Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu.
===
Aliyoyazungumza waziri Mkuu.
Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
Habari ndugu wanajukwaa..
Kiukweli inashangaza kwamba Leo tarehe 25 July ni Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wa Nchi hii lakini hakuna hata mtu anaefahamu zaidi ya kuwaona Viongozi wa Serikali Wakijikosha kwenye majukwaa..
Kiukweli kwa Heshima ya Watu waliomwaga damu,jasho zao na nguvu Lai...
Abdallah Kibadeni akaishia kupiga zake hat trick ya kwanza na ya pekee katika derby ya kariakoo. Utopolo mpaka leo wameshindwa kulipa kichapo hiki.
Naambiwa baada ya mechi hii, bakora za kutosha zilitembea sana jangwani!
Kwahyo sio mbaya wakati tunaenda mbele tusisahau na tulikotoka, Utopolo...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo.
Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
Leo ni July 15, Ni kumbukukizi ya siku ya kuzaliwa kwangu.
Naomba Nichukue sekunde zako chache Tuwatakie wote waliozaliwa terehe kama ya leo kheri na fanaka tele katika maisha yao!
Mimi hupenda kusoma magazeti kwa sababu mbalimbali. Katika magazeti ya nyumbani Gazeti la mwananchi halikosikani katika menu yangu pale inapowezekeana
Mada
Leo nimesoma article inayosema "Harufu kali machinjio ya Vingunguti yaleta kilio". Kilichonifanya kuandika humu si harufu wala kilio, ni...
Salaamm Wakuu,
Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo wanaohofu kwamba Watahamishwa. Tuisome kwa Pamoja na tutafakari, je kulikuwa na Lazima ya kutokukaa meza...
Shukrani nying sana ziende kwa Allah na Wazazi wangu ,leo tarehe 05/June 2022 nimetimiza umri wa miaka 25.
Sasa nita focus kwenye uwekezaji wa biashara tu.
Viwanda vinazidi kuchipuka kote..
Jumbo Steel Mills’ new Sh2 billion Kisumu plant will begin operations on June 5, promising at least an additional direct 600 jobs for locals.
The firm's managing director Harshi Patel said the new plant will produce various steel products such as rebars, mild...
Kutokana na maoni ya wadau mbali mbali jukwaani hapa pamoja na forum mbali mbali kama BETA BLOCKER/BISOPROLOL WITHDRAWAL FORUM, Leo nimeamua kuacha hizi dawa kwa kufanya yafutayo.
1. Kwanza ifahamike kwamba mwanzoni nilikua nameza kidonge kizima cha NEBIVOLOL chenye 5MG, na badae nikapunguza...
Wataalamu wa nyota wanaelezea kuwa kutakuwepo na kupatwa kwa Mwezi kesho katika sehemu kadhaa za Dunia. Kwa upande wa Tanzania tukio hilo litaanza mwendo wa saa 10 alfajiri hadi milango ya saa 12 asubuhi. Naambatisha tukio hilo kwa Dar es Salaam toka maelezo ya hao Wataalam.
Habari zenu bwana mko salama ?
Nimewapa taarifa nafurahia sana
Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu
Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize
Upsala University
Karibuni.
Itafanyika Bukoba TANZANIA...
Habari Wakuu.
Naomba msaada kwa anaefahamu format ya namba ya utambulisho NIN kwenye kitambulisho cha taifa anijulishe maana ya makundi mbalimbali ya namba ukiacha tarehe ya kuzaliwa.
Sikuweza kupata maelezo mtandaoni.
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kupanga kufanya gwaride la kijeshi la 'Siku ya (mashujaa) katika mji uliotekwa wa Mariupol tarehe 9 Mei kusherehekea ushindi dhidi ya Wanazi katika vita vya pili vya dunia, AFP inaripoti.
Idara ya upelelezi ya kijeshi ya Ukraine ilisema afisa kutoka utawala wa rais...
Nimeshtuka sana kusikia eti kesho mafuta yanapanda tena bei hadi kufikia 3,400/= kwa lita kwa baadhi ya mikoa.
Hivi itakuwaje kama wenye magari wote watasusa na kupaki magari kesho. Au tuamue hapa hapa...
Wasalaam,
Natumai mnaendelea salama wote, kuna taarifa inaenea sana kuwa mwezi umronekana jana maeneo ya Tandahimba na masheikh wa Bakwata, wakawapigia simu Bakwata makao makuu lakini wakazipuuza hizo taarifa na kuwatangazia raia kuwa mwezi haukuandama siku ya jana hivyo leo watu waendelee...
1. Kujiona ( Kujimwambafai ) kabla ya Mchezo kuanza kwa Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston Mayele kulichangia Kumharibu / Kumharibia Kisaikolojia kwani Kitendo kile ni kama vile kiliwapa Kengele Mabeki wa Simba SC waongeze juhudi maradufu katika Kumdhibiti hadi akashindwa Kufurukuta.
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.