Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Tunasemaaa Madeni ni sio kitu cha kujivunia ,ni moja ya sifa ya umasikinii.IMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo kuidhinisha kiasi hiko kupitia kikao chake kilichohitimishwa Juni 27, 2025.
Fedha hizi ni pamoja na shilingi bilioni 405.1 sawa na dola milioni 155.7 kwa ajili ya program za Extended Credit Facility(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja.
Soma Pia: IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18
Kiasi kilichobaki cha shilingi shilingi bilioni 761.6 sawa dola 292.7 ni kwa ajili ya Programu ya Resilient and Sustainable Fund (RSF) inayotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Soma thechanzo.com/2025/06/28/imf…
Naa kunguanii na kichawa kimoja mwenye upungufu mkubwa wa akili pekee ndio anayeweza kujisifia Mkopo.
Asiyejua mkopo unafanyiwa nini akati miradi mingi nchi nzima imesimama
Mfano tuu mdogo kwa kanda ya Ziwa.
Hivyo no reform no elections.
Huo ndio msimamo wa wananchi
Hata kama mtawabeba kwa malori