tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

    TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini. Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe...
  2. JamiiForums Tanzania Je, na Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani nao hujaliwa kwa 'First Class Treatment' kama waliobakia Tanzania Bara?

    Na je, na hao wa huko Tanzania Visiwani (Zanzibar Isles ) na Wao Nyumba zao zote (hata zile ambazo) hazikujengwa na Serikali (kwa mujibu wa Sheria) pia huwa zinalindwa sana hata kama Mstaafu yuko zake Kijijini anakula Mananasi au Mihogo na Nyumba zake za Mjini ziko tu na Mbwa wa Kijerumani? Na...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA)

    Serikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo na Tanzania. Akiongea wakati wa kikao cha wataalamu kutoka Tanzania na EU kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Uwekezaji...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu uendeshaji wa Uchaguzi Tanzania wadaiwa kudorora miaka ya karibuni

    Vyama Vikubwa vya Siasa nchini hasa vya upinzani vimekuwa vikilalamikia mchakato mzima wa uchaguzi kwenye nyanja zote, madai yao makubwa ni kuwa chama Tawala (CCM) kimekuwa kikibebwa na kupewa upendeleo wa wazi na mamlaka. Vyama vingine vimekuwa vikinyimwa uhuru na haki sawa ya kuweza kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanza: Uingereza yapongeza uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya kisiasa Tanzania

    Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amekutana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) na kufanya mazungumzo mafupi juu ya mwenendo wa vyombo vya habari Nchini. "Uingereza imeridhishwa na uimarikaji wa hali ya uhuru wa vyombo vya habari Nchini Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Enterprise Operation Support Engineers-L1 (5 Positions) at Airtel Tanzania

    Airtel Tanzania PLC wishes to recruit for Enterprise Operation Support Engineers-L1. The role reports to the NOC Assurance Manager. He/She will be responsible to ensure a 24/7 rota the highest achievable service availability through proactively performing correct network fault detection...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Tuzo za muziki Tanzania, ivi bongo tuna matatizo gani jama

    Juzi wizara husika kwa kushirikiana na vyombo vengine vya kisanaa vilitangaza shortlist ya majina wanaogombea tuzo mbalimbali ikiwemo tuzo za wasanii bora wa muziki Tanzania. Kinachoshangaza sana, wasanii wanaoiwakilisha nchi kimataifa i.e. diamond, alikiba, zuchu, rayvanny etc hawajajitokeza...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya Nipashe Jumapili Tanzania tulipopata Uhuru ile Desemba 9, 1961, sisi Tanzania tukiwa na rasilimali lukuki, lakini sasa hapa tulipo, tukijilinganisha na baadhi ya wenzetu nchi tulizopata nazo uhuru, wengi with nothing compared, kiukweli kabisa, sisi tumeachwa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ipo tayari kuwa Mwenyeji wa Taasisi ya Fedha Ya Afrika Mashariki (EAMI)?

    Ndugu WanaJF, Kuna taarifa njema hapa. Kuelekea uanzishwaji wa Sarafu ya Pamoja na Benki Kuu ya Afrika Mashariki, Waziri wa Fedha amepigia chapuo Taasisi ya Fedha (East African Monetary Institute - EAMI) iliyoanzishwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki iwepo Arusha na Tanzania ipo tayari kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Orodha ya wilaya 10 zinazoongoza Kwa kuwa na watu wenye furaha Tanzania

    Herehoa Wakuu! Baada ya kusoma orodha ya mataifa ishirini yanayoongoza Kwa furaha Duniani. Nikaona nami nilete orodha ya wilaya za watu wenye furaha hapa TANZANIA. Ni Kama ifuatavyo; 1. Wilaya ya Morogoro Mjini. Kama ulikuwa haujui Morogoro ndio sehemu pekee ambapo watu wake wanaishi Kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania hamko serious na Kilimo, Yaani Ng'ombe anatoa kilo 25kg za kinyesi kwa wakati mmoja na bado mnalia kwa kupanda bei mbolea ya YARA

    Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana. Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kufuata utaratibu upi kuwa na website Tanzania?

    Habarini wakuu, Je natakiwa kufuata taratibu zipi kuwa na website? Kuna vibali vyovyote natakiwa kulipia serikalini?
  13. JamiiForums Tanzania BASATA waweka wazi Nominations za Tanzania Music Awards. Ali Kiba Aongoza

    Wakuu habari za muda huu. Jana usiku BASATA waliweka wazi nominations za tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu. Vipengele ni vingi na wasanii pia ni wengi, walioongoza kwa nominations nyingi ni pamoja na Ali Kiba akifuatiwa na Professa Jay kisha Nandy na Harmonize. Wasanii ambao watu...
  14. JamiiForums Tanzania Dubai na Tanzania zilikuwa chini ya mtawala mmoja? Ilikuwa nchi moja?

    History ya nchi zetu inashangaza sana. Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri. Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam. Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi wa Tanzania linatazamaje Manda Bay yenye US military base?

    Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii, japo sio kipaumbele chetu, Je! JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU? Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  16. JamiiForums Tanzania Naiona Tanzania mpya kupitia Rais Samia Suluhu

    Wakuu kwanza nikiri kabsa kwamba mwanzo kabsa wakati mama anakabidhiwa kijiti nilikua side yake kutokana na namna alivokua anaupiga mwingi lkn badae nkaona kama anaanza kupoteza nafas za waz kabsa za kufunga hvo nikaanza kujitoa taratibu upande wake nikabaki kuwa mtazamaji tuu ila kama...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania jifunzeni kwa wenzenu wa nje

    Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano: 1. Kesi ya Mbowe 2. Usalama wa Lisu akirejea nchini 3. Uhuru wa vyama vya siasa 3. Katiba mpya 4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine. Wakati mwingine...
  18. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alituhubiria kwamba Tanzania ni ya masikini na wanyonge,lakini alishuhudia Makonda, Sabaya wakipata ubilionea kupitia Utumishi wa umma

    Wanasiasa usiwaamini Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na...
  19. JamiiForums Tanzania Vitendo hivi vya Viongozi wetu wakuu vinaibua harakati za kikabila Tanzania

    Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu wa kutoka kabila lao, kijiji chao, kata yao, wilaya yao, mkoa wao au kanda yao hajakuwa kiongozi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lwaitama atoa somo kuntu kuhusu demokrasia ya Tanzania, awaonya vijana wa CHADEMA

    Akitoa maoni yake Dr. Azavel Lwaitama mdau mkubwa katika harakati za kutafuta nchi yenye demokrasia iliyo stawi yenye maridhiano, umoja, uhuru na maendeleo amesikika huko Clubhouse kwenye mjadala wa moto unaohudhuriwa na watu wengi kuliko jukwa lingine lolote la kijamii. Dr Lwaitama amewataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…