funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Wasalaamu wanaJF,
Ni kawaida yangu kuleta kwenu hoja za kizalendo na kuwaachia mfikiri kwa kina, kwa haraka na kwa muda mrefu. Hoja zangu hizi huwa hazina mvuto wa kisanaa bali kisayansi.
Swali langu la leo na hoja yangu ni kuhusu vita vinavyoendelea huko UKRAINE.
1. Ni ukweli usiopingika kuwa mataifa ya Magharibi yamejiwekea mikakati mahsusi ya kutawala dunia kiuchumi.
Je, Tanzania imejipangaje kukabiliana nayo bila kujali uchanga wa Taifa na uchumi mdogo wa Taifa?
Ni mikakati gani tuliyonayo ya kujiimarisha dhidi yao?
2. Hivi kama Taifa tunasimama vipi katika kuamua juu ya sera mahususi za kukwepa vimbunga vya wakubwa wawili? Yaani western vs eastern blocks?
Tunaishije salama dhidi ya vita baridi?
3. Kama Taifa tuna ambitions zipi za kusimama na kufikia viwango vya wakubwa?Je tuna mpango mahususi wa kujiimarisha na kuwa juu ya yoyote duniani haswa Mataufa makubwa?
4. Kama Taifa tunataka kuegemea kwenye mrengo upi hapo baadae kwani kubaki katika mstari wa kutofungamana na uoande wowote kunaweza kuwa ni shida hapo mbeleni.
5. Kama Taifa tuna mpango gani wa kujiimarisha kiuchumi,kiteknolojia na kijeshi dhidi ya majirani zetu?majirani zetu wameshaanza kuchukua uekekeo.
6. Kama Taifa tuna utaratibu gani wa kureview misimamo yetu dhidi ya dunia yenye kukua na kubadilika kila uchao?
7. Kama Taifa tuna rasilimali nyingi, Je kuna mpango mahisusi wa kuzitumia katika kuendeleza Taifa,kuhujumu mataifa mengine na kuiteka dunia kwa culture yetu?why not?hatuwezi kukaa kama maboya tu.
8. Kama Taifa ni lini tunaachana na directives kutuka Mataifa makubwa au taasisi kubwa za kimataifa?kama binadamu wa kwanza alitokea hapa kihistiria hatuna budi kuonesha dunia kuwa sisi ni Taifa la Mungu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!