Ni vile tu Watanzania wengi ni wajinga na sio wasomaji sana wa vitabu na wafuatiliaji wa masuala ya nchi yao.
Mlioshtuka leo kuhusu habari ya Tanzania kununua umeme nje kwa ajili ya matumizi ya mikoa ya Kaskazini wakati Serikali imekuwa ikijisifu kuzalisha umeme kuzidi matumizi yetu nawashangaa...
Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya wanawake wapigania uhuru wa Tanganyika.
Wanasema picha inazungumza maneno 1000 na pia jicho la camera...
Historians wanalijua hili.
The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU.
Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
Kuna hoja inatumiwa sana na machawa wa Mbowe kuwa Lissu hawezi kuingoza chadema kwa kuwa ni kapuku na mbangaizaji.
Lakini tumeona viongozi kama Nyerere wakiongoza chama kwa mafanikio bila kuwa matajiri.
Lissu atashindwa nini? Maalim Seif hakuwa millionea kama Mbowe lakini aliipa nguvu cuf na...
KUMBUKUMBU YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA
Tunamkumbuka Shujaa wa Uhuru wa Tanganyika
Haruna Iddi Taratibu Muasisi wa TANU Jimbo la Kati (Central Province) 1955
Haruna Iddi Taratibu
Sifa kuu katika ujumbe wa Julius Nyerere ilikuwa ni kule kueleweka kwa mantiki yake na kuweza kuwavutia...
SMAIL BAYUMI MUASISI WA TANU CLUB MOMBASA 1950s
Nimemjua Ismail Bayumi Moshi mimi nikiwa mtoto mdogo wa darasa la pili au la tatu miaka ya mwanzoni 1960s.
Naukumbuka utanashati wake na gari yake nzuri aliyokuwa akiendesha.
Wakati huo nadhani alikuwa akija Moshi akitokea Mombasa kuja...
Ndugu Watanzania!
Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha. Kuna taarifa kuwa nyaraka hii inayosambaa mitandaoni kuanzia leo...
MZEE MAXWELL NA HISTORIA YA TANU
Mzee Maxwell kaniona mimi toka udogo wangu labda hata sijaanza kutembea.
Nimemjua Maxwell kwa jina lake hili moja.
Maxwell alikuwa pamoja na Dome Okochi Budohi na Martin.
Hawa walikuwa wametoka Kenya wamekuja Tanganyika kutafuta maisha.
Hawa wote watatu...
HAMISI HERI KUTOKA UASISI WA TANU 1954, KURA TATU 1958 HADI AZIMIO LA ARUSHA 1967
Familia ya Hamisi Heri imeipatia Maktaba picha ya Hamisi Heri mmoja wa waasisi wa TANU, Tanga.
Picha imepigwa Korogwe mwaka wa 1967 wakati huo Hamisi Heri akiwa Mwenyekiti wa TANU wa Mkoa wa Tanga akikagua miradi...
Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau.
Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
Hii video fupi naeleza nguvu ya TANU na Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nimekusanya kiasi ya picha 50+ za Mwalimu kutoka Maktaba alizopigwa kati ya mwaka wa 1854 na 1961.
Natafuta namna ya baadhi kuziweka hapa.
Ukitazama hizo picha hapo juu na kusikiliza hii video...
Kwema Wakuu!
Kauli zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakijitamba kuwa wao ni watoto wa mjini, wengine wakisema wamezaliwa Kariakoo, wengine, Ocean road, wengine mnazi mmoja, wengine Kinondoni basi ilimradi kila mmoja ajitutumue. Ndio ukweli huo. Kauli hiyo inamaana kubwa sana. Watoto wa...
KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’
Kijana alichonitafutia ni historia ya Muungano wa Tanzania mwaka wa 1964.
Akanifahamisha kuwa amesoma kitabu cha historia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.