tanu

The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty in the East African state of Tanganyika (now Tanzania). The party was formed from the Tanganyika African Association by Julius Nyerere in July 1954 when he was teaching at St. Francis' College (which is now known as Pugu High School). From 1964 the party was called Tanzania African National Union. In January 1977 the TANU merged with the ruling party in Zanzibar, the Afro-Shirazi Party (ASP) to form the current Revolutionary State Party or Chama Cha Mapinduzi (CCM). The policy of TANU was to build and maintain a socialist state aiming towards economic self-sufficiency and to eradicate corruption and exploitation, with the major means of production and exchange under the control of the peasants and workers (Ujamaa-Essays on Socialism; "The Arusha Declaration").
Julius Nyerere was the first President of Tanzania, serving from the 1960s to 1985. In 1962, Nyerere and TANU created the Ministry of National Culture and Youth. Nyerere felt the creation of the ministry was necessary in order to deal with some of the challenges and contradictions of building a nation-state and a national culture after 70 years of colonialism. The government of Tanzania sought to create an innovative public space where Tanzanian popular culture could develop and flourish. By incorporating the varied traditions and customs of all peoples of Tanzania, Nyerere hoped to promote a sense of pride, thus creating a national culture.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Hamu mpya ya kumfahamu Abdul Sykes na historia ya TANU

    HAMU MPYA YA KUMFAHAMU ABDUL SYKES NA HISTORIA YA TANU Kumekuwa na mwamko mpya wa kushangaza kuhusu historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika. Juma lililopita tukielekea Nyerere Day nimekuwa nikihojiwa na televisheni takriban kila baada ya siku na wakati mwingine siku zikifukuzana mfululizo...
  2. Mohamed Said

    Abdul Sykes anamkabidhi Julius Nyerere chama cha TANU 1954

    ABDULWAHID KLEIST SYKES ANAMKABIDHI JULIUS KAMBARAGE NYERERE CHAMA CHA TANU 1954 ''Chama cha TANU kama vuguvugu la siasa kilikuwa katika fikra za Abdulwahid kwa miaka mingi na alijitahidi sana kufanya bidii kuona kuwa TANU inaundwa. Chama ambacho kitawaunganisha wananchi wote bila ya kujali...
  3. Mohamed Said

    Dome Okochi Budohi "Mau Mau" ndani ya TANU?

    DOME OKOCHI BUDOHI "MAU MAU" NDANI YA TANU? Kadi ya TANU ya Dome Budohi ni no. 6. Dome Budohi alikuwa Mluya kutoka Kenya lakini alikuwa mwanachama na kiongozi wa TAA na hivi ndivyo alivyoweza kupata kadi hiyo no. 6. Mimi nikimfahamu katika utoto wangu kwa jina la Dickson alipokuwa akija kwetu...
  4. Mohamed Said

    Soma vitabu hivi ujue historia ya tanu na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Unaijua azma ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) katika kuwakusanya vijana wasomi ndani ya TAA...
  5. Mohamed Said

    Baadhi ya wanawake wazalendo wa TANU

    PICHA YA BI. CHIKU BINT SAID KISUSA, BI. TITI MOHAMED, BI. TATU BINT MZEE, JULIUS NYERERE NA AKINA MAMA WENGINE Mmoja wa wasomaji wangu amenitumia picha hiyo hapo chini ya akina mama wazalendo wanachama wa mwanzo wa TANU hao niliowataja hapo juu. Kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Titi...
  6. Mohamed Said

    Walifikaje tarehe 7 Julai 1954 kuunda TANU na tunawaadhimishaje Wazalendo hawa?

    WALIFIKAJE TAREHE 7 JULAI 1954 NA KUUNDA TANU NA TUNAWAADHIMISHAJE WAZALENDO HAWA? Kuna mtaa Dar es Salaam sisi tulimezaliwa tumeukuta ukiitwa Stanley Street. Baada ya kupatikana uhuru mtaa huu ukabadilishwa jina ukaitwa Aggrey Street kisha baadae wakati marehemu Kitwana Kondo alipokuwa Meya...
  7. Lord OSAGYEFO

    CHADEMA inadai Katiba mpya kama TANU ilivyodai uhuru kwa niaba ya Wananchi

    Kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya WanaCCM kupinga katiba mpya wakiamini ni CHADEMA ndio wanataka katiba mpya kuwa na dhana hiyo ni upungufu mkubwa sana wa fikra. Swali la msingi. Je, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wakati anaanzisha mchakato wa katiba mpya alisema katiba ni kwa ajili ya CHADEMA...
  8. S

    Mali za CCM zipigwe mnada; nyingi ziliibwa kwenye mfumo wa Chama kimoja TANU na ASP

    Ni mali nyingi sana Chama hiki kimejimilikisha kama tunavyoona kila CCM anaepata uongozi serikalini nae hukwapua mali na hata kugonga milango ya BoT na kufanya mazabe mpaka hufanikiwa kumega, tumesikia kutoka kwa mkaguzi ya kuwa kuna hela haioni. Na ndio tukaona hakuna MCCM anaeendelea, mwisho...
  9. Mohamed Said

    Tusome historia ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    TUSOME HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Hawa vijana wamevutiwa sana na historia ya Abdulwahid Sykes wameagiza vitabu hivyo kutoka Dar es Salaam. Hawa vijana wako Shinyanga. Wana nakala pia ya kitabu cha Rajabu Ibrahim Kirama.
  10. B

    TANU na CCM walikuwa wanawasomesha watu wa propaganda nje ya nchi kwa ajili yakukabiliana na Nani wakati wa chama kimoja?

    Chama Cha mapinduzi pamoja na TANU enzi zetu vilikuwa vinapeleka vijana kwenda kusoma propaganda na mambo ya siasa nje ya nchi. Baadhi yao ni akina Mrema wa TLP, baada ya watu hao kurejea nchini hakukuwa na propaganda tena kwa sababu walikuwa chama kimoja. Hata tulipoingia vyama vingi bado watu...
  11. Mohamed Said

    Ukweli wa historia ya TANU

    Kauli ya kuwa Julius Nyerere aliwaambia, "Wavunje chama chao," Mzee Msekwa kamkusudia Abdul Sykes lakini kukosa ujasiri wa kulitaja jina la Abdul kwani jina hili kutajwa na kuhusishwa na TANU ilikuwa ni mwiko mkubwa. Ilikuwa ni, "taboo." An-nuur 7 April, 2021
  12. Mohamed Said

    Baraza la wazee wa tanu 1954 - 1963

    BARAZA LA WAZEE WA TANU 1954 - 1963 Mara tu baada ya kuundwa kwa TANU mwaka wa 1954 Baraza la Wazee wa TANU liliundwa katika makao makuu, New Stret Dar es Salaam. Baraza hili lilikuwa na takriban wajumbe 170. Ilikuwa ni kamati ya wazee wa mji wa Dar es Salaam na kitu kimoja ni kuwa wajumbe...
  13. Mohamed Said

    Makosa katika historia ya TAA yanayohitaji kurekebishwa haraka

    Historia ya TAA kama ilivyoelezwa na CCM hapo juu inahitaji kusahihishwa. Naweka hapo chini kipande kutoka makala niliyoandika mwaka wa 2019 kusahihisha makala ya Mzee Pius Msekwa kuhusu historia ya TAA: "Katika gazeti la Tazama la leo tarehe 14 Oktoba 2019 kuna makala iliyoandikwa na Pius...
  14. Mohamed Said

    Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

    KWA NINI BENJAMIN MKAPA ALISHINDWA KUCHAPA TAAZIA YA ABDUL SYKES KATIKA THE NATIONALIST BRENDON GRIMSHAW AKACHAPA "OBITUARY" YA ABDUL SYKES KATIKA SUNDAY NEWS (TANGANYIKA STANDARD)? Mgogoro wa EAMWS nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes. Vyombo vilivyohusika katika mgogoro ule...
Back
Top Bottom