tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mugah di matheo

    TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

    Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39..... Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003. --- Beki wa zamani aliyekipiga Simba SC na Yanga SC, Ramadhan Waso, raia wa Burundi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 25...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania anatokea kinondoni...... Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
  3. DeepPond

    TANZIA Sophia Leone afariki dunia

    Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka zinazohusika. Chanzo: New York Times, New York Post
  4. Teknocrat

    TANZIA Mwanariadha Kelvin Kiptum afariki dunia

    Mwanariadha Kelvin Kiptum aliyevunja rekodi ya mbio za Marathon duniani hivi karibuni mwaka jana 2023, afariki dunia kwa ajali ya gari. R.I.P World marathon record holder and London Marathon winner Kelvin Kiptum and his coach have died in a car crash, Kenya's former prime minister has said...
  5. The Supreme Conqueror

    Maisha na Nyakati za Marehemu Edward Ngoyai Lowassa

    Jana, Makamu wa Rais Dokta Philip Mpango aliwatangazia Watanzania kwamba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Tanzia hii inazungumzia matukio muhimukuhusu marehemu Lowassa ambaye alishika nyadhifa mbalimbali serikalini na kisiasa. Makala haitozungumzia...
  6. Sir John Roberts

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha na Makamu wa Rais, Philip Mpango amelitangazia Taifa. Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa...
  7. Intelligent businessman

    TANZIA Muigizaji Carl Weathers afariki Dunia

    Carl Weathers, ambaye shughuli zake za utafutaji wa ugali zili anzia kwenye mchezo wa nfl Hadi uigizaji. Ana kumbukwa kutokana na uigizaji wake nzuri, kwenye filamu kama Creed, na Predator. Taarifa kutoka kwa familia ina sema ni hali ya kawaida na si tatizo jingine. Rest well legend!
  8. K

    TANZIA Producer Geof Master aliyefanya kazi Tongwe Records afariki dunia

    Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikuwa na uvimbe puani na alikuwa kwenye harakati za kufanyiwa upasuaji. Naambiwa leo asubuhi amefariki. Mama yake...
  9. KING MIDAS

    TANZIA Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya afariki dunia

    Mwana harakati mahiri wa kutetea haki za watu weusi wajitambue na warudi kwenye asili yao Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya amefariki dunia huko Sengerema mkoani Geita 🇸🇪. Kissendi aliugua muda mfupi kabla ya kufariki kwake. Mipango ya mazishi inaendelea. Bado wana familia hawajaweka wazi ni...
  10. MK254

    Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  11. Chinga One

    TANZIA Director Nisher afariki dunia

    Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023. Familia ya Dr...
  12. peno hasegawa

    TANZIA Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia

    Taarifa zaidi zitaendelea kutufikia. Poleni kwa msiba mkubwa!
  13. Poppy Hatonn

    TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia. We will update this. Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted. Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi. Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
  14. Faana

    TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

    Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari. Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
  15. Poker

    TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

    Mwimbaji wa Bongofleva na mwanachama wa JamiiForums, Haitham Kim amefariki dunia hospitali ya Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu. Meneja wake amethibitisha. Hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake. Bryson ambaye ni...
  16. Intelligent businessman

    TANZIA Mcheza mieleka, Bray Wyatt afariki dunia

    The WWE universe has been thrown into a state of mourning following the demise of one of her sterling superstar and former World Champion, Bray Wyatt who passed on in the late hours of Thursday after battling with months of life threatening injuries. Our thoughts remains with the WWE and in...
  17. benzemah

    TANZIA DJ Steve B afariki dunia

    Moja kati ya Ma-DJ ambao waliowahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki dunia jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu. Kwa muda mrefu...
  18. M

    TANZIA Shekhe Basaleh Afariki Dunia. Aliitetea vyema imani akiwa mwanzuoni

    Mwanazuoni na sheikh maarufu Maalim Basaleh amefariki dunia leo Jumapili katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu akisumbuliwa na matatizo ya figo na saratani. Mtoto wa marehemu Abdullatif Ali Basaleh amesema baba yake amefariki saa 12 jioni baada ya kulazwa kwa takribani...
  19. Slim5

    Mwanaharakati wa Haki za watu weusi nchini Marekani Mutulu Shakur afariki Dunia

    Tanzia. Mutulu Shakur, Mwanaharakati wa haki za Weusi wa Marekani, Mfungwa alietumikia Miaka 35 Jela Kati ya 60 aliohukumiwa, Baba wa kufikia wa Mkali asiyechuja Tupac Shakur amefariki! Amefariki nyumbani akiwa na familia yake. Enzi za uhai wake alikuwa Mwanachama wa New Afrikan Movement na...
  20. MAWEED

    TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

    Salaam, Mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya kupitia tiketi ya chama cha CCM, ndungu Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo. Update zote kuhusu maziko, ugonjwa na msiba nitaleta hapa.. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Innalillah wainna ilayhi rajiuun. === Kupitia...
Back
Top Bottom