tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao, Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kwa Serikali Yangu ya Tanzania

    Mimi kama Mtanzania Naomba kutoa ushauri mdogo Kwa Rais wangu na serikali Kwa ujumla Kwanza mheshimiwa Rais anafanya kazi mzuri, anaonekana ana ndoto mzuri Kwa tanzania na vision mzuri ya kuleta maendeleo Kwa Sisi watanzania Changamoto ambayo mm naiona na nataka kushauri ni kwenye upande wa...
  3. JamiiForums Tanzania Application yenye uwezo wa kununua vifurushi vya mitandao yote ya simu Tanzania

    Natafuta App moja yenye uwezo wa kununua vifurushi vyote vya mitandao ya simu, yaani nikitaka kununua kifurushi cha Tigo, Airtel, Vodacom, Halotel, TTCL, niweze kuvipata ndani ya App moja yenye package ya vyote. Natanguliza shukrani, kama unaifahamu nijulishe tafadhali.
  4. JamiiForums Tanzania Angola: Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji watoa tamko

    Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Pande mbili za Tanzania yetu

    PANDE MBILI ZA TANZANIA YETU. SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA. SEHEMU YA PILI: WANANCHI NA UFUKARA, WATAWALA NA UKWASI. TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA. Chanzo cha picha: mtandaoni.(hawa ni vijana wa kitanzania waliovalia kiasili). Tanzania ni nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania bado changa sana, hata hatujafikia teenage years

    Habari wakuu, Bila mengi, moja kwa moja naenda kwenye mada. Ukiangalia kwa umakini, viongozi wetu wakubwa wanaoindesha serikali kwa wakati huu, wengi wao ni watu waliozaliwa miaka ya 1960's. Wapo mpaka wa 1950's huko....na wachache sana ni wa 1970's...hadi kufikia 1980's ni wa kubahatisha...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Tozonia, unyongofu wa mfumuko wa bei na dira ya Tanzania

    DENI LA TAIFA NA UNYONGOFU WA MFUMUKO WA BEI Mikopo inatoa uwezo wa kununua baada ya ahadi ya kurejesha, ambapo deni linazaliwa. Uzuri wa deni au ubaya unaamuliwa kwa uzalishaji uliosimamiwa na mkopo huo pamoja na jinsi deni linavyo lipwa. Mfano: Kukopa fedha kwa ajili ya elimu ambayo...
  8. JamiiForums Tanzania Chuo kipi Tanzania chenye Unafuu wa Ada kwa kusoma Masters

    Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration. Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama kwenye Degree ulisoma kozi ingime tofauti na hii. Nawasilisha kwa mrejesho zaidi.
  9. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Iran na Tanzania kisasa

    Uhusiano wa Iran na Tanzania ya kisasa ni wa miaka arobaini hivi, tangu kufanikiwa kwa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979. Lakini Waajemi walikuwa wanakuja pwani zetu tangu miaka elfu nyingi. Ni vizuri kuona Waziri wa Mambo ya nchi za Nje wa Iran, Abdullahian, akizuru Tanzania hivi sasa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hivi wale majaji wa zamani hapa Tanzania mbona walikuwa imara sana?

    Nakumbuka kesi nyingi nzito Serikali ilikuwa inapigwa chini. Wakina Mtikila, Masumbuko Lamwai, Mabere Marando nk. kama wana hoja za msingi wanashinda kesi. Siku hizi mbona vijikesi vidogo tu ni mwendo wa kuahirisha kwa week moja au ndiyo kusikilizia maamuzi kutoka juu?! This is very sad and...
  11. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi wa Tanzania 2022

    Uchumi unaweza kuelezwa kwa namna mbalimbali. Uchumi ni jumla au mjumuisho wa shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji katika nyanja zote za maisha ya jamii au taifa husika. Uchumi ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo pamoja na kutolewa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni bidhaa za kuanzia kiasi gani zinastahili kutolewa risiti hapa Tanzania?

    Naomba kujuzwa suala hili? Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji gari IST (1290Cc) ncp60

    Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rangi bajeti yangu 10.5M. Sitaki iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali.
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

    Ama kwa hakika. Kizuri hakidumu. Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi. Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi. Tunakukumbuka sana Mkuu.
  15. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tunaweza kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi Tanzania na Afrika

    Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani na ni bara lililobarikiwa kuwa na utajiri mkubwa ulimwenguni. Afrika pia inatajwa kuwa ni bara muhimu la kimkakati katika maendeleo ya dunia, Lakini Afrika ina historia ambayo ni giza tupu na imejawa majonzi, manung’uniko,jasho na damu. Historia ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuimarishe mapambano dhidi ya ugonjwa wa akili nchini Tanzania

    Unajiona sio mtu mwenye umuhimu tena kwenye haya maisha na hujui nini kimekukuta au wapi ulipokosea, unatamani kulia sana na upate mtu wa kumweleza unayoyapitia, umeamua kuwa mtu wa liwalo na liwe, sikia nafahamu maumivu uliyokuwa nayo unahisi watu hawajali kuhusu unayopitia siyo kweli fahamu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania

    Asante Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania Na Mwandishi Maalum. Twende Pamoja. Dar es salaam Hatimaye siku iliyokuwa ikingojewa sana na kila Mtanzania, iliwadia, ya tarehe 23 Agosti, 2022, na zoezi adhimu la Sensa likaanza nchini Tanzania. Zoezi hilo limejiri siku 170 tangu Mhe Rais Samia...
  18. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanachi walio wengi Tanzania wamekubaliana na Serikali kukata tozo - TWAWEZA

  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Mapungufu ya kiutawala Tanzania na suluhisho lake

    UTAWALA (BORA) Uwepo wa Uongozi na serikali mbalimbali una lengo la kuleta maendeleo kwa wananchi wanaowaongoza na njia mojawapo ambayo ni kiungo muhimu cha kufikisha maendeleo hayo kwa wanachi hao ni utawala, hivyo utawala ambao ni bora ukizingatiwa ni wazi maendeleo na matokeo chanya...
  20. JamiiForums Tanzania 2 Programme Managers at Irish Embassy in Tanzania

    Programme Managers – 2 Posts Dar es Salaam TSH 8,743,994 per month Irish Embassy in Tanzania Embassy of Ireland Embassy of Ireland, Dar es Salaam Our mission is to promote and protect abroad the values, interests and economic well-being of Ireland and its people. The goal of the Embassy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…