tarime

  1. U

    Taarifa ya Mkutano wa Injili Mubashara Kutoka Nyamongo Tarime Kanisa la Waadventista Wasabato Kewanja

    Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima Mungu kwanza mengine baadaye
  2. Erythrocyte

    Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

    Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa . Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja...
  3. B

    Bomoabomoa yaingia Tarime, wazee na wajane hatarini

    13 August 2021 Tarime, Mara Tanzania BOMOABOMOA YAINGIA TARIME, WAZEE NA WAJANE HATARINI Wakaazi washangaa kwanini TARURA wanataka kubomoa nyumba ambazo zipo ktk mji wa Tarime wakati kuna option / mbadala wa kutengeneza by-pass / barabara kupita nje kidogo na kuziacha nyumba hizo kama kuna...
  4. Idugunde

    Jembe kiboko lilimaliza CHADEMA likifundisha watoto wa wapiga kura Tarime

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni. #NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
  5. N

    Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini anayekabiliwa na kesi ya mauaji aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Simon K pamoja na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya mauaji namba PI RM (MURDER) CASE NO. 4/2021 wameachiwa kwa dhamana hapo jana mjini Musoma. Jambo ambalo limewashangaza watu wengi kwani inajulikana wazi kuwa kesi hiyo haina dhamana. Hata hivyo mke...
  6. C

    Rais Samia, tunaomba Wakuu wa Wilaya wa Tarime na Rorya watoke vyombo vya ulinzi na usalama

    Mh Rais kwa asili ya watu wa haya maeneo fujo, ubabe na kulindana pia hizi wilaya kuna baadhi ya wakulima wa bangi ,watumiaji na wasafirishaji na wizi wa mifugo, uvamizi na unyang'anyi wa kutumia silaha na ikizangatia haya mambo yanahusisha na nchi jirani (mpakani) Naomba ubadilishe mkuu wa...
  7. U

    Ukarimu Tuliopewa na Wakwe zetu kutokea Tarime tulipoenda peleka posa ni wakutukuka sana

    Wadau wa JF Hivi karibuni tulitembelea Tarime kwa ziara maalumu ya kutoa posa Nafurahi kuwajulisha Mchakato wote umekamilika ipasavyo na wahusika wanafurahia ndoa yao Niwashukuru kwa dhati Wakwe zetu kwa ukarimu mkubwa waliotuonyesha hususani kwa upande wa chakula Tulikula kila aina ya...
  8. K

    Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya...
  9. Erythrocyte

    Video: Kiongozi Mshamba wa UVCCM Tarime atangaza kipigo kwa wapinzani, wala hajaguswa na Polisi

    Ushahidi huu hapa .
  10. N

    Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria

    MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI. Tarime, 16 May 2021 Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
  11. N

    Sirari-Tarime: Inadaiwa Askari wa Kenya Wamewashambulia Wafanyabiashara wa Mahindi, baadhi wamejeruhiwa kwa Risasi

    Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo. Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital. Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na...
  12. Idugunde

    Mwita Waitara apokelewa na maelfu ya wapiga kura wake, hii ni uthibitisho kuwa aliiangusha ngome ya CHADEMA Tarime

    Mbunge wa tarime vijijini na naibu waziri wa ujenzi amelakiwa na wapiga kura wake huku wakisema ni mbunge wa kuigwa na kutiliwa mfano, tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema. Hii ni uthibitisho kuwa ushawishi wake na nguvu zake kisiasa ziliisambaratisha ngome...
  13. Idugunde

    Naibu Waziri Mwita Waitara akagua kazi za ujenzi mkoani Mara

    Leo amekagua sehemu mbali mbali mkoani Mara ambazo zinafanyiwa ukarabati baada ya kuharibika sababu ya Mvua. Huyu ndie jembe aliesambaratisha iliyokuwa ngome ya Chadema Tarime. Bigup Waitara piga kazi
  14. beth

    Watatu wafariki baada ya kutumbukia mtoni Tarime

    Watu watatu wamefariki dunia wilayani Tarime mkoani Mara kufuatia daraja la mto Msati uliopo katika barabara kuu ya Sirari - Mwanza kuvunjika na kisha kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani hapa. Akizungumza kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...
  15. School face

    Tarime kama Tarime

    Habari wana Jf, Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu. Nimetembelea tarime mjini na vijijini kwa muda sasa lakini nimestaajabishwa kuona kila hotel kubwa au ndogo ya mjini au vijijini. Unapokua umeagiza msosi unaletewa kwenye sahani za plastic mwanzo niliona kama kitu cha kawaida...
  16. Supu ya kokoto

    Wizara ya Elimu na Uhamiaji Tarime mnajua kuhusu hili?

    Wasalaam, Niende kwenye hoja moja kwa moja. Watumishi karibia wote wa shule ya msingi HEAGTON iliyoko sirari hawana vyeti vinavyotambulika? Watumishi 11 kati ya 13 wanadaiwa sio Watanzania na hawana nyaraka za kufanya kazi Tanzania. Je, uhamiaji Tarime mnalijua hilo au hizo ndizo posho zenu...
  17. britanicca

    Walimu Tarime wanajisaidia Guest House wakati serikali inanunua madege

  18. Papaa Mobimba

    Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

    Waziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi Yassini...
  19. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Mara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mara una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni Bunda Mjini: Robert Maboto(CCM) - Kura 31,129...
  20. D

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

    Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
Back
Top Bottom