tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Tozo, Miamala, Kikokotoo - Tanzania tuna Wanasheria Wasomi?

    JF team, SALAAM! Nimeona hivi karibuni Serikali ikipitisha vitu vingi ambavyo ni mzigo kwa watanzania (matajiri kwa maskini). Nimejiuliza sana kwa hakika upitishaji wa vitu vya hovyo umeshamili sana. = Kikokotoo kimepitishwa lkn watendewa ni pamoja na wabobezi wa masuala ya Sheria - hapa...
  2. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Wasalaam, Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje? === Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
  3. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania Kama hauhitajiki na CCM ufutwe tu

    Wadau habari ya jioni. Mimi napata taabu sana jinsi wanavyosumbuliwa na serikali. Hakuna tume huru polisi wanasaidia kuhakikisha ccm inashinda. Haya Mambo Ni kupotezea muda na kuzeeshana bila sababu. Yaani Kwa sisi thinkers huu ni uhuni na uhalifu mkubwa. Haya Mambo siyo ya kufurahia kabisa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa Mizigo na Vifurushi (Mikoa Yote Tanzania Bara Na Visiwani)

    Usambazaji wa mizigo mikoa yote ya Tanzania – Bara na Visiwani. Marathon Logistics inapenda kukufahamisha kwamba inatoa huduma za usafirishaji wa mizigo (midogo midogo na mikubwa) na vifurushi ndani ya Tanzania – Bara na Visiwani. Hii ni: Kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa yote ya Tanzania –...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Paroko Msaidizi wa Parokia ya Magomeni (Dar), Christopher Fosudo afukuzwa nchini, Askofu Mkuu atoa maagizo

    Taarifa ikufikie kuwa hili ndilo tamko lililotolewa na Chancellor Fr. Vincent Mpwaji wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, japokuwa kisa hakijatajwa lakini hizi ndiyo taarifa za uhakika kutoka katika kanisa hilo, jisomee mwenyewe uone Inasomeka hivi... Waheshimiwa Mapadre Wote, Jimbo Kuu la Dar es...
  6. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Oman Kushirikiana kwenye nishati ya Petroli

    Chini ya Rais Samia Suluhu, mipango hivi sasa inasukwa kati ya TANOIL, kampuni tanzu chini ya TPDC na Oman OQ ya Oman kufanya kazi kwa pamoja kwenye sekta ya kufanya bidhaa za Petroli. Mpango huu umewekwa kazi wakati wa kikao kati ya Waziri wa Nishati, Mh January Makamba na Balozi wa Oman...
  7. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania SADC yapongeza mchango wa Tanzania nchini DR Congo

    Katika mkutano wa 42 wa nchi za SADC unaoendelea huko DRC ambapo nchi mwenyeji DRC kupitia Rais wake Felix Tshesekedi amehutubia mkutano huo na bila kificho wala hiyana aliamua kutoa kongole zake za dhati kutoka kwenye mtima wa moyo wake kwa Tanzania kufuatia mchango wake mkubwa anaotoa katika...
  8. Omari Frank

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kukuza na kuendeleza Elimu Tanzania

    Mada kuu: Elimu Jina la mwandishi: Omary Frank Manispaa: Morogoro Mjini Mkoa: Morogoro Mawasiliano: 0767408787 Email: [email protected] KUHUSU MWANDISHI Omary Frank ni Mwalimu, Mjasiriamali mdogo, Mkulima na mdau mkubwa wa maendeleo. Pia ni mwanzilishi wa mradi unaojulikana kama...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, kampuni za bima za vyombo vya moto zinasaidia vipi kufanya wamiliki kuwa makini barabarani?

    Bima za vyombo vya moto zimekuwa msaada mkubwa kwa watu wanaotumia vyombo hivi hasa ikitokea chombo chako kimehusika kwenye ajali. Lakini je, kampuni za hizi za vyombo vya moto hapa nchini zinachangia vipi kufanya wanaomiliki vyombo vya usafiri siyo tu kuendelea kutumia huduma zao bila...
  10. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kuifungua Nchi na Diplomasia ya Uchumi: Uingereza yafuata China kuruhusu bidhaa za Tanzania kwenye soko lake

    Nawasalimu kwa jina la JMT, na ni matumaini yangu Kazi inaendelea. Mwezi uliopita China ilitoa certificate of clearance kwa makampuni zaidi ya 300 ya Tanzania kuingiza na kuuza bidhaa mbalimbali Nchini mwao bila kikwazo na ushuru wowote. Uingereza nayo imeungana na China kwa kuruhusu asilimia...
  11. Kitomai

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area). Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uboreshaji wa Elimu nchini Tanzania

    UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA Kwa miaka ya hivi karibuni utolewaji wa elimu nchini ya Tanzania umeimarika sana ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo serikali na taasisi binafsi zinapigania vyema katika namna ya kuboresha miundombinu ya kielimu ili kutoa elimu bora ambayo inaenda sambamba na na...
  13. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Historia ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

    Historia ya kazi na shughuli za ulinzi na usalama hapa Tanzania zilianza tangu zama za mababu zetu. Jamii nyingi zilizoishi katika maeneo mbalimbali hapa nchini zilikuwa na ulinzi wa jadi uliohusisha kila mwanajamii. Ulinzi wa jadi ulikuwa ndiyo msingi wa usalama wa jamii zote kwa wakati ule...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mengi aliwahi kusema, 'ili uendeshe biashara hapa Tanzania lazima uwe kichwa ngumu'

    Tanzania imepitia katika hatua kuu tatu kwenye mikakati ya kufanikisha maendeleo. Hatua ya kwanza ilianza mara baada ya kupatikana uhuru, hadi mwaka 1967 lilipotangazwa azimio la Arusha. Katika kipindi hiki, Tanzania ililenga zaidi katika kujenga umoja, mshikamano na heshima kitaifa. Nchi...
  15. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mikakati madhubuti ya kuboresha Sekta ya Kilimo Tanzania

    Utangulizi Kilimo ni kitendo cha kuzalisha mazao shambani. Ni mojawapo ya shughuli za mwanadamu zinazomsaidia kupata mazao kwaajili ya chakula na biashara ili kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Nchini Tanzania kilimo ni miongoni mwa shughuli muhimu na inayofanywa na watu wengi nchini, hii ni...
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Tanzania hajawahi kutokea vocalist kama Barnaba Classic

    Barnaba Classic aka Mopao ama kwa hakika ndio the best vocalist of all time. Hii nchi haijawai kupata fundi wa kucheza na sauti kama Barnaba. Anajua kufungua koo. Kwenye melodies ni noma na nusu. Pia akiimba unaipata ile fleva. Album mpya aloachia leo imejaa ufundi mtu hauwezi kuruka wimbo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania A transient democracy: My reflections of 30 yrs of multiparty democracy in Tanzania

    Prior to July 1st, 2022 I took time to read written records about a movement towards re introduction of pluralistic politics in Tanzania. On the onset it is important to note that since January, 2021 I have embarked on writing a book about our recent political history and my participation in...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapigania ustawi wa Tanzania, kwanini unaipinga?

    Wakati mwingine ukiangalia chuki walizo nazo baadhi ya watu dhidi ya CHADEMA, jambo unaloligundua kwa urahisi ni kwamba watu hao fikra zao na mwenendo wa maisha yao umeshazoea kugandamizwa. Ni kazi sana kwa mtu aliyezoea kuwa mtumwa na kuona "manufaa" ya kuwa mtumwa kukubaliana na mtu...
  19. masai dada

    JamiiForums Tanzania Naombeni adress za air Tanzania China

    Naombeni adress ya air Tanzania China upande wa cargo.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu na huduma stahiki kwa wananchi

    Kuna kitu inabidi tujiulize kuhusu makampuni ya simu na huduma tunazostahili kupata kutoka kwao, huduma ambazo ni haki yetu kupata na wala hatupewi msaada. Shida inatokea pale watanzania wapoona makampuni haya ya simu yanatuhurumia kutupatia huduma hizi na kwamba bila ya huruma yao basi huduma...
Back
Top Bottom