Mtia nia wa Ubunge jimbo la Tarime mjini, Ndugu Dittu Manko muda huu yuko Kata ya Kenyamanyori, amezungumza na wajumbe na kuwagawia rushwa ya 10,000 kwa kila mjumbe.
MWENYEKITI UVCCM TARIME APEWA MILIONI 30 KUFANYA ZIARA KUMBEBA MWITA WAITARA NA GERALD MARTIN KUELEKEA KURA ZA MAONI TARIME MJINI NA VIJIJINI
Uongozi wa UVCCM Tarime umeamua kuchukua mkondo wa kuegemea kwa watia nia, na tayari wameunda timu yao wanayoiita chaguo la vijana kuelekea mchakato wa...
🎙”Taarifa: Kamanda @IAMartin_ amekamatwa na @tanpol usiku wa kuamkia leo Alhamis Mjini Tarime na mpaka sasa haijajulikana sababu za kukamatwa kwake.”- @PatricOleSosopi
#FreeMartinMaranja
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, kambaka Binti mwenye umri wa miaka 16 ambaye alikuwa akifanya kazi ya kukusanya mapato katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime Kama kibarua.
Inasemekana siku ya tukio Mkurugenzi alimchukua binti huyo waende naye Musoma akidai Baba yake yuko Musoma...
Kiukweli Mwita Waitara hafai kabisa kuwa mwakilishi wa wananchi popote pale Tanzania na duniani kwa ujumla.
Mwita Waitara ambaye ni Naibu waziri tena Ofisi ya Rais amewatelekeza wapiga kura wake na sasa wanakufa hovyo kwa mafuriko baada ya madaraja karibia yote kubomoka jimboni kwake Ukonga...
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.
Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.
Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
Kuna vijiji ukipita huko tarime unaweza hisi awako tanzania wako na nchi yao
Hivi vijiji kuna mashamba mengi na kwa pembeni mtaona miwaa imezunguka
Ukibahatika kuingia ndani unaweza dondoka gafla n bangi za kufa mtu
Siohilo wananchi wamefikia hata kuvuna bila uwoga na kupeleka mzigo mpaka...
Wafanyabiashara walipewa notisi na Halmashauri ya Mji wa Tarime juu ya kuvunjwa vibanda vyao ili kupisha ujenzi wa soko la kisasa. Pamoja na hayo walitakiwa kulipwa fidia ya vibanda vyao kitu ambacho Halmashauri ya mji wa Tarime hakikufanya.
Wenzao wa Geita walipovunja mabanda katika mji wa...
Siku 7 zilizopita kuna thread ililetwa hapa ikitoa taarifa kuwa wanaCCM wote wa tawi la Kiterere kata ya Bumera katika jimbo la Tarime wamejiunga CHADEMA baada ya aliyekuwa kiongozi wa kijiji kwa tiketi ya CCM kukatwa jina lake katika kura za maoni ya kuchagua wagombea kwa tiketi ya CCM.
Thread...
Rais Magufuli alitoa agizo la kuwataka DEDs wa halmashauri zilizo vijijini lakini wenyewe wanaishi mjini kuhamia maeneo yao ya kazi ndani ya siku 30 na mwisho ni tarehe 07/11/2019.
DED wa Tarime vijijini ameshafungasha virago na tayari yuko kijijini na amewataka watumishi wote kuwa wamehamia...
An open letter to His Excellency, President John P. Magufuli, President of Tanzania
WATER, WATER EVERYWHERE - BUT NO WATER FOR THE RESIDENTS OF TARIME, TANZANIA?
In our Holy Bible: Ecclesiastes 1:9
That which has been, is that which will be, And that which has been done, is that which will be...