tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CM 1774858

    Shaka Hamdu Shaka mgeni rasmi " The Big Praise Concert " FPCT Kurasini

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Praise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana, Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada...
  2. Daniel Aloyce Daniel

    Kuanzia tarehe 20/12 mtapata kuku wa nyama kwa bei poa kabisa

    Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas 🎄. Tupeane ka support hapo. Wasiliana na Mimi kupitia (WhatsApp and normal) +255 743 016 950
  3. BAKIIF Islamic

    Mualiko kwa wana JamiiForum: Tarehe 12/12/2022 tutakuwa na Mawlid ya Mtume Muhammad (S.A.W) hapa BAKIIF ISLAMIC

    السَّلاَمُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ اللهِ وَبَرَكَاتُهُ Kama mjuavyo uislamu sio dini ngumu, thamani ya Biriani, Pilau na Ubwabwa, viliwe katika mjumuiko wa kheri ambao MUNGU anauridhia, hivyo tunachukua fursa hii kuwatangazia waislamu wote wa JamiiForum kwamba Tare 12/12/2022 siku ya Jumamosi saa...
  4. Ngongo

    Tarehe 17/11/22 nitaongoza Ibada ya kuombea mvua. Wote mnakaribishwa

    Heshima kwenu wanajamvi. Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT. Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa. Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe...
  5. Danny22

    Mwenye Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012 naomba anisaidie

    Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012 Tafadhali, kwa yeyote mwenye waraka huo au anayejua maudhui yake naomba anisaidie Waraka huo unazungumzia: Utaratibu wa kuomba Kibali cha kurejea katika Utumishi wa Umma Mara nyingi nafasi za ajira serikalini zinapotoka zinawataka "waombaji...
  6. February Makamba

    Movie ya Rango ilitabiri huu Mgao wa maji na Umeme utaisha lini

    Kuna watu wanahisi huu mgao labda ni kitu cha muda mfupi, yani labda by December mambo yatakuwa shwari. Hii imenikumbusha ile scene ya movie ya Rango ambapo Rango anakutanishwa na Mayor wa kijiji cha Dirt kwa mara ya kwanza. Kijiji cha Dirt kimekuwa kina shida ya ukame na watu hawana maji kwa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Mvua zitaanza kunyesha Kuanzia tarehe 18 Mpaka 26 Mwezi huu ingawaje hazitakuwa nyingi

    MVUA ZITAANZA KUNYESHA KUANZIA TAREHE 18 MPAKA 26 MWEZI HUU INGAWAJE HAZITAKUWA NYINGI Anaandika, Robert Heriel, Mwanajiografia Hali ni Tete Kwa sehemu ya nchi kuwa na uhaba wa mvua. Hii ni kusema kuna janga la ukame kinaendelea. Kijiografia Mvua zilipaswa zianze mwezi mmoja baada ya jua...
  8. M

    TP Mazembe 8-0 Club Africain, tarehe 02 February 2019

    Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP Mazembe. Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama...
  9. Danny22

    Mwenye Waraka wa Serikali Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012 naomba anisaidie

    Tafadhali, kwa yeyote mwenye waraka huo au anayejua maudhui yake naomba anisaidie Waraka huo unazungumzia: Utaratibu wa kuomba Kibali cha kurejea katika Utumishi wa Umma. Mara nyingi nafasi za ajira serikalini zinapotoka zinawataka "waombaji waliowahi kuajiriwa serikalini na kuacha kwa sababu...
  10. Ahyan

    Tarehe 23.10.2022 Siku ya Jumapili Simba akifanikiwa kumfunga Yanga niko pale!

    Kwa ufupi sana, hiyo siku simba hawezi shinda, labda ashinde njaa. Hana ubavu wa kumfunga Yanga, akijitahidi sana basi atoe sare, na ni baada ya kupunguza magoli mawili ya Yanga ili iwe 1:1. Lakini uhalisia ni Yanga 3 : Simba 1. Simba akifanikiwa kumfunga Yanga niko paleeee!
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    UTABIRI: Oktoba 23, Simba 3 - 0 Yanga

    Declaration of interest. Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu. Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha ubora wa timu, ubora wa wachezaji mmoja mmoja, mbinu za uwanjani na za nje ya uwanja. Jambo lolote...
  12. M

    Simba tujipange, Uto wamekamia kumalizia hasira yao tarehe 23/10/2022. Tawi la mwisho liteleze!

    Iko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba. Kwa mtazamo wa Yanga, kumfunga Simba ni kama kuchukua Kombe la Duinia, huwa...
  13. Vawulence

    Press conference ya Yanga 18. 10. 2022

    Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano. Tutarajie kusikia yafuatayo: 1. Makubaliano ya pande mbili yamefikiwa 2. Malalamiko ya kutosha kwa muamuzi wa jana kwani wanaamini Arajiga ndio angefaa...
  14. Mtu Asiyejulikana

    Tarehe 23 Simba hatoki. Piga ua anakufa hapa kwa Mkapa

    Huko sijui CAF, sijui wapi, siyo suala kubwa sana. Sisi Yanga tutamchapa Simba kila mchezo ambao tutakutana naye. Tutamchapa ndani, tutamchapa nje. Hili liwekeni akilini. Haya mengine ya sijui CAF, siju Confideration ni ziada tu. sisi tunapambana sana tuweze weka heshima mjini. Tumchape Simba...
  15. GENTAMYCINE

    Unakufa kwa Mwarabu tarehe 16 Oktoba, 2022 na Unakufa vibaya kwa Mkapa tarehe 23 Oktoba, 2022

    Anzeni sasa kujiandaa kulaumiana kwani leo kwa kujiamini kabisa GENTAMYCINE naandika hapa kuwa unafungwa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba, 2022 huko nchini Sudan, lakini unaenda kufungwa vibaya Tanzania kwa Mkapa tarehe 23 Oktoba, 2022. Nikisema jambo hapa niamini 99.9%.
  16. Mcanada

    Mechi ya Al Hilal dhidi ya Yanga tarehe 16.10.2022, Al Hilal atashinda goli mbili au zaidi

    Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals)...
  17. youngsharo

    Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    𝘽𝘼𝙍𝙐𝘼 𝙔𝘼 𝙒𝘼𝙕𝙄 𝙆𝙒𝘼 𝙐𝙊𝙉𝙂𝙊𝙕𝙄 𝙒𝘼 𝙏𝙄𝙈𝙐 𝙔𝘼 𝙔𝙊𝙐𝙉𝙂 𝘼𝙁𝙍𝙄𝘾𝘼𝙉𝙎 (𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀) 13/10/2022 Habari ndugu viongozi wa timu yangu pendwa 𝙙𝙖𝙧 𝙚𝙨 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙖𝙢 𝙔𝙤𝙪𝙣𝙜 𝘼𝙛𝙧𝙞𝙘𝙖𝗻𝙨, au kama mnavojiita kiswahili 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮, au mnavotambulika 𝗧𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶. Kwanza kabisa nitoe kongole kwenu viongozi na wote mlioiwezesha Yanga kufikia...
  18. sinza pazuri

    Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

    Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa. Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz. Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu...
  19. dalalitz

    Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022

    Salaam, Kwa heshma na taadhima tunakumbushana; Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024] Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA. Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe...
  20. sifi leo

    Waziri Mkuu huwa Kikatiba Rais ikiwa Makamu wa Rais na Rais hawapi nchini

    Najua aliye rithi uraia yupo Maputo, Makamu wake yupo nje ya Africa amepeleka umbea wake yakuwa samaki wa ziwa Victoria wanaoshwa na maji ya mahitii Sasa anashikia Ikulu ni Kassimu Majaliwa na ndio maana na Tozo ameziondoa Jana mbona TBC mnalipoti KUWA ni Waziri mkuu
Back
Top Bottom