tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wanaipenda Siku ya Jumamosi wakiamini huwa na bahati Kwao, ila wakasahau kuwa tarehe 30 huwa si nzuri Kwao

    Na Waganga wenye Akili huwa hawachezi na bahati ya Siku bali hucheza sana na bahati ya tarehe na bahati nzuri tarehe 30 huwa inaipendelea Timu isiyo Mwenyeji Kuiumiza Timu inayoiamini na kuipenda Siku ya Jumamosi.
  2. snipa

    Account ya Diamond Plutnumz yadukuliwa tena Leo tarehe 26 April

    Mwanamuzi kutoka Tanzania anaejulikana kama diamond Plutnumz kutoka Wasafi Account yake ya YouTube yadukuliwa Kwa mara nyingine Leo tarehe 26 April
  3. N

    Waombaji wa kazi za Kada ya Afya TAMISEMI, kuna tatizo kwenye mfumo wa maombi ya ajira

    Hili tatizo tangu mfumo ufunguliwe! Ni nani ameshafaulu hapa? Kwenye kuchagua mahala pa kufanyia kazi hapafunguki kabisa.
  4. Rakims

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Habari zenu wana ndoa na wenye ndoto za ndoa, Yawezekana umewahi kusikia kauli maarufu sana inasema; "Kosea yote usikosee ndoa" Katika thread hii nitakupa maana halisi na siri iliyojificha nyuma ya kauli hiyo hivyo ukiweza kunitajia tarehe yako na ya mwenza wako na herufi zenu za...
  5. Expensive life

    Mashindano ya Quran kufanyika sehemu nyingine tarehe 17 mwezi wa nne?

    Wanabido, wote tunafahamu kuwa tarehe 17 mwezi wa nne kutakuwa na mashindano ya Quran uwanja wa mkapa. Siku hiyo hiyo pia kutakuwa na mchezo kati ya Simba sc dhidi ya Orlando pirates ya south Africa hatua ya robo fainali caf confederation cup. Je! Kuna uwezekano matukio haya mawili makubwa...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia atangaza Agosti 23, 2022 kuwa tarehe rasmi ya sensa nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anazindua nembo na tarehe ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, leo tarehe 08 Aprili, 2022 Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Rais Samia ameanza kuzungumza muda huu... Rais Samia: "Taarifa nilizonazo ni kuwa oparesheni inaendelea...
  7. Lady Whistledown

    Hatma ya Will Smith Kujulikana tarehe 8 Aprili 2022

    Bodi ya Magavana ya Chuo cha Sanaa na Sayansi ya Picha Motion imesogeza tarehe iliyopangwa ili kuamua kuhusu uwezekano wa vikwazo dhidi ya Will Smith kwa kumpiga kofi Chris Rock kwenye sherehe za tuzo za Oscar mwaka huu. "Ninaitisha mkutano wa bodi kwa Ijumaa asubuhi, Aprili 8, saa 9:00 asubuhi...
  8. GENTAMYCINE

    Ni matumaini yangu Uongozi wa Simba SC utaandaa Uongo wa kutuambia kwanini Bernard Morrison hatoenda South Africa tarehe 24 April, 2022

    Na GENTAMYCINE najua ili 'Kutuzuga' zaidi na Wawahadae Majuha (Mazuzu) wengi huyu Mchezaji ataambiwa ama ajifanye Kaumia Mechi yetu ya Kwanza na Orlando Pirates FC tarehe 17 April, 2022 au acheze Faulo apate Kadi Nyekundu ili sababu ya Yeye kutoenda Afrika Kusini katika Mechi ya marudiano na...
  9. Ferruccio Lamborghini

    Tarehe 31 Machi, 2022 TTCL wanapandisha bei ya vifurushi

    Noma sana wakuu, tarehe tajwa hapo juu 31.03.2022, shirika la serikali la mawasiliano litatupiga na kitu kizito sana kichwani, wanapandisha vifurushi. Bufee inaweza kuondolewa maana inawatia hasara tu. Toboa night HAIRUDISHWI ng'o Si mnakumbuka tuliambiwa tuhamie Burundi tukaanza kuleta...
  10. alaksh natena

    Kufariki kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne Thaqaafa Sec Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 20/03/2022, uzembe wa shule hii umulikwe

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza. Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni...
  11. G

    Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

    Wakuu heshima mbele, Binafsi nilikuwa nataka kujiridhisha kwa usahihi zaidi ijumaa kuu ya mwaka huu na pasaka yake itakuwa tarehe ngapi hasa. Ikizingatia jumatano ya majivu ilianza tarehe 2/3/2022 na kwa mfumo uliozoeleka wa mfungo wa kwaresima huwa ni siku 40 na kwa hesabu hiyo ya siku...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Jua kesho tarehe 21 Machi litaingia Ikweta, Masika kuanza

    Kwema! Joto la leo likanifanya niikumbuke Jiographia ya Kidato cha Kwanza. Leo na kesho Tarehe 20 na 21 March Jua litakuwa Ikweta baada ya kuingia katika kizio cha Kusini (Southern Hemisphere) Tropical of Capricorn tangu mwaka jana Septemba lilipokuwa pia Ikweta. Hivyo ni kusema jua...
  13. lee Vladimir cleef

    Leo tarehe 16 Machi 2022 NATO waanza mazoezi makali ya kijeshi

    Nimeiona hii habari Al Jazeera. Umoja wa NATO wamekutana katika mji wa Oslo Norway na kuanza mazoezi makubwa ya kivita ambayo hayajawahi kufanyika kabla. Mazoezi hayo ambayo wao wamedai ni mazoezi ambayo hufanyika Kila baada ya miaka miwili yatahusisha kujikinga na mashambulizi ya nyukilia, na...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Tarehe 17 Machi huku wakifanya sherehe za kumbukizi za kifo cha Magufuli, sisi wengine tutafanya sherehe za shukrani kwa uongozi wa Samia Suluhu

    Habari, Ambao tuna jambo letu la shukrani kwa Mungu tukutane Alhamisi hii ya tar 17 Machi, 2022. Mimi nasherehekea mwaka mmoja wa uongozi wa Samia Suluhu maana najua tangu Magufuli afe tarehe 17 Machi 2021 SAMIA SULUHU ndiye kawa kiongozi mpaka sasa. Ninaweza kuorodhesha mazuri ya RAIS SAMIA...
  15. peno hasegawa

    Tarehe 17.3.2025 inakaribia, watanzanisa tunasubiri kauli ya serikali kuhusu mpendwa wetu,

    Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo...
  16. Naipendatz

    Video: Mapokezi ya Mbowe ukumbini Iringa leo Tarehe 08/03/2022

  17. Nyankurungu2020

    Mwaka jana tarehe kama hizi, wanaCCM waliokuwa na chuki na hayati JPM walikuwa wakionyesha kebehi zao huko Twita na kuwaona Watanzania wajinga

    Watanzania wengi hawakujua kwa nini waliomchukia hayati Magufuli walikuwa wakimkebehi kupitia mitandao ya hasa Twita. Baadhi yao wakaanza kupost picha za magari ya kijeshi yakifanya mazoezi ya parade ya kuaga mwili wa mkuu wa nchi. Wengine wakapost Brassband ya jeshi ikifanya mazoezi ya nyimbo...
  18. Iamhonest

    Msaada wa tarehe za kuzaliwa za wazazi kwenye tovuti ya kuomba passport ya kusafiria

    habari zenu. samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
  19. Analogia Malenga

    TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka. Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande akisema kwamba suala hilo limekuwa...
  20. Pascal Mayalla

    Japo Valentine's ilikuwa tarehe 14 February, kwa TotalEnergies bado wanaendelea kumwaga zawadi za Valentine's hadi Tarehe 27 Februari

    22/02/2022 TotalEnergies Kuendeleza Valentine Hadi Tarehe 27 February Japo Sikukuu ya wapendanao, yaani Valentine Day, huadhimishwa kwa siku moja tuu, siku ya tarehe 14 ya Mwezi Februari kila mwaka, lakini ili kueneza upendo zaidi na zaidi kwa Watanzania, Kampuni ya mafuta ya TotalEnergies...
Back
Top Bottom