tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vodacom yadai Starlink sio tishio kwake, yaikaribisha Tanzania

    Vodacom Tanzania imeikaribisha kampuni ya Starlink, mtoa huduma wa mtandao maarufu duniani, ikisema sio adui wala tishio kwao hata kidogo, bali inatoa fursa ya ushirikiano. Huduma za Starlink zinatarajiwa kupatikana nchini Tanzania katika robo ya kwanza ya 2023, huku mmiliki wa kampuni hiyo Bw...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha kuvunja taa ya V8 na kukimbia sasa kimepitwa na wakati, kijana anatengeneza taa kwa pesa ya supu Tabata

    Mabibi na mabwana, kile kipindi cha kuvunja taa ya V8 na kukimbia eneo la ajali sasa kimepitwa na wakati, kwa sasa ukivunja taa ya V8 wewe simama ongea tu na mwenye gari kisha mpeleke Tabata Sanene kwenye kiwanda cha kutengeneza taa, badala ya kutumia milioni 4 kununua taa moja, sasa utatumia...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

    Tuliandika, tunaandika na tutaandika tena na tena lakini ni kama mamlaka zimetiwa upofu machoni na kuweka nta masikioni.. Ni wazi kuna mfaidikaji/wafaidikaji bila kujali madhara makubwa ya baadae Nilikaa kwenye hii biashara kwa mwaka mzima... Haya ndio niliyaona Ni biashara ya faida kubwa Ni...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jill Biden, mke wa Rais wa Marekani kutua Namibia na Kenya leo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na Uwezeshaji wa Wanawake. Hii itakuwa ziara ya 6 kwa #JillBiden kufika Afrika ambapo ziara 5 alikuja wakati...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

    Hello Wadau.. Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200. Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake. Dkt. Musukuma amesema...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya msingi ya Diaspora wa Kenya kuwa na haki tofauti na wa Tanzania!

    Tukiacha ushabiki na kulishwa maneno kama majibu ya maswali yote mawili kwako ni "Ndiyo" basi unatakiwa kuunga mkono dual citizenship kwa wazawa wa Tanzania 1. Je unataka Watanzania wazawa ambao wako nje (Disapora) wapate haki sawa kwenye jumuia ya Africa mashariki kama wenzao wa Kenya na nchi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Wanaozuia bomba la mafuta lisijengwe ni wanafiki. EWURA yatoa kibali cha kuanza Ujenzi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa kibali cha Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Mtukula hadi Tanga lenye urefu wa km 1147. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), James A. Mwainyekule amesema EWURA imetoa kibali cha Ujenzi wa...
  8. Bemendazole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tubadili mfumo wa kufundisha hesabu Tanzania

    Tujadiliane, Ufumbuzi wa ugumu wa kufundisha somo la hesabu Tanzania umeshindikana na kufanyika janga la taifa. Nadhani warasimu waliokasimiwa jukumu la kuleta mfumo rafiki wa ufundishaji hesabu wamejipa dhima hiyo kwa kujihesabia haki ya uelewa wa somo hilo kuliko wengine ambao wangestahili...
  10. kali linux

    JamiiForums Tanzania Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

    Hello bosses... Mada za kikubwa watoto wakiwa wamelala Kuna mzigo unaiitwa magic mushrooms au tuziite shrooms, zinatumiwa kwa mambo ya kiroho na kujiliwaza pia. Ni kama weed kwa baadhi ya watu. Kwa wale wanaofanya deep meditation pia baadhi wanazitumia kufanya tripping(huko unaweza kutana na...
  11. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaingia mkataba wa makubaliano na ICTC na COSTECH kuwezesha biashara changa (startups) nchini kupitia programu ya Imbeju

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Amos Nungu (kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa programu ya...
  12. Uchira 1

    JamiiForums Tanzania Msimu bora kwa Kikosi kilicho bora Tanzania

    Salam kwa JF member wote IKUMBUKWE *Sina upendeleo na klab yoyote *Si mtaalam sana wa mpira wa miguu *Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo 2023 kwa kiasi flani YANGA WANAMSIMU MZURI TOKA 2022 NA UZURI HUO UNAWEZA KUFIKA 2025 Haya nayaandika...
  13. thesuperdometz

    JamiiForums Tanzania Ukumbi wa Mikutano na Matamasha DsmTanzania The Super dome

    Ukumbi mpya wa KIMATAIFA Upo Masaki Dar wa mikutano na matamasha unaitwa The super dome una kila kitu ndani yake Fixed sound system LED Screen Stage Fixed Lights Fixed Camera Tables and chairs VIP rooms
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Endapo Kivuko kingekarabatiwa Tanzania kwa zaidi ya bilioni 7.5, haya yangetokea...

    Kwenye manunuzi huwa hatuangalii bei peke yake labda uwe mwehu wa kutupwa! Kuna factors nyingi zinakua considered na mara nyingi price inakua ndio ya mwisho, mnaweza mka-negotiage price. Sasa, tunaambiwa kuwa Kivuko kipelekwa Kenya kwenye ukarabati kwa Bei ya 7.5B kwakua wale competitors wa...
  15. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yanga na Simba ipi timu bora hapa Tanzania?

    Tuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

    Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake. Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei Safari hii...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania huduma nyingi za kisasa za mitandao hazipatikani?

    Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania. Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na awali nilikua natumia ya UAE, gharama ilikua kubwa kidogo kuliko Nigeria. Sasa natumia Twitter...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kupata raha na Furaha ikiwa unaishi hapa Tanzania?

    Kwa sisi watu wenye upendo ule wa ndani Kabisa Je unawezaje Kupata Furaha huku umezingukwa na watu masikini wanaokosa mpaka kula yao ?? Binafsi Mimi Sina Furaha Furaha ya kweli nikuzungukwa na watu wenye Maisha mazuri , walfare nk mbaya zaidi ninapoishi kwa nyuma kama mita 200 kuna wadada...
  19. DustBin

    JamiiForums Tanzania Tulifikirie suala la Sarafu moja kati ya Tanzania na Kenya

    Kenya na Tanzania mambo mengine kila mmoja afanye kivyake, lakini hili la shilingi moja tulifikirie. Tuwe na shilingi moja jamani, itatufaa sana! Hoja Binafsi.
  20. Apollo

    JamiiForums Tanzania 5G itaanza kupatikana kwa watumiaji wa iPhone nchini Tanzania 🇹🇿 katika iOS 16.4

    Apple imeongeza 5G support katika maeneo mbalimbali duniani. Tanzania ni moja kati ya maeneo ambayo sasa watumiaji wa iPhone 12 na kuendelea wanaweza kupata mtandao wa 5G. Kwa ripoti nyingi zinaonyesha baadhi ya maeneo ambayo kwa iOS 16.4 yamepata support ya 5G ni Macau na Uturuki. Lakini kwa...
Back
Top Bottom