tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Siku nikifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania; Mafisadi na familia zao zinazoneemeka kwa ufisadi, wataula wa chuya

    Habari wana Jamvi wa Jamii Forums, salamu nyingi kwenu. Napenda kuwahakikishia kwamba nawapenda sana. Ama baada ya salamu hizo za upendo, naomba moja kwa moja nidondoke kwenye mada. Kama vile tunavyofahamu kwamba Mungu anaweza kumfanya mtu yeyote, wa hali yoyote, wakati wowote, kuwa yeyote...
  2. JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania aivunja Kamati ya Mwezi na kuunda Mpya. Aiongezea nguvu

    BAKWATA inapenda kuufahamisha Jamii ya Waislam kuwa Mheshimiwa Mufti wa Tanzania ameivunja kamati ya Mwezi iliyokuwepo na kuunda kamati Mpya na kuoongezea nguvu.
  3. JamiiForums Tanzania Hongereni Air Tanzania

    Habari zenyu wana wa nchi ya Tanzania? Nipende kuchukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi wa air Tanzania ofisi ya posta karibu na supermarket ya imalaseko kwa huduma yao nzuri iliyotukuka. Hii ndio aina ya huduma tunayoitaka tunapotaka huduma kwenye mashirika ya umma. Hawa watu wanahudumia...
  4. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Viongozi Baraza la Manabii na Mitume Tanzania, Gwajima na mzee wa upako watajwa

    17 February 2023 Rais wa baraza la manabii na mitume Tanzania Dr. Joackim Peter Kimanza ... shalom waTanzania tupo mbele yenu katika uamsho wa kuwafikia watanzania mpaka ngazi za Vijiji.. kuweza kufikia hilo mimi kama rais wa baraza ninawateua wafuatao ... Toka maktaba :
  6. J

    JamiiForums Tanzania India kuanzisha chuo cha TEHAMA nchini Tanzania

    Serikali ya India inatarajiwa kuanzisha Chuo cha Teknolojia nchini ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), pamoja na kozi nyingine zinazoendana na mrengo huo. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo Dares Salaam...
  7. JamiiForums Tanzania Namna China ilivyoweza kujiendeleza, Tanzania tuna yapi ya kujifunza?

    Habari za saa wanachama wote. Siku ya leo ningependa kufahamishana nanyi moja ya jambo ambalo serikali ya China katika miaka ya 1970s ilifanya ili taifa lao liweze kupata maendeleo ya kasi. Katika miaka ya 1970s baada ya serikali ya China kuweza kurejesha ushirikiano mkubwa na mataifa ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jaji Mkuu Tanzania

    Ukipitia kesi nyingi za migogoro ya ardhi zinazoanzia kwenye ward tribunal (kwa sasa hazipo tena bali ni wasuluhishi) mpaka Court of Appeal na mwishowe kutupwa/kurudishwa kuanza upya either kwenye Mahakama ya nyumba na ardhi ya wilaya (DLHT) au kwenye Ward Tribunal (sasa haipo ni washauri)...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uhakiki vyeti (Vetting) Tanzania ni wa ovyo sana! Unapotezea watu muda pasipo sababu

    Kusema ukweli! Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana! Mfano...
  10. JamiiForums Tanzania Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Nilichogundua Tanzania Kuna watu wajinga wengi ndo maendeleo ni duni Sana

    Mfano unakuta Mtu kaajiriwa analipwa 600k Anafanya Kazi 8--9 hours Anamiliki nyumba vyumba 3 na choo cha nje Ana Ist used ya Mwaka 2005 Kaoa ana watoto 2 au 3 Basi utaanshangaa huyu Mtu akimcheka Kijana bodaboda Ambaye Hana nyumba Wala gari Ambaye hajaoa Sasa huyu kijana bodaboda hutumia...
  12. JamiiForums Tanzania TCRA yadai Clubhouse ilipotea kwasababu ya Kiufundi, sasa ipo hewani

    Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume kuigiza nafasi za wanawake, sio promotion ya mambo yale yasiyofaa?

    Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu? Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile...
  14. JamiiForums Tanzania Star Link yaanza kupigwa vita na makampuni ya simu isije Tanzania

    Makampuni mawili ya simu sitaki kuyataja wameanza mkakati wa kuhakikisha Star link haiji Tanzania kwa kuhofia ushindani. Kibaya zaidi wanagawa rushwa na hata juzi walikua na kikao kizito kizito na baadhi ya watu wasio waaminifu kutoka Tcra na maafisa kadhaa wa serikali. Hebu imagine hawa watu...
  15. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mwanariadha Mtanzania John Stephen Akhwar alivyotoa somo la uzalendo Mexico 1968

    Ukifungua ukurasa wa Google au YouTube kisha ukaandika John Stephen Akhwari hakika kile ambacho utakiona kitakufanya utamani kutazama mpaka mwisho. Jina la mtu huyo litajitokeza mara nyingi kwenye kurasa hizo na k a m a u n amfahamu b a s i itakufanya utamani kumtazama na kuona historia yake...
  16. JamiiForums Tanzania Katavi: Wanaume wamewasusia wanawake kushiriki mazishi ya watoto kutokana na imani za kishirikina

    Hamjambo? Wanaume wa kitongoji cha Namanyere kwenye mji mdogo wa Majimoto mkoa wa Katavi wamesusia wanawake kushiriki maziko ya watoto wanaofariki kwa madai kwamba vifo ni vya ushirikina unofanywa na wanawake. === Kwa utamaduni wa maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye habari kamili kuhusu tukio la 'The Battle of Manzese' atuelezee

    Wakuu Habari zenu? Nimeona mahali jamaa akizungumzia kuhusu hili tukio lililopewa jina la Battle of Manzese. Alidai kwamba kuna wasomi walitaka kuliamsha balaa, ambalo lilitokana na kuwatetea wananchi masikini. Lakini badala yake wananchi wakakimbia, wakawaachia msala wasomi wa vyuo vikuu...
  18. JamiiForums Tanzania Tangazo la Raja Club Athletic linatangaza Utalii wa Tanzania, tunalo la kujifunza!

    Nimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball. Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa wanauonyesha Mlima Kilimanjaro, Hiking, Mbuga halafu wanamalizia COMING FOR THE SERENGETI.
  19. JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Precision lisimamishwe haraka kuruka anga la Tanzania kabla ya madhara makubwa kutokea

    Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu. Serikal isimamishe shirika hili kesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya. Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar...
  20. JamiiForums Tanzania Simulizi ya Vita: Mwanzo baada ya Mwisho by M.Kitua

    HABARI WANA JF. SEHEMU YA 1 MWANZO BAADA YA MWISHO .... Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha miili yao na wengine wakihangaika kupambana na wanyama ‘beasts’ wakubwa kuliko wao walio wazidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…