Klabu yenu pendwa ya Simba imepangwa na bingwa mtetezi wa Caf CL, Waidad Casablanca, kwenye robo fainal ya Caf CL.
Kwa wale wasioifahamu vizuri Waidad AC, nawaomba mje kwa Mkapa hapo tarehe 21/04/2023, ili mshuhudie klabu yenu pendwa ikibatizwa kwa moto.
Kile kipigo cha tatu, tatu...