tani

Daniel M. Tani (born February 1, 1961) is an American engineer and retired NASA astronaut. He was born in Ridley Park, Pennsylvania, but widely considers Lombard, Illinois, to be his hometown.With Peggy Whitson, Tani conducted the 100th spacewalk on the International Space Station.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tani Elfu 50 za sukari kuingizwa nchini kukabiliana na upungufu uliopo

    Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu wa januari kuingizwa kwa Tani Elfu Hamsini za Sukari kutoka nje ya Nchi. Mkurugenzi huyo ameelezea...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  3. JamiiForums Tanzania Mahitaji ya Njegere Kavu tani 9000

    Habari wadau bila kuwachosha. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kwa ufasaha zaidi mwenye bidhaa hiyo au pengine anafahamu inakopatikana kwa wingi tupeana connection.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tani tatu za Mashudu ya Alizeti zinauzwa

    Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara. Asante.
  5. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

    Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania yaingiza tani 52,000 nyama ya nguruwe kutoka nje

    Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee. Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaingiza Tani 52,000 ya Nyama ya Nguruwe (Kitimoto) Kutoka Nje

    Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee. Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mahindi tani 30 yanauzwa, unaletewa mkoa uliopo

    Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
  9. JamiiForums Tanzania Mchele tani 130 wapigwa marufuku kuingia sokoni, TFDA yataja sababu

    Tani 130 za mchele wa Kampuni ya Sahal General Store Zanzibar zimeharibika moja ya sababu ikidaiwa ni kukaa kwenye makontena bandarini muda mrefu bila kushushwa. Tani hizo zimebainika leo Machi 11, 2023 baada ya kampuni hiyo kuhisi kuharibika kwa mchele huo na kutoa taarifa kwa Wakala wa...
  10. JamiiForums Tanzania Rufiji Kumenoga: TAZARA yanunua behewa la tani 200 kubebea mitambo bwawa la Mwalimu Nyerere isiyobebeka kwa barabara

    TAZARA imesema imenunua behewa lenye uwezo wa kubeba tani 200 litakalotumika kubeba mizigo ya bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere iliyozidi uzito au upana wake unazidi kiwango cha upana unaopaswa kusafirishwa kwa barabara. Msemaji wa TAZARA amesema behewa hilo limenunuliwa kwa dola za kimarekani...
  11. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na upungufu wa tani 44,342 za nafaka mwaka 2021/22

    Mwaka wa fedha 2021/22 ulikumbwa na uhaba wa nafaka kama ambavyo imeripotiwa na Benki Kuu ya Tanzania kuwa katika mwaka huo kulikuwa na uhitaji wa chakula tani 9,537,752 hata hivyo tuliweza kuzalisha tani 9,493,410 ambapo tofauti ni tani 44,342. Suala la kuwa na upungufu wa chakula limeripotiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano na ujenzi wa Airport Terminal Mwanza, Mkuu wa Mkoa afadhaishwa

    Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa. Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana na eti "Kamati za Miradi". Airport ya Mwanza imejengwa kiholela chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania SMZ yaamriwa kulipa Tshs. 158bn likiwa deni la tani 39,900 za mchele

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatakiwa kulipa deni la shilingi 158bn la mchele wa tani 39,900 za mchele ulioagizwa mwaka 1985. Shauri hilo lilofikishwa mbele ya Mahakama ya Rufani na kampuni ya Laemthong Rice Co. Ltd, inadai kuwa imekuwa vigumu kupatikana kwa malipo ingawa bidhaa hiyo ili...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  15. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yanunua tani maradufu za mafuta Urusi. Je, ushawishi wa USA na EU umepungua duniani?

    Wanajamvi na wafuatiliaji wa mambo,kuna habari nimeikuta mitandaoni imenishangaza sana. Siku zote mataifa ya kiarabu hasa saudi arabia ni mfuasi mkubwa wa USA na EU, sasa leo yeye tu Saud Arabia ni mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, halafu anaenda kununua mafuta mengi ya bei ya chini kwa...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yagundua tani milioni 30 za dhahabu zenye thamani ya Dola za Marekani Trilioni 12

    Uganda imegundua amana za dhahabu katika Wilaya ya Busia na Katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi hiyo, serikali imeipa leseni kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Kichina, Wagagai, ya kuanza kuzalisha bidhaa za dhahabu Msemaji wa Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini nchini humo, Solomon...
  17. JamiiForums Tanzania Eti STAMICO wanauza Makaa ya Mawe tani moja kwa Tsh 60,000/= Mkataba huu Uvunjwe

    Salaam Wakuu, Imedaiwa Eti, Tanzania kupitia Stamico tumesaini mkataba wa kuuza Madini ya Makaa ya Mawe kwa dola 29.5 ambayo ni sawa na Shilingi 69,444 (Elfu sitini na tisa na Mia nne arobaini na nne tu) kwa Tani moja! Bei ya Soko la Makaa ya Mawe kwenye Market Insider ni dola 315 sawa na...
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tabata Aroma: jipatie jeki ya tani 3

    Jeki hio hapo. max power: 3 tonnes. 0713096076 bei elekezi: 50,000 karibu sana, tabata aroma Dsm ujipatie kinyanyuzi cha gari yako kwa bei poa
  19. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za maboga kiasi cha tani moja

    Natafuta mbegu za maboga kiasi cha tani moja Kwa mwenye nazo au anajua napoweza kupata msaada tafadhali
  20. JamiiForums Tanzania Tunisia yadhamiria kupunguza uharibifu baada ya meli inayobeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama

    Tunisia itafanya kazi na nchi nyingine ambazo zimejitolea kuisaidia kuzuia uharibifu wa mazingira baada ya meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama katika maji ya Tunisia, wizara ya ulinzi ilisema Jumapili. Meli hiyo ilikuwa ikitoka Equatorial Guinea kuelekea Malta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…