tani

Daniel M. Tani (born February 1, 1961) is an American engineer and retired NASA astronaut. He was born in Ridley Park, Pennsylvania, but widely considers Lombard, Illinois, to be his hometown.With Peggy Whitson, Tani conducted the 100th spacewalk on the International Space Station.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Tani 47,000 za mafuta ya kupikia yaliyokwisha muda wake na yenye sumu yamesambazwa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Inadaiwa kuwa jumla ya tani 47,000 za mafuta ya kupikia yasiyokwisha muda wake na yenye sumu toxic yamesambazwa kwa walaji nchini Iran Inadaiwa mafuta hayo ni sehemu ya Tani 91,000 za mafuta zilizoagizwa na nchi hiyo kutokea nchini Argentina na uturuki mwaka 2021. Hadi...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika shughuli zao za kila siku ikiwemo kilimo cha Alizeti, Kahawa, Ndizi pamoja na Shughuli za Utalii kwa...
  3. Replica

    India yaruhusu kuuza tani 30,000 za mchele Tanzania

    Serikali ya India imetoa kibali cha kuuza tani 30,000 za mchele mweupe kwa nchi ya Tanzania na tani 80,000 kwa Taifa la Djibouti na Guinea Bisau. India ilipiga marufuku tangu Julai 20, 2023 kuuza nje mchele mweupe usio wa Basmati katika jaribio la kudhibiti bei ya mchele nchini India na...
  4. B

    Qatar Charity yatoa msaada wa tani 90 kwa wananchi wa Hanan’g

    Ubalozi wa Qatar Tanzania kwa kushirikiana na Tasisi ya Qatar Charity, kwa niaba ya Serikali ya Qatar, imewasilisha misaada muhimu ya kibinadamu kwa waathirika wa Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Hanang mkoani Manyara. Shehena ya misaada hiyo iliyotolewa leo tarehe 18 Februari 2024 kwa kutumia...
  5. DodomaTZ

    Bandari ya Mtwara kwa sasa ina uwezo wa kuhudumia Zaidi ya Tani 1,000,000 kwa Mwaka

    Bandari ya Mtwara ni miongoni mwa bandari kuu tatu zinazosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliyopo Kusini mwa Tanzania karibu na mpaka na Msumbiji. Kijiografia inapatikana kilomita 578 Kusini mwa Jiji la Dar es Salaam. Bandari ya Mtwara ambayo ina kina kirefu ilijengwa...
  6. Roving Journalist

    Masoud Mrisha: Sasa Bandari ya Tanga itakuwa na uwezo wa kuhudumia hadi tani 3,000,000 kwa mwaka. Awali ilikuwa tani 750,000

    BAADA YA MABORESHO KUKAMILIKA, BANDARI YA TANGA IMEFUNGUKA NA KUZALIWA UPYA, SHEHENA NA MELI ZAZIDI KUONGEZEKA Na mwandishi wetu, Tanga Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli...
  7. L

    Tani Elfu 50 za sukari kuingizwa nchini kukabiliana na upungufu uliopo

    Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu wa januari kuingizwa kwa Tani Elfu Hamsini za Sukari kutoka nje ya Nchi. Mkurugenzi huyo ameelezea...
  8. Morning_star

    Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  9. Nyuki1994

    Mahitaji ya Njegere Kavu tani 9000

    Habari wadau bila kuwachosha. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kwa ufasaha zaidi mwenye bidhaa hiyo au pengine anafahamu inakopatikana kwa wingi tupeana connection.
  10. U

    Tani tatu za Mashudu ya Alizeti zinauzwa

    Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara. Asante.
  11. Nyankurungu2020

    Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

    Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
  12. Dr. Wansegamila

    Tanzania yaingiza tani 52,000 nyama ya nguruwe kutoka nje

    Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee. Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
  13. Kitimoto

    Tanzania Yaingiza Tani 52,000 ya Nyama ya Nguruwe (Kitimoto) Kutoka Nje

    Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee. Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
  14. J

    Mahindi tani 30 yanauzwa, unaletewa mkoa uliopo

    Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
  15. BARD AI

    Mchele tani 130 wapigwa marufuku kuingia sokoni, TFDA yataja sababu

    Tani 130 za mchele wa Kampuni ya Sahal General Store Zanzibar zimeharibika moja ya sababu ikidaiwa ni kukaa kwenye makontena bandarini muda mrefu bila kushushwa. Tani hizo zimebainika leo Machi 11, 2023 baada ya kampuni hiyo kuhisi kuharibika kwa mchele huo na kutoa taarifa kwa Wakala wa...
  16. Replica

    Rufiji Kumenoga: TAZARA yanunua behewa la tani 200 kubebea mitambo bwawa la Mwalimu Nyerere isiyobebeka kwa barabara

    TAZARA imesema imenunua behewa lenye uwezo wa kubeba tani 200 litakalotumika kubeba mizigo ya bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere iliyozidi uzito au upana wake unazidi kiwango cha upana unaopaswa kusafirishwa kwa barabara. Msemaji wa TAZARA amesema behewa hilo limenunuliwa kwa dola za kimarekani...
  17. OLS

    Kulikuwa na upungufu wa tani 44,342 za nafaka mwaka 2021/22

    Mwaka wa fedha 2021/22 ulikumbwa na uhaba wa nafaka kama ambavyo imeripotiwa na Benki Kuu ya Tanzania kuwa katika mwaka huo kulikuwa na uhitaji wa chakula tani 9,537,752 hata hivyo tuliweza kuzalisha tani 9,493,410 ambapo tofauti ni tani 44,342. Suala la kuwa na upungufu wa chakula limeripotiwa...
  18. Jidu La Mabambasi

    Awamu ya Tano na ujenzi wa Airport Terminal Mwanza, Mkuu wa Mkoa afadhaishwa

    Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa. Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana na eti "Kamati za Miradi". Airport ya Mwanza imejengwa kiholela chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, na...
  19. B

    SMZ yaamriwa kulipa Tshs. 158bn likiwa deni la tani 39,900 za mchele

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatakiwa kulipa deni la shilingi 158bn la mchele wa tani 39,900 za mchele ulioagizwa mwaka 1985. Shauri hilo lilofikishwa mbele ya Mahakama ya Rufani na kampuni ya Laemthong Rice Co. Ltd, inadai kuwa imekuwa vigumu kupatikana kwa malipo ingawa bidhaa hiyo ili...
  20. BARD AI

    Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
Back
Top Bottom