IMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo...