Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mmekuwa mkiililia serikali hususan awamu ya tano, iliyopita.
Kwamba ilikandamiza na kuuminya Uhuru wa kuongea na kutoa maoni nchini. Ikiwemo kuminya Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania. Sasa ni awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan. Ameifungua nchi kimataifa.
Pia amewapa Uhuru wenu...
Hii nchi ina vituko sana!
Huko Tanga wheel loader ama kijiko kwa lugha maarufu kimekwama kupakia maroli ya kubeba shehena ya material ya kutengenezea cement yaani clinker kwa ubovu wa kuvuta miss.
Hali hiyo imesababisha makumi ya maroli kukwama kubeba shehena hiyo kwa sababu hilo la mashine...
A Mobius Model II car in Nairobi in 2019. PHOTO | NMG
Kenya’s only home-grown automaker, Mobius Motors, plans to ramp up production of its second-generation model with an eye on the regional market including Uganda and Tanzania.
The automaker, which in 2014 pioneered the production of a...
Nipo katika moja ya nchi za Ulaya kikazi na nimebahatika kuingia katika duka kubwa la Costco.
Humo katika pitapita kwenye sehemu ya groseries nimekuta kahawa ya kutoka Tanzania sehemu ya Lyamungo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.
Kahawa hii ni nzima na imeokwa (roasted) na mtumiaji hutakiwa...
Maandamano yaliyofanyika nchini Ufaransa leo tena yakiongozwa na Mkenya ni kiashiria cha ujasusi wa kiuchumi kuhusu Tanzania&Uganda juu ya ujengaji wa bomba hilo.
Kenya katika ukanda huu wa maziwa makuu imekuwa ikitumiwa sana na washirika wa magharibi na kampuni nyingi binafsi katika...
Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania.
Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo...
SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita.
Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi...
Prisca Ulomi na Faraja Mpina, WHMHT, Dodoma
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka wafanyakazi wa Wizara anayoiongoza kutambua kuwa wao ni sehemu ya kuipeleka Tanzania Kidijitali kwa kuwa wana wajibu, majukumu na dhamana ya kutekeleza sera, sheria...
Hapa Tanzania tunapiga kelele kuhusu ajira. Wengine tunataka umri wa kustaafu upunguzwe. Ukienda Congo DRC utaona vituko. Kuna watumishi wengi wa serikali wenye umri wa miaka 70 na zaidi waliopaswa kustaafu wakiwa na miaka 65. Cha kushangaza kuna zaidi ya watumishi 250 waliofikisha umri wa...
Nimejaribu kuangalia Media za nchini Rwanda, Kenya na Uganda hasa katika Coverages zao juu ya Vita baina ya Ukraine na Urusi na kugundua ya kwa Wanyarwanda, Wakenya na Waganda wameshaelimishwa na Kuchambuliwa vya kutosha juu ya Vita hiyo tofauti na Tanzania na Watanzania.
Kila nikijitahidi...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya kigaidi.
Aliyasema hayo jana alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika, hususan nchini...
Said Ibrahim Stawi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), Tawi la SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), ambaye aliachishwa kazi kwa kile alichodai ni harakati zake za kupigania maslahi ya wafanyakazi kiwandani hapo amesimulia...
Tanzania ina sera ya kutofungamana na yoyote kati ya Magharibi au Mashariki.
Hili linaeleweka miaka yote.
Kitendo cha Umoja wa Ulaya kutaka Afrika na Tanzania watoe tamko dhidi ya Urusi ni kuingilia Uhuru wetu.
Tunatambua kuwa tunapata msaada mkubwa kutoka "west" lakini hii isiwe sababu ya...
Bajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu.
Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu.
Je, tunaogopa walami? Hakuna siku walami wataturuhusu kuunda silaha kali za kivita bali sisi tunatakiwa...
Unawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini Nigeria.
Mkitaka mpambwe kwa Kucheza Jangwani Mafuriko Zizi la Ng'ombe League ndipo mfurahi na...
Wasalaamu wanaJF,
Ni kawaida yangu kuleta kwenu hoja za kizalendo na kuwaachia mfikiri kwa kina, kwa haraka na kwa muda mrefu. Hoja zangu hizi huwa hazina mvuto wa kisanaa bali kisayansi.
Swali langu la leo na hoja yangu ni kuhusu vita vinavyoendelea huko UKRAINE.
1. Ni ukweli usiopingika...
Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Balozi Mette Norgaard Spandet jana 23/03/2022, alifika kwenye ofisi za JF Jjijini Dar es Salaam na kukutana na viongozi na wafanyakazi kwa lengo la kujionea namna mtandao huo unavyofanya kazi.
Ambako alikutana pia na Mkurugenzi wa JamiiForums na kubadilishana naye...
MECHI YA STARS NA BOTSWANA YAOTA MBAWA
Chama cha soka cha Botswana (BFA) kimetoa taarifa rasmi ya kuifuta mechi ya kirafiki dhidi ya Tanzania iliyokuwa ifanyike Machi 26. 𝐌𝐞𝐜𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐭𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝐲𝐚 𝐁𝐨𝐭𝐬𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐢𝐥𝐢𝐲𝐨𝐩𝐚𝐧𝐠𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐜𝐡𝐞𝐳𝐰𝐚 𝐝𝐡𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐌𝐚𝐜𝐡𝐢 𝟐𝟔, 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐢𝐦𝐞𝐟𝐮𝐭𝐰𝐚.
𝐌𝐞𝐜𝐡𝐢 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐢𝐦𝐞𝐟𝐮𝐭𝐰𝐚...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.