Kwa yanayotokea sehemu mbalimbali hapa hapa nchini ccm ni kama wamechokakutawala.
Baada ya matokeo ya mchujo wa wagombea wa nafasi za Bunge kutoka pale Dodoma nimeamini Sasa hivi wananchi wameondoa yoga na kusema liwalo na liwe.
Hii tabia ya kuwateulia wagombea wa majimbo na wakubwa Wacha he...
Siasa za vyama vingi zilianza mwaka 1992 baada ya IMF na WB kutoa vipaumbele na masharti kwa nchi zitakazotaka kukopeshwa kwa wakati huo, masharti hayo ni pamoja na kuwa na soko huria na kuwa na demokrasia ya vyama vingi
Hapa Tanzania vikaundwa vyama siasa vikiwemo CUF, CHADEMA, UDP, NCCR...