tasnia

Nuzhat Tasnia (born 31 December 1996) is a Bangladeshi cricketer. In November 2021, she was named in Bangladesh's team for the 2021 Women's Cricket World Cup Qualifier tournament in Zimbabwe. In January 2022, she was named as one of three reserve players in Bangladesh's team for the 2022 Commonwealth Games Cricket Qualifier tournament in Malaysia. The following month, she was named as one of two reserve players in Bangladesh's team for the 2022 Women's Cricket World Cup in New Zealand.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Wanyiha ni Madirector wazuri wa Tasnia ya Umiss! Nazimizye Mdolo Mwafrika wa kwanza kushinda Miss Grand International Best Director

    Hakika historia imeandikwa nchini Thailand! Tanzania haikutwaa tu taji kuu la urembo la dunia kupitia kwa Jihan Dimack bali imeweka rekodi nyingine kubwa upande wa usimamizi na uongozi wa tasnia hii hapa nchini na barani Afrika kwa ujumla. Mkurugenzi wa Miss Grand Tanzania, Nazimizye Adam...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jamiiafrica inapaswa kuwa mstari wa mbele kukuza teknolojia za ndani wao ni walezi na wakongwe kwenye tasnia

    JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana.

    Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Muziki na Mastaa wake. Sasa tukilinganisha na yeye ya Pdid na RKelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata baadhi ya wana muziki wa kiulizwa kama wangependa watoto wao waje kuwa wana muziki wanakataa. Mnaoijua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

    Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Mziki na Mastaa wake. Sasa tukihusianisha na yale ya Pdid, R Kelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata baadhi ya wana muziki wa kiulizwa kama wangependa watoto wao waje kuwa wana mziki wanakataa. Mnaoijua...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Makonda anataka kuifikisha wapi tasnia ya habari?

    Nimemsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda akizungumza na watumishi wa Wizara yake baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dodoma Januari 13, 2026. Katika hotuba yake, Makonda aliyekuwa Naibu Waziri akisaidiana na Khamisi Mwinjuma (Mwana FA) chini ya...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii sijui watumie njia gani kujirudi kwa wananchi. Wanajikuta wanaua tasnia kwa karanga za kuonjeshwa

    Wakuu! Wasanii tuwasamee au tuendelee kushikilia hapohapo mpaka kieleweke?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Tasnia ya filamu Tanzania

    Kwa mwenendo wa movie za kibongo kukosa radha kwenye vitu vya uhalisia ....mimi nimeamua kula course baadae niwe na movie production ambayo itakuwa advanced na inaweza kutengeneza movie za aina zote kwa mwonekano wa uhalisia kama wazungu Tutakuwa na uwezo wa kutengeneza movie zenye mwonekano...
  8. JamiiForums Tanzania Tasnia ya habari jaribuni kua serious kidogo

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wana JF. Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema, wewe ambae unapitia changamoto moja au nyingine Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uweze kukabiliana nayo. Back to the topic. Leo katika kuperuzi mtandao wa Youtube nimekutana...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

    Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously? Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi? Aibu sana kama...
  10. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

    Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mtaani na kwenye social media CCM imesahaulika kabisa wiki hii kwenye tasnia ya siasa wakati habari za CHADEMA zikitawala.

    Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo linasemwa kuwa linonesha hali halisi ya nguvu za vyama hivi vya siasa hasa CHADEMA ambayo habari zake...
  12. JamiiForums Tanzania Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

    Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Waandishi wana njaa mnategemea wataacha kuwa makanjanja na mchawa? Walipeni muone kama watalamba miguu yenu

    Wakuu habari yenu Kuna jambo ameongea Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akitahadharisha kuhusu athari ya teknolojia katika tasnia ya habari nchini, akisema inaweza kusababisha kuibuka kwa watu wasio na ujuzi wa kitaaluma "makanjanja" wanaoeneza taarifa za propaganda...
  14. JamiiForums Tanzania Unawafahamu watu hawa katika tasnia ya mziki aina ya mnanda ISIYAKA a.k.a kwala rumpa na salma miwanja?

    Hivi wako wapi? Salma Miwanja mcheza mnanda maarufu miaka ya 90 na Isiyaka a.k.a Kwala rumpa mpiga ngoma za mnanda enzi hizo? Kwa anaefawahamu ama kujuwa walipo naomba anijuze tafadhali nina shida nao watu hawa kama bado wapo hai?naimani kwa wakongwe wa miaka hyo wanawafahamu balaa lao na vituko...
  15. JamiiForums Tanzania Kama tasnia ya Bongo muvie ingekuwa na wasomi

    Filamu za bongo movie zimekosa mvuto kabisa hii ni kutokana na kutawaliwa na watu wanaoona kipaji ndo kila kitu. In fact kipaji bila maarifa ni kazi bure, Huwezi kuwa na idea za kuteka maskio na macho ya watu wala huwezi kuwa na creativity za kusisimua. Angalia jinsi filamu za kikorea...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Mtazamo mpya katika tasnia ya sanaa baada ya miaka mitano

     IKISIRI Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za binadamu. Kwa mujibu wa Mulokozi (2017), anaianisha aina tatu za Sanaa ambazo ni sanaa ghibu (Muziki na mashairi), sanaa za maonesho (uchoraji, ususi na ufinyanzi) na Sanaa za vitendo (maigizo na tamthiliya). Katika andiko...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Ukasuku wa matabibu katika tasnia ya Afya dhidi ya magonjwa sugu na ya kuambukiza; Suluhisho mbadala katika ujenzi wa Tanzania mpya

    TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini. Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu katika Kamusi, lakini kwa madhumuni ya bandiko hili, neno "tabibu" litumie tafsiri niliyoitoa hapo...
  18. JamiiForums Tanzania Media inayojitambua kupewa Maelekezo ya Kiutendaji na Rais wa Nchi ni Dharau ya moja kwa moja kwa Tasnia na Kufifisha pia Uweledi wao

    Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii na waburudishaji watahitaji kuwa wabunifu zaidi na kubadilika ili kukidhi mahitaji na matarajio ya hadhira inayobadilika

    UTANGULIZI Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia, mabadiliko ya kijamii, na mienendo ya kiuchumi. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo: Teknolojia na...
  20. JamiiForums Tanzania Je tasnia ya habari imejiandaa na Program za Akili Bandia (Generative Artificial Intelligence) zenye uwezo wa kutengeneza Fake News and Misinformation

    Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…