tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

    MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;- 1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu ilivyo nguzo muhimu kuleta mabadiliko ya kiuchumi Tanzania

    Dunia inaendelea kushuhudia maabadiliko makubwa ya kiteknolojia sehemu mbali mbali kwa kasi ya ajabu. Sehemu kubwa ya matunda ya teknolojia mfano matumizi ya simu mkononi ambayo yapo sasa, yasingeweza hata kufikirika mwanzoni mwa karne ya 21. Ukweli usiopingika ni kwamba, kadiri maendeleo ya...
  3. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ikicheza Simba/Yanga na Polisi Tanzania, shabikia Polisi Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema, amejisikia vibaya Yanga Sc walivyoifunga timu ya Usalama kwenye mchezo wa hivi karibuni Amesema Jeshi la Polisi ndio wanaolinda usalama wa nchi sio Yanga Sc, hivyo ikitokea Usalama wamecheza na timu yoyote raia inapaswa washabikie Polisi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 As October 28, 2020 approaches let us not forget, Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your

    Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your country. This is your democracy and so make it, protect it and pass it on. Democracy is not a spectator sport, it's a participatory event. If we don't participate in it, it ceases to be a...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya amani yaazimia kuwe na siku tatu za kufunga ili kuombea uchaguzi upite kwa amani

    Kamati ya amani na dini mbalimbali Mkoa wa Singida inayojumuisha viongozi wa madhehebu na dini zote imetoa tamko lenye maazimio saba kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu huku ikiwaomba waumini wao kumtanguliza Mungu na Serikali kusimamia amani na utulivu ili...
  7. JamiiForums Tanzania Imperialism And Patriotism: Their Relevance In The Current Tanzania’s General Elections

    The incumbent President of the United Republic of Tanzania, H. E. Dr. John Joseph Pombe Magufuli, has on a number of occasions expressed his scepticism on imperialism and concern over it’s camouflaged multifaceted manifestations in the country. For many people ‘imperialism’ (in Swahili...
  8. JamiiForums Tanzania JPM the towering pillar of African renaissance

    On 28th, October 2020, Tanzanians will be deciding the destiny of their nation through ballot box, in the sixth general elections since the East African nation opted multiparty democracy in the early 1990s. However, this elections is not the same as the other last five elections since 1995...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Demoted back to LDC Status

    Tanzania has been demoted back to an LDC country according to the Regional Economic Outlook Report published by IMF in October 2020. The membership of countries reflects the most recent data on per capita gross national income (averaged over three years) and the World Bank, Country Policy and...
  10. JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara

    INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji. “Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji, walivamia Kijiji chetu cha Kitaya na kufanya uhalifu...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Maoni ya Balozi Wright kuhusu Uchaguzi wa Tanzania

    Nilifika nchini Tanzania kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 30 iliyopita kufanya kazi ya kujitolea kama daktari na uzoefu huo ulinifanya nijenge heshima na mapenzi ya kina na ya kudumu kwa Tanzania na Watanzania. Ilikuwa ni heshima kubwa sana katika maisha yangu, baada ya miaka mingi, kupewa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP): Yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake

    Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP) Biswalo Mganga amesema yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake. Biswalo ameeleza hayo leo Ijumaa Oktoba 23, 2020 wakati akizindua ofisi ya Taifa ya mashtaka wilaya ya Mufindi iliyopo mjini...
  13. JamiiForums Tanzania Fundi umeme anaitajika Moshi - Tanzania

    Cube Operator (Electrical) Job Description : Reports To: Production Manager Serengeti Breweries Limited (SBL) is a fully integrated beverage business in Diageo Africa (supply and demand for beer and spirits). It is a subsidiary of East Africa Breweries Limited (EABL), the largest business unit...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 EU declaration on the upcoming elections in Tanzania

    The citizens of the United Republic of Tanzania will elect on 28 October their President, Members of the parliaments of the Union and Zanzibar, as well as local councillors. The European Union would like to reiterate its support to the development and prosperity of the people of Tanzania and, in...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuwapeleka Polisi kutembelea wenzao wa Ujerumani, Uingereza, Australia, Ufaransa, China & USA kubadilishana uzoefu

    Nadhani ili kubadilishana uzoefu wa kazi ni vyema polisi wetu wakawezeshwa na Serikali kwenda nchi nilizozitaja hapo juu kuona wenzao wanafanyeje, ili kama kuna mapungufu wayajazilishie na kama wenzao wanayo wawajazilishie Mfano wataangalia selo zao na aina ya bajeti waliyojiwekea ktk...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC Tanzania isiingiliwe, lakini isiingilie madaraka ya vyama

    WanaJf, Salaam! Naona tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC imepewa meno makali ya kisheria ili kuleta ufanisi ktk uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini 28 Oktoba 2020. Hata hivyo nashauri yafuatayo: Mosi, tume isifanye kazi kama kiranja badala yake iwe kama mzazi (siyo lazima kila jambo...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Ukiamua kutafuta kazi kwa Mikoa ya Tanzania kwenye makampuni, ofisini, viwandani, mtaani, kwa siku tatu utakosa kweli

    Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary. Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige tu.
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

    I first came to Tanzania over 30 years ago to volunteer as a doctor, and that experience instilled in me a deep and lasting affection and respect for Tanzania and the Tanzanian people. It was the greatest honor of my life to be given the opportunity to come back all these years later to serve as...
  19. JamiiForums Tanzania VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

    Karibuni tufuatilie mechi hizi pamoja Tushuhudie vigogo hawa watakavyofanya hii Leo Utaburi wangu Prison 0- 3 Simba Yanga 1- 3 Tanpolis OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @Forteleza na wengine toka vyurani Updates Kikosi cha simba Manula Kapombe Tshabalala Nyoni Onyango Mkude Mzamiru Bwalya...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 24% of total households in Kenya uses LPG Gas for cooking, in Tanzania only 5% uses LPG Gas.

    I always like comparing statistical analysis of Kenya and Tanzania lakini today it seems like mashetani zangu zimenifikisha kwa LPG Gas. I was really surprised to find out that with all those noises from our neighbors about natural gas kumbe only 5% of Tanzanians use LPG gas to cook while In...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…