tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Hans: Simba wakipoteza mchezo wa tarehe 19 (Derby) hapo ndio basi tena

    "Matokeo haya ya Simba dhidi ya Coastal Union yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana, kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyo….lakini kama watakubali kupoteza basi watajikuta nyuma ya Yanga pointi 5 (kama Yanga watashinda kiporo). Mnaweza kusema...
  2. Manyanza

    Tarehe 03 October siku ya Boyfriend Duniani

    Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume.
  3. Waufukweni

    LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
  4. Lycaon pictus

    Tarehe 30/9 ni siku ya tafsiri duniani. Chukua zawadi yako

    Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani. Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na hujulikana kama baba wa watafsiri/wafasiri. Chukua zawadi yako hapo. Usisahau kuinstall app ya...
  5. Abraham Lincolnn

    CHADEMA ijifunze; Kuomba/Kupanga tarehe maalum ya maandamano ni sawa na Kinjekitile kumuomba Mjerumani ruhusa ya vita!

    Kinjekitile: mheshimiwa Gavana Tunaomba tuandamane Gavana: Oh karibu Kinjekitile: Ahsante, kama ulivyosikia, tunataka tuandamane Gavana: Bwana Kinje, kwanini Mnataka kuandamana? Kinjekitile: Tumechoka kuwa Watumwa...
  6. tamuuuuu

    Yah:kuibiwa usiku wa tarehe 3.09.2024

    Wakuu mimi bado masikini,nipo napambana najitafuta.Kwa muda mrefu nimejichanga kutafuta ka mtaji nikapata. Nikatafuta kasehemu nikafungua local grocery,yani ni ya kawaida sana.Biashara ikaanza kwa mwitikio mzuri tu si haba. Siku kadhaa baada ya kuanza,mama mwenye nyumba ambaye anaishi hapohapo...
  7. F

    Nguvu ya CHADEMA imeonekana nchi nzima na hofu ya vyombo vya dola ni kubwa sana. Je huu ni ushindi kabla ya mechi?

    Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania. Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au...
  8. Mshana Jr

    Kuelekea Maandamano ya Maombolezo Septemba 23: Je, Mamlaka Zimejiandaa?

    Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda. Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
  9. mirindimo

    USHAURI : CHADEMA IHAMISHE LOCATION YA MAANDAMANO HALAFU ISOGEZE TAREHE

    Nashauri Chadema isogeze mbele halafu itoe location mpya watu wasafiri wakaungane huko wawaache askari na farasi na magari yao Dar waendelee na mkutano na maadhimisho ya Amani
  10. sinza pazuri

    Diamond Platnumz kuisimamisha nchi kuachia wimbo wa kimataifa tarehe 23 September 2024

    Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa. Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa. Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi...
  11. Abraham Lincolnn

    Hii ndiyo route itakayotumika katika maandamano ya 'Samia Must Go' tarehe 23/09/2024

    Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni
  12. Beira Boy

    Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

    Aman iwe nanyi wana wa MUNGU Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana FFU wakiwa wanalinda...
  13. Chachu Ombara

    SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

    Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
  14. Shooter Again

    Naunga mkono maandamano ila Mbowe na Lissu nao wawe mbele na familia zao tarehe Septemba 23

    NAUNGA MKONO MAANDAMANO ya tarehe 23 ila Kwa Sharti Moja: Mbowe, Lissu na Familia Zao Wawe Mbele Katika maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23, naunga mkono juhudi hizi za kidemokrasia. Hata hivyo, kuna sharti muhimu: viongozi wetu, Mbowe, Lissu, na familia zao wanapaswa kuwa mstari wa...
  15. Vichekesho

    Maandamano ya tarehe 23 yafanyike hivi

    Kwa jinsi hali ya mambo inavyokwenda, napendekeza kuwa wananchi wote wa TANGANYIKA tuandamane tarehe 23 kwa utaratibu huu. 1. Tumchangie nauli dada yetu Mange Kimambi aje nchini kuongoza maandamano. 2. Nyuma yake afuate Mbowe, Lissu, Mnyika na viongozi wa ngazi za juu. 3. Nyuma yao wafuate...
  16. Blender

    Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

    Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
  17. navigator msomi

    Wadau mimba ya tarehe 17 mwezi wa 12 mtoto anazaliwa lini?

    Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida. NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
  18. Komeo Lachuma

    Tetesi: Tarehe 23/09/24 Wanajeshi watafanya usafi

    Maana wao wanakuwa kama maafisa usafi wa Jiji. Haya mambo utayasikia tu Afrika. Ulaya na Marekani ni ngumu.
  19. Lupweko

    Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

    Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu. Anachosema: 1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M...
  20. daydreamerTZ

    Natafuta gazeti la Habari Leo la tarehe 04/08/2024

    Habari ndugu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye gazeti la HABARI LEO la Leo tarehe 04/09/2024 anisaidie jambo. Nimepoteza vyeti vyangu vyoye vya elimu hivyo ilinipasa kuandaa tangazo kwenye gazeti na Leo ndiyo siku tangazo hili limetoka lakini kwa bahati mbaya nikapatwa na msiba hivyo...
Back
Top Bottom