Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Si mara ya kwanza hili limefanyika, kwamba Polisi watamkamata mtu, watamuweka ndani, halafu akiwa ndani ndio wanaanza kujiuliza, sasa huyu tumfikishe mahakamani kwa kutumia vifungu gani vya sheria?
Ndio maana ni rahisi sana Tanzania kukamatwa na kupelekwa mahakamani, kuachiwa na hakimu, kisha...
Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza Marekani yote na ulimwengu mzima!
Wanasema ni moto wa nyika lakini hapana California inachomwa na Mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali!
Magorofa makubwa na mall pamoja...
Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Hii ni kutokana na historia yake ya kisiasa na mbinu zake za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na utawala. Hivyo, ni muhimu kwa...
"Naendelea kusisitiza sitaki makipa wa nje na wachezaji wa nje wapunguzwe kutoka 12 hadi wabakie 5. Kilichoitokea Kilimanjaro Stars kule Zanzibar ndio uhalisia wa soka letu".
JEMEDARI SAID, Mchambuzi CROWN FM
My intake:
Mbona ukiwaza nje ya box kama Kuna ukweli mkubwa
1. Itasaidia kuwapa...
Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.
Mapinduzi matukufu yalifanyika tarehe 12 Januari 1964. yaliwaondoa Sultan wa Zanzibar na tabaka la watawala wa Kiarabu.
Sultan wa Zanzibar alitokea Oman,Sultan wa kwanza wa...
Tanzania ina ardhi kubwa kuliko Uganda, lakini kuna watu wa Bukoba wanaotamani wangekuwa wanaenda kuiuza kahawa yao nchini Uganda.
Tanzania inayo bandari, lakini Mganda akitaka kusafirisha kahawa yake, kama siyo kwa ndege, basi atalazimika kuitumia bandari ya Tanzania au ya Kenya.
Pamoja na...
Huyu jamaa anayejiita Kijana Mzalendo amethibitisha uzalendo wake kwa kuweka siasa za maji taka pembeni na kujikita kwenye siasa za Tija.
Ameongea mambo mengi Muhimu sana kuhusu siasa za Tanzania lakini moja ktk mahojiano yake yamevuta Attention Kubwa Nchini.
Kwanza izingatiwe kuwa huyu si...
Naam, Tanzania tunaenda kuwa sehemu ya wenyeji waandaaji wa CHAN 2025.
Ngoja niwaambie,
Haya mashindano ndio size yetu kwa 100% tukiwa serious kama tulivyokuwa serious wakati mashindano haya yanaanzishwa rasmi 2009 kwa mara ya kwanza ivorycoast tunabeba hili Kombe.
Mwaka 2009 tukiwa na Marcio...
Wadau hamjamboni nyote?
Takwimu sahihi kabisa
Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600
Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300
Usiku mwema
▪️Waziri Mavunde ainisha Mkakati wa uongezaji thamani Madini
▪️Taasisi za Jiolojia na Utafiti Madini za Tanzania na Uingereza kushirikiana
▪️Watanzania kujengewa uwezo kukuza ujuzi
📍Dar es Salaam
Serikali ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta...
Wiki jana kitabu cha mwandishi Erick Kabendera kinachomhusu Rais Magufuli ndo kilikuwa habari ya mujini, at least humu kwenye viuchochoro vya kwenye mtandao.
Kitabu chake hicho kina madai makubwa sana ambayo hayakuambatana na ushahidi/ ithibati madhubuti.
Ni madai ambayo mtu unategemea...
Wakiwa na rasilimali chache sana, Zanzibar wamegundua ili waweze kuendelea haraka ni vizuri waachane na akili za ki Tanzania Bara.
Sisi tukiwa tunaendekeza ujinga eti uraia pacha utahatarisha usalama wao siku nyingi walishapitisha suala la Diaspora kushiriki kuwa sehemu ya uchumi wa nchi yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.