Habari wana Jf,
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu. Nimetembelea tarime mjini na vijijini kwa muda sasa lakini nimestaajabishwa kuona kila hotel kubwa au ndogo ya mjini au vijijini.
Unapokua umeagiza msosi unaletewa kwenye sahani za plastic mwanzo niliona kama kitu cha kawaida...