IMF Yaidhinisha mkopo wa Tsh 1.2 Trillion kwa Tanzania

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
20250628_152223.jpg
IMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?

Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo kuidhinisha kiasi hiko kupitia kikao chake kilichohitimishwa Juni 27, 2025.

Fedha hizi ni pamoja na shilingi bilioni 405.1 sawa na dola milioni 155.7 kwa ajili ya program za Extended Credit Facility(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja.

Soma Pia: IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18

Kiasi kilichobaki cha shilingi shilingi bilioni 761.6 sawa dola 292.7 ni kwa ajili ya Programu ya Resilient and Sustainable Fund (RSF) inayotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Soma thechanzo.com/2025/06/28/imf…
 
IMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi

Kwahiyo unashangilia madeni ?
 
Kazi yaoni kuimba tu no reforms no election
 
It's not as easy as you think right now..

It's true that, money are available....

But if you want some, you have to comply with T&Cs of the lenders...

Do you know the T&Cs which you must comply to before the release of the fund - loan...?

SIMPLE: Strengthen the Rule of Law; upohold FREE, FAIR & JUSTLY elections and fight for the corruption...

#NoReformsNoElection
 
Kwani IMF wanakopesha tu kwa vile unataka? Wanafanya due diligence ya kutosha. If you have poor credit rating you get disqualified
 
Nawaza tu Irani haijawahi kukopeshwa imewezaje na ni sanction kwenda mbele.
 
Kama debt to equity ratio iko below 0.5 why not pick another loan for economic development?

Mikopo sio mizuri .

Mnakopa Ila mnachofanya hakionekani miaka 60 yote Ila bado mme -stuck

Mnahidi barabara , Maji ,matundu ya choo na Tisheti .

mnalilia pesa ambazo hamna uwezo wa kuzitumia vizuri ili kujiletea maendeleo.

Yaani upo hapa unashangilia mikopo
Sijui mnakuwa kwa style gani.
 
Hapana maendeleo yanafanyika tena sana. Sema tunajifungia nyumbani. Na habari tunasoma Instagram peke yake ndo shida
True.
Leave politics pembeni, tembea Tanzania yote hata kama kwenu hakujajengwa.

Ila in totality Maza kapiga kazi iliyotukuka kwa miaka 4.

Angeweza asimalizie daraja la Kigongo- Busisi kama JPM alivyoacha gesi ya Mtwara na Bagamoyo Port, na hakuna mtu angemuuliza.
 
Back
Top Bottom