Wana jamvini hapa ndio mlipo wataalamu wa Ujenzi, Mimi nina nyumba zangu tano nimezijenga wakati tofauti tofauti, ila kuna suala moja linanitatiza sana, matank yote ya maji niliyonunua takribani 12 , yanavuja, na mengi ni ile kampuni maarufu siitaji, maana nilikwazika mpanga nikapiga simu...