Nimepita daraja la Wami Dakawa, nikapita daraja la Ferry Dumila, nikapita madaraja ya Kitete, Msowero, Mvumi na Rudewa barabara ya Dumila Kilosa nikajifunza kuwa madaraja ya njia hiyo yaliinuliwa juu sana kiasi kwamba siyo rahisi kuathiriwa na mafuriko ikiwa mvua kubwa zitanyesha Kiteto, Gairo...