tanroads

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Influenza

    Meneja wa TANROADS nchini asema daraja la Kiyegeya limekatika kwa uchakavu. Je, Waziri Mkuu kumuondoa Meneja TANROADS-Morogoro alimuonea?

    Wakati meneja wa Tanroads mkoani Morogoro, Godfrey Andalwisye akiondolewa kwa madai ya kutokagua miundombinu, mtendaji mkuu wa taasisi hiyo, Patrick Mfugale amesema barabara ya Morogoro-Dodoma ni chakavu kwa kuwa imejengwa muda mrefu. Kauli hiyo ya Mfugale imekuja siku moja baada ya Waziri Mkuu...
  2. Influenza

    Kubomoka kwa daraja la Kiyegeya: Meneja Tanroads Morogoro arudishwa Wizarani

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Andalwisye arejeshwe wizarani na nafasi yake ijazwe na mtu mwingine mara moja baada ya kuzembea kutimiza wajibu wake. Uamuzi huo umekuja baada ya kiongozi huyo kushindwa...
  3. N'yadikwa

    Naomba TANROADS na mamlaka nyingine husika kuiwekea matuta Akachube Road, ajali zimezidi

    Tunaomba tafadhali muweke matuta. Watoto wanagongwa na watu wazima wanajeruhiwa. Barabara ni nzuri sana na nyoofu ila madereva wanalala mbele sana kwenye barabara hii na ukizingatia iko mtaani 'uswazi' watoto wafyekwa kwelikweli hapa. Hivi juzi akina mama waliweka mawe hapo barabarani. Nami...
  4. Jamii Opportunities

    Valuer II at TANROADS

    The regional Manager’s office TANROADS - Kigoma, on behalf of the Chief Executive TANROADS, intends to recruit suitably qualified and competent Tanzanians to fill the post of valuer for the period of three years with possibility of contract renewal. Job title: Valuer ii (one) 1 post Key...
  5. S

    Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori

    Nimesoma habari kuwa ajali imetokea huko Dodoma usiku wa Jumapili 29 December wakati lori lenye namba T364 AZZ lilipokuwa likijaribu kukwepa shimo kubwa barabarani liliigonga Coaster yenye namba T846AYU na watu sita kufa hapo hapo. KUna majeruhi wako hospitali wengine ICU. Kutokana na tukio...
  6. Tabutupu

    Muundo mpya wa makutano ya Mbezi Mwisho. Hongera sana Tanroad kwa usikivu

    K2a hissani ya lethy mleta mchoro ni kwamba hatimaye mbezi mwisho haitakua na mataa kama design ya mwanzo. Design mpya inaonyesha morogoro road itapandishwa juu na goba-malamba mawili kinyerezi itakua underpass. Kama ni hivi kwa niaba ya wapenda maendeleo wote naomba niwapongeze tanroad kwa...
  7. majutobeach

    Serikali itazame TANROADS kwa manyanyaso haya barabarani

    Sisi madereva wa magari makubwa hususani malori tunanyanyasika sana barabarani imefikia hatua hata ya kuichukia serikali yetu inayoongozwa na mtukufu Rais Dkt. John Pombe Magufuli tunaimani sana na Rais wetu huyu kwa utendaji kazi wake wenye kuleta maendeleo nchini na mtetezi wa wanyonge lakini...
Back
Top Bottom