Msaada Tank gani ni Bora, maana ugonjwa wa matank kuvuja ni Too much

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Wana jamvini hapa ndio mlipo wataalamu wa Ujenzi, Mimi nina nyumba zangu tano nimezijenga wakati tofauti tofauti, ila kuna suala moja linanitatiza sana, matank yote ya maji niliyonunua takribani 12 , yanavuja, na mengi ni ile kampuni maarufu siitaji, maana nilikwazika mpanga nikapiga simu ofisini kwao kuwatukana na kuwaeleza tatizo hili lililopo linaloleta umasikini kwani Kila mtaa kuna matangazo ya mafundi Kuziba matank.

Matangazo ya mafundi wa kuziba matank ya maji ni mengi, sasa je wanakula pamoja na viwanda, kwanini wanatengenezwa vitu visivyo na ubora.

Sasa wana jamvini naombeni msaada wa kunitajia kampuni nzuri ya matank, ili sasa nianze kubadili moja baada ya jingine kadri upatikanaji wa fedha utakavokuwa?

Matank yapi ya maji bora , au yote magumashi, kila siku kuita fundi
 
Hapo hujajua kama material iliyotengeneza tank lako ni salama kiasi gani..... Nchi imekuwa ya kimagushi kila kitu.
 
Plastiki wanaisema kuwa ni forever chemical, sasa iweje tena matanki yake yasidumu???? Ivi tuko siriazi. TBS?

Na ni kweli matenki ni mabovumabovu ndio maana kazi ya kuziba matenki ni biashara maarufu tu kwa nn?
 
Back
Top Bottom