tasnia ya habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tasnia ya habari jaribuni kua serious kidogo

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wana JF. Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema, wewe ambae unapitia changamoto moja au nyingine Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uweze kukabiliana nayo. Back to the topic. Leo katika kuperuzi mtandao wa Youtube nimekutana...
  2. Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

    Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously? Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi? Aibu sana kama...
  3. Deodatus Balile acha kudhohofisha uhuru wa tasnia ya habari, nyie sio kondoo wa Waziri au Serikali

    Nimemsikia Balile anasema waziri wa habari Jery Silaa ni mchungaji wao na wao vyombo vya habari ni kondoo wake waziri! Haya ni maajabu na hii ni kauli ya hovyo sana. Utaiwajibishaje serikali kwa mtazamo kama huu?! Huyu mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania(TEF) ni kama haielewi kabisa...
  4. Waandishi wana njaa mnategemea wataacha kuwa makanjanja na mchawa? Walipeni muone kama watalamba miguu yenu

    Wakuu habari yenu Kuna jambo ameongea Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akitahadharisha kuhusu athari ya teknolojia katika tasnia ya habari nchini, akisema inaweza kusababisha kuibuka kwa watu wasio na ujuzi wa kitaaluma "makanjanja" wanaoeneza taarifa za propaganda...
  5. Prof. Adolf Mkenda: Tasnia ya habari iko hatarini kwa makanjanja

    WAZIRI wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda, ametahadharisha kuwa kuna hatari kubwa teknolojia ikawaleta makanjanja wengi kwenye tasnia ya habari ambao hawana elimu na masuala ya habari kama hatua hazitachukuliwa haraka. Amesema makanjanja hao wataonekana wao ndio wasemaji wa...
  6. Je tasnia ya habari imejiandaa na Program za Akili Bandia (Generative Artificial Intelligence) zenye uwezo wa kutengeneza Fake News and Misinformation

    Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji...
  7. P

    SoC04 Bahari ya maarifa: Safari ya Prince kuelekea Tanzania tuitakayo katika maendeleo ya tasnia ya habari na mawasiliano

    Katika pembe ya kusini mwa Tanzania, katika kijiji kidogo kilichofichwa na milima na misitu, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye Prince. Prince alikuwa na ndoto kubwa ya kuleta mageuzi katika tasnia ya habari na mawasiliano nchini Tanzania. Aliamini kuwa kupitia nguvu ya habari na mawasiliano...
  8. Mpaka sasa WASAFI TV na FM sijui wapo kundi gani upande wa tasnia ya habari

    Ni jambo zuri kuwa na ongezeko la vyombo vya habari ila kuongezeka kuna takiwa kuwe na utofauti sana ili ukiangalia au kusiliza unajua kilichokupeleka. Wasafi Tv na FM bado wanashida kwenye kujitofautisha yani uwezi kuelewa wanataka nini kama ni kwa ajili ya burudani,michezo,habari au mambo...
  9. Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Wanahabari, Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo. Inaweza ikawa ni kawaida au isiwe kawaida hasa tukifanya ulinganifu na tasnia nyingine ambazo ni siasa...
  10. Happy Birthday Tido Muhando, mwamba imara kwenye tasnia ya Habari

    Alianzia redio ya Taifa, Radio Tanzania Dar Es Salaam, kabla ya kuelekea Kenya ambako alifanya kazi kwa miaka mingi kabla ya kujiunga na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC katikati ya miaka ya 1990. Mojawapo ya maswali aliyoomuuliza Rais Magufuli ilikuwa kuhusu Demokrasia nchini na...
  11. EFM na WASAFI Wanadhalilisha Tasnia ya Habari nchini

    Hawa watu ukifuatilia Kwa ukaribu wanachofanya siyo sahihi kabisaa Mimi Sina taaluma ya Habari na mawasiliano Kwa uzoefu wangu Katika kufuatilia mambo haws jamaa wako OP kabisaa. 1. Wafanyakazi wao wengi siyo profesional kabisaa ni wa mjomba kamlete 2. Hawako serious Katika kuchambua mambo...
  12. N

    SoC02 Vyombo vya Habari na sheria nchini Tanzania tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani

    VYOMBO VYA HABARI NA SHERIA NCHINI TANZANIA Tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani, vyanzo vya habari vikuu vilikuwa ni Televisheni, Redio na Magazeti. Ila kutokana na ukuaji wa teknolojia na utandawazi kwasasa kuna vyanzo vya habari vya...
  13. Tasnia ya habari imejaa wafanyakazi wasio na weledi

    Hello Wakuu, Leo katika pita pita zangu Nimepita katika Page ya Kituo kimoja cha Radio huko mtwara. Nimekutana na hii Habari iliyoandikwa na kupostiwa kwenye page yao kama nilivyo ambatabisha picha hapo chini. Kwa kweli Uandishi wa aina hii ni Aibu kwa tasnia ya Habari.
  14. Suphian Juma: Sijaitupa tasnia ya habari

    SIJAITUPA TASNIA YA HABARI. Kuna watu walipendezwa mno na kipaji changu katika tasnia ya habari, na hivyo kunisihi kutoacha kufanya jambo licha ya kuendelea na tasnia ya siasa sasa... Jamani Ahsanteni sana kwa kunijali; namalizia maandalizi ya kuanzisha Online TV yangu nitakayoajiri vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…