It's not only about the so called "poor credit rating" to be disqualified...Kwani IMF wanakopesha tu kwa vile unataka? Wanafanya due diligence ya kutosha. If you have poor credit rating you get disqualified
Habari za Ibrahim Traore hazina ukweli bali ni Internet buzz tu ya kupatia views au click baits. Don't believe anything kuhusu Burkinafaso mpaka ufikeJamani mmeshindwa hata kumuuliza kijana mdogo Captain, Ibrahim Traore ambaye kitaaluma ni mjiolojia tu amefanya nini kuiondoa nchi yake kwenye madeni kwa muda mfupi?
Nyie mnashangilia kuendelea kukopa!!
Heko Ndugai pamoja na mapungufu yako kwenye Bunge la awamu ya tano, angalau ulithubutu kuhoji, kuhusu huu ukopaji japo hukubaki salama na pia hongera kwa kukataa unafiki wa kabinti katoto sana kwako kalikoshabikia ung'olewe, eti utoe kauli kwa niaba ya bunge baada ya hotuba ya Rais.
Binafsi nakupongeza.
Majuzi mlienda Bukinafaso,chini ya uongozi na mwanzilishi wa makundi na uharibifu wa demokrasia,Tz Mh., Dr. Kikwete kumuombea kura Prof. Janabi kwa Capt .Traore,na aliwapokea vizuri sana.
Je Sasa hamuoni umuhimu wa kwenda tena kwake mkiwa na wachumi mahiri wasio wanasiasa kuomba ushauri kwake jinsi gani alivyoweza kumaliza madeni yake ya nje kwa resources za ndani?
Asante kwa ufafanuziFedha hizi ni pamoja na shilingi bilioni 405.1 kwa ajili ya program za Extended Credit Facility(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja.
Kiasi kilichobaki cha shilingi shilingi bilioni 761.6 ni kwa ajili ya Programu ya Resilient and Sustainable Fund (RSF) inayotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Inawezekana Hawa jamaa wakikupa pesa wanakulazimisha uzitutumie wanavyotaka wao katika mambo yasio na msingi Ili Kila siku muendelee kuwa ombaomba
Hizo pesa zinapelekwa katika mambo ambayo sio kipao mbele chetu
Hakuna muda wa kubembeleza waliosusaWe matacle hujui chochote. Hakuna mkopo usio na masharti kwa nchi masikini, puumbafu. Moja ya masharti kwenye hizo pesa ni CDM kushiriki uchaguzi mkuu, ndio sababu ya CCM kuhailisha kuvunja bunge ili watafute mbinu ya kuzipata.
Hawakawii kusema hao IMF wamehongwa na Abduli! Ahahahahaha!!IMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo kuidhinisha kiasi hiko kupitia kikao chake kilichohitimishwa Juni 27, 2025.
Fedha hizi ni pamoja na shilingi bilioni 405.1 sawa na dola milioni 155.7 kwa ajili ya program za Extended Credit Facility(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja.
Soma Pia: IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18
Kiasi kilichobaki cha shilingi shilingi bilioni 761.6 sawa dola 292.7 ni kwa ajili ya Programu ya Resilient and Sustainable Fund (RSF) inayotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Soma thechanzo.com/2025/06/28/imf…
Hii mikopo huwa wanakukopa ili uwarudishie pesa zao.IMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo kuidhinisha kiasi hiko kupitia kikao chake kilichohitimishwa Juni 27, 2025.
Fedha hizi ni pamoja na shilingi bilioni 405.1 sawa na dola milioni 155.7 kwa ajili ya program za Extended Credit Facility(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja.
Soma Pia: IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18
Kiasi kilichobaki cha shilingi shilingi bilioni 761.6 sawa dola 292.7 ni kwa ajili ya Programu ya Resilient and Sustainable Fund (RSF) inayotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Soma thechanzo.com/2025/06/28/imf…
Ufisadi ulofanyika kwenye serikali hii ni wa kutisha sana, watu wanajichotea pesa kama wanachota maji baharini, bahati nzuri kiongozi alishawaruhusu kula kwa urefu wa kamba zao. Tukumbushe siku Rais alishawahi kukemea ufisadi kwa msisitizo kabisa. Pesa zinazokopwa nyingi zinaishia kwenye mifuko ya watu, af wananchi ndo wanahangaika kulipa deni. Rasilimali tulizo nazo, haziendani na maisha halisi ya mtanzania wa kawaida baada ya miaka 63 ya uhuru, we are too far behind. Na Muhula huu ndo imekua worse, Raisi anapenda nyimbo za sifa na kuabudiwa tu.Miradi ya Magufuli hakuna hata mmoja ukifika 40%. Acheni chuki isiyo na sababu jamani. Mama kapiga kazi
Weka ushahidi tu.Habari za Ibrahim Traore hazina ukweli bali ni Internet buzz tu ya kupatia views au click baits. Don't believe anything kuhusu Burkinafaso mpaka ufike
Wanaomdai hawajakanusha, kuwa wamelipwa madeni yao yote.IMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo kuidhinisha kiasi hiko kupitia kikao chake kilichohitimishwa Juni 27, 2025.
Fedha hizi ni pamoja na shilingi bilioni 405.1 sawa na dola milioni 155.7 kwa ajili ya program za Extended Credit Facility(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja.
Soma Pia: IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18
Kiasi kilichobaki cha shilingi shilingi bilioni 761.6 sawa dola 292.7 ni kwa ajili ya Programu ya Resilient and Sustainable Fund (RSF) inayotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Soma thechanzo.com/2025/06/28/imf…
Deni la mamaIMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo kuidhinisha kiasi hiko kupitia kikao chake kilichohitimishwa Juni 27, 2025.
Fedha hizi ni pamoja na shilingi bilioni 405.1 sawa na dola milioni 155.7 kwa ajili ya program za Extended Credit Facility(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja.
Soma Pia: IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18
Kiasi kilichobaki cha shilingi shilingi bilioni 761.6 sawa dola 292.7 ni kwa ajili ya Programu ya Resilient and Sustainable Fund (RSF) inayotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Soma thechanzo.com/2025/06/28/imf…
My Take
Kutoka Kwa Nyumbu wa Chadema; Nchi itanyimwa mikopo Kwa sababu Tunduma Lisu Yuko jela 😁😁😁😁
Wengine eti Nchi itapigwa mnada 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DLcY6_NtlZb/?igsh=Y2M3emxhMGR5cTEx
Weka ushahidi wa fedha zilizoliwa hapa, otherwise ni ngonjera za kawaidaUfisadi ulofanyika kwenye serikali hii ni wa kutisha sana, watu wanajichotea pesa kama wanachota maji baharini, bahati nzuri kiongozi alishawaruhusu kula kwa urefu wa kamba zao. Tukumbushe siku Rais alishawahi kukemea ufisadi kwa msisitizo kabisa. Pesa zinazokopwa nyingi zinaishia kwenye mifuko ya watu, af wananchi ndo wanahangaika kulipa deni. Rasilimali tulizo nazo, haziendani na maisha halisi ya mtanzania wa kawaida baada ya miaka 63 ya uhuru, we are too far behind. Na Muhula huu ndo imekua worse, Raisi anapenda nyimbo za sifa na kuabudiwa tu.
Cap Ibrahim Traoré, kiongozi wa Burkina Faso tangu mapinduzi ya mwaka 2022, amejikita katika kushughulikia migogoro ya usalama na uhuru wa kiuchumi, lakini mabadiliko halisi ya kiuchumi bado ni madogo. Serikali yake inasisitiza utaifa wa rasilimali, hasa kwa kuanzisha kampuni ya dhahabu ya taifa ili kuhifadhi faida za madini, na imeahidi uwekezaji katika miundombinu.Weka ushahidi tu.
IMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?