KWA HILI CCM WASHUKURU TANZANIA HAKUNA UPINZANI.

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Kwa yanayotokea sehemu mbalimbali hapa hapa nchini ccm ni kama wamechokakutawala.

Baada ya matokeo ya mchujo wa wagombea wa nafasi za Bunge kutoka pale Dodoma nimeamini Sasa hivi wananchi wameondoa yoga na kusema liwalo na liwe.

Hii tabia ya kuwateulia wagombea wa majimbo na wakubwa Wacha he ni Jambo ambalo wananchi wanaumizwa nalo.

Tazama wananchi wa Nachingwea ambao hawakuridhishwa na kupuuzwa kwaapendekezo Yao kutupiliwa mbali na wakubwa pale Dodoma.

CCM ishukuru sana kwa Tanzania kukosa wapinzani wa kweli maana CCM ingepata adhabu kubwa kutoka kwa wapiga kura.
 
Attachments

  • 962527320.mp4
    14 MB
Kama hakuna upinzani mbona wapingana na upinzani.
Mda mwengine bwana nakupa salamu
IMG_2252.jpeg
 
Kwa yanayotokea sehemu mbalimbali hapa hapa nchini ccm ni kama wamechokakutawala.

Baada ya matokeo ya mchujo wa wagombea wa nafasi za Bunge kutoka pale Dodoma nimeamini Sasa hivi wananchi wameondoa yoga na kusema liwalo na liwe.

Hii tabia ya kuwateulia wagombea wa majimbo na wakubwa Wacha he ni Jambo ambalo wananchi wanaumizwa nalo.

Tazama wananchi wa Nachingwea ambao hawakuridhishwa na kupuuzwa kwaapendekezo Yao kutupiliwa mbali na wakubwa pale Dodoma.

CCM ishukuru sana kwa Tanzania kukosa wapinzani wa kweli maana CCM ingepata adhabu kubwa kutoka kwa wapiga kura.
Sio kwamba wanaopata kura nyingi huwa wanakubalika sana,ila huwa wametoa rushwa vizuri
 
Back
Top Bottom