Mtaa wa Mvita
Hapo nilposimama kupiga picha hii ndipo unapoanza Mtaa wa Mvita ukikutana na Mtaa wa Amani.
Mbele ya mtaa huu na ndiyo mwisho wa mtaa, Mvita unakutana na Mtaa wa Msimbazi.
Miaka hiyo Msimbazi ilikua barabara moja tu. Msimbazi na Mafia kulikuwa na nyumba ya bibi yangu Bi. Asha...