tangazo la ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Tangazo la ajira ya Saluni (DREADLOCKS)

    Habarini wakuu, natafuta Vijana watatu kwa ajili ya saloon ya kike inayohusiana na dreadlocks mahali ni Sikonge, Tabora. Namba ya mawasiliano 0740002654w. Kwa maelekezo zaid piga kwa namba hapo juu.
  2. J

    Tangazo la ajira

    HABARI !!!NAHITAJI KIJANA WA KIUME ANAEJUA KUPAKA KUCHA RANGI,KUBANDIKAKUCHA, NA KUBANDIKA KOPE ENEO :KATORO- GEITA MAWASILIANO 0693795737 MSHAHARA MAELEWANO Sourc: Ajirazone,on Instagram @ajirazone
  3. Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  4. Tangazo la ajira: Pharmacist anahitajika

    Kichwa cha habari kinajieleza anahitajika mtu wa Pharmacy eneo la kazi ni Mwanza, education level kuanzia diploma maelezo zaidi njoo PM na offer yako.
  5. Tangazo la Ajira kampuni ya Hill

    Hello members, Habari hizi ni kwa mujibu wa Hill kuku, wametangaza nafasi za kazi. Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender. Kama unahitaji ajira hizi fika ofisini kwao Mapinga Bagamoyo au Ukuni Bagamoyo.
  6. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar, anawatangazia uwepo wa ajira ya mkataba kwa nafasi ya Meneja Msimamizi wa Miradi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia uwepo wa ajira ya mkataba kwa nafasi ya Meneja Msimamizi wa Miradi
  7. Laundry Supervisor at Altezza Traveling Limited

    Job Details Altezza Traveling Limited wishes to invite competent, qualified, experienced, and dedicated Tanzanians to fill in the Food and Bavarage Manager position which is currently available in the company. Responsibilities Responsible for the hotel’s daily laundry and dry cleaning...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…