongeza...
  5. B

    Wizi

    TANGAZO LA KUIBIWA Ningependa kuwataarifu umma kuwa nimeibiwa vitu vifuatavyo: 1. Laptop (2) Aina: "HP Pavilion, & HP Hewlett Rangi: ( moja ina rangi ya kijani na nyingine ina rangi ya silver 2. Vyeti vya Taaluma *cheti cha Diploma in records and archives management *cheti cha computer...
  6. N'yadikwa

    PICHA: Kama unalijua hili tangazo, punguza ulaji wa chumvi na sukari, ongeza mazoezi

    Kama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk
  7. Crocodiletooth

    Nani amelielewa tangazo hili la Bank of Tanzania (BoT), atufafanulie!

    Tangazo ni hili -- TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOA KWENYE MZUNGUKO NOTI ZA ZAMANI ZA SHILINGI YA TANZANΝΙΑ Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuhusu zoezi la kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi ishirini (20), mia mbili (200), mia tano (500), elfu moja (1000), elfu...
  8. milele amina

    Kuuliza sio ujinga: Kuweka picha kwenye tangazo bila jina la mhusika, inamaanisha Nini au unatuma ujumbe gani

    JF Ninaomba kueleweshwa
  9. M

    Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiand

    Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu, akapandaa juu ya sturi akafungua dari na kuchukua kitabu kama kava hivi halaf akatoa condom...
  10. Determinantor

    Hili Tangazo la utumishi kuhusu uhamisho ni la kibaguzi

    Nasikitika Sana kuona "maelekezo" ya Tangazo hilo kuhusu Watumishi kuhama kuwafuata wenzi wao likiwabagua Wenza ambao sio waajiriwa WA sekta binafsi au waajiriwa wa Serikali. Eti ili uweze kuhamishiwa kwa mwenzi wako LAZIMA wote muwe Serikalini, sasa Mimi ambaye sio mwajiriwa ila mwenzi wangu...
  11. Championship

    IDF inakaribia kuandaa tangazo kwamba Iran haitaweza tena kufadhili ugaidi kwa miaka 200 ijayo

    Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years" Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran. Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya...
  12. R

    Tangazo la Kazi: Graphics Designer & Motion Artist

    Tunatafuta Mbunifu wa Picha na Sanaa ya Mwendo kujiunga na timu yetu. Muhitaji anapaswa kuwa na ujuzi wa kudesign "mockups" kwa miradi mbalimbali, michoro ya 3D, michoro ya kawaida ya 2D, na kutengeneza picha zinazotembea za GIF kwa matumizi ya tovuti. Majukumu: 1. Kuunda michoro ya 2D na 3D...
  13. R

    Tangazo la Kazi: Content Creator kwa Video na Picha

    Tangazo la Kazi: Content Creator kwa Video na Picha Tunatafuta mtu mwenye kipaji na ubunifu kwa ajili ya nafasi ya Content Creator wa Video na Picha. Kazi hii inahitaji mtu mwenye ujuzi wa kuunda na kuhariri maudhui ya kuvutia kwa njia ya video na picha. Mahitaji: Uzoefu katika kurekodi na...
  14. kavulata

    Yanga Jezi mpya safi sana, lakini tangazo la mgongoni limezichafua sana.

    Tangazo la BOOST limewekwa vibaya kwenye karatasi nyeupe na kubwa mno kiasi kwamba limechafua jezi. Jezi za 45,000 kila moja lakini watu wanaogopa kuzivaa kwasababu ya mtangazo mkuuubwa sana ulibandikwa vibaya mgongoni. Tangazo lile la mdhamini lirekebishwe ili kuboresha muonekano wa biashara...
  15. BEITO International Ltd

    Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

    Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako? i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu. ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
  16. Kommando muuza madafu

    Hili Tangazo la Ada Bima la Tanzania Commercial Bank linasikitisha

    Hili Tangazo linasikitisha sana kwa sisi wenye watoto. Linasema "Nani anaijua kesho yake, leo upo kesho haupo. Leo mzima kesho sio Mzima. Nani atasomesha watoto wako" Katika kitu ambacho viumbe vyote vyenye Pumzi ya uhai vinafanyiwa ukatili ni mauti ya umpendaye. Nyuma unaacha shida na mateso...
  17. Tuo Tuo

    Tangazo la kazi: Technical officer

    Job title:Technical Officer, Biomedical Services Type: FULL TIME Industry: Nonprofit, and NGO Category: Healthcare NGO:FHI 360 Deadline:August 09 2024 Work Station: Tanzania , Dar es Salaam JOB DETAILS: The Meeting Targets and Maintaining Epidemic Control (EpiC) is a global...
  18. P

    Tangazo la Dawasa kwa wakazi wa Dar es Salaam lina maana gani?

    Inasikitisha. Nia ya Dawasa kutoa tangazo la tahadhari ya kukosekana kwa huduma ya maji ni jambo jema. Ila nashangaa hili tangazo kwa kuwa Dar es Salaam miaka yote kuna mgao wa maji na ambao haueleweki. Nawatakia Jumatatu njema.
  19. Pang Fung Mi

    Kilwa Beach Lodge iweke tangazo rasmi kama haitaki waafrika na watanzania

    Shalom, Jukwaa mnisamehe na fuatilia kwa wana kilwa masoko mtapata ukweli wote. Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, kipekee wana kilwa masoko, ujumbe umfikie Madam Lilian wa Kilwa Beach Lodge, aweke tangazo la maandishi na sauti yake ijulikane bayana kuwa hataki kuwapa huduma waafrika...
  20. Tuo Tuo

    Tangazo la kazi: Project/ Program Management

    Location:Mbeya, Tanzania Category:project/Program Management NGO: HJF Job Description Overview Join the HJF Team! The Henry M. Jackson Foundation for the Advancement of Military Medicine (HJF) is a nonprofit organization dedicated to advancing military medicine. We serve military, medical...
Back
Top Bottom