tathmini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kesi ya Mbowe: Tathmini na Mwenendo

    Clip inawaonesha washitakiwa mahakamani buheri wa afya na nyuso za bashasha: Haiyumkiniki faulo zote ni dhahiri zaidi kwao kama watendwa. Yawezekana psychologically wako set wanajua nini watesi wao wamepanga. Mashahidi Kingai, Anita, Mahita na sasa Jumanne wote wanaongelea ukamataji tu...
  2. H

    SoC01 Umuhimu wa kuwa na mfumo wa ufuatiliaji na tathmini matokeo katika kujenga Uwajibikaji na Utawala Bora (Result-based monitoring and evaluation system)

    Mataifa mengi duniani yamekumbwa na msukumo wa nje na hata wa ndani wa kuleta mabadiriko katika uongozi wa uma. Na madai ya kuataka mabadiriko yanatoka katika vyanzo mbalimbali ikihusisha Wananchi , Asasi za kiraia , vyombo vya habari na vyama vya upinzani.M ara nyingi madai yao yamejikita...
  3. T

    #COVID19 Tathmini yangu juu ya muenendo wa chanjo ya COVID-19 Tanzania

    Leo wizara ya Afya imetangaza kuwa hadi jana, tarehe 14, jumla ya watu 207,391 wamechanjwa kati ya chanjo 1,008,400 tulizoletewa na watu wa Marekani. Chanjo zilizinduliwa rasmi tarehe 28 July, 2021, karibu wiki 3 zilizopita. Tathmini yangu inajikita kwenye muitikio wa watu kuchanjwa. Leo hij...
  4. blance86

    Dotto Bulendu: Tathmini yangu juu ya mahojiano kati ya BBC na Rais Samia Suluhu

    Tathmini yangu ya juu ya mahojiano kati ya BBC Na Rais Samia Suluhu Hassan. Na Dotto Bulendu (MwanaPuge).Nikiandika kutoka kijijini Puge. @@@@@@ BBC wamefanikiwa kuongeza umaarufu wao Kwa Siku ya jana Kwa Maana ya Idadi ya watu wanaowasikiliza na kuwatazama kupitia Vyombo vyao vya Redio,TV na...
  5. Matojo Cosatta

    Tafsiri potofu ya tathmini ya Ibara ya 36 (2) ya katiba kuhusu uteuzi wa Rais wa Mtendaji Mkuu wa TANROADS

    TAFSIRI POTOFU YA JF MEMBER NDUGU TATHMINI YA IBARA YA 36 (2) YA KATIBA KUHUSU UTEUZI WA RAIS WA MTENDAJI MKUU WA TANROADS. 1. UTANGULIZI. Ndugu yangu Tathmini ambaye ni Member mwenzangu wa JF amekosoa vikali makala yangu hapa JF yenye kichwa cha habari kifuatacho; ( Rais Samia ana mamlaka ya...
  6. Naanto Mushi

    Suala la Serikali kununua Ndege na suala la Dewji kununua hisa za Simba yana ufanano wa maamuzi yanayofanyika bila tathmini ya kifedha

    Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile ilivo mtu unavoenda dukani kununua mkate, mnunuzi unahitaji mkate ili ukanywe chai na muuzaji...
  7. Miss Zomboko

    Serikali kurejesha leseni kwa maduka ya kubadili fedha yatakayokidhi tathmini inayofanyika

    WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, ameagiza wataalamu wa wizara hiyo kufanya tathmini ya maduka ya kubadilisha fedha na kurejesha leseni kwa wenye vigezo ambao awali walifutiwa. Katika mahojiano na Kituo cha Azam TV jana, Dk. Nchemba alisema kwa sasa wanafanya tathmini mpya...
  8. B

    Utani wa CCM na Vyama vya Upinzani unachekesha na kuleta hasira

    Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no. Fomu za wagombea wa upinzani, ofisi zina fungwa , mkurungezi kakimbia ofisi, nimevamiwa nyumbani...
  9. B

    Tathmini: Katiba mpya tulipo na tunakokwenda

    Kama ni kipyenga tayari kimekwisha pigwa. Mtizamo wa serikali unajulikana kama ulivyo kwa sasa wa CHADEMA. Hadi sasa haipo tarehe wala uelekeo wa lini Rais anaweza kukutana na Chadema kama chama. Ni wazi kuwa msimamo wa serikali haukuwa wa bahati mbaya. Ambapo hakukuwa na sababu ya...
  10. Mshana Jr

    Ipi tathmini yako kuhusu siku 100 za Rais Samia madarakani?

    Mama katimiza siku 100 madarakani baada ya kifo cha Magufuli Ukiachana na kicheko kwa wafanyakazi weka tathmini yako ya haki hapa Alikopatia Alikokosea Alikochapia Alikozembea Alikokurupuka Weka projection yako na ushauri wako kwake. Anatusoma a ametuasa tusikosoe tu na kujibishana mitandaoni...
  11. M

    Tathmini ya kazi iendelee: Tuanze na makusanyo ya kodi

    Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
  12. S

    Tukikamilisha miradi ya Stiegler's Gorge na SGR pekee. Ona habari hii na fanya hesabu kuhusu sisi kuendelea kukopesheka na utathimini tunaelekea wapi

    Jumatano iliyopita, Kampuni ya Arab Contractors ya Misri na Shirika la Umeme nchini (Tanesco), walisaini mkataba wa ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kwenye Mto Rufiji, maarufu kama Stiegler’s Gorge. Utilianaji huo wa saini ulifanyika Ikulu, Dar es Salaam. Rais John Magufuli na Waziri Mkuu wa...
  13. Zurie

    Andiko la Prof. Mwalyosi la 2009 kutumika kama tathmini ya mazingira Stiegler's gorge; watakaopinga kufungwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bw. Kangi Lugola amesema Bungeni siku ya Jumanne Mei 22 kuwa 'pepa' iliyoandaliwa na Prof. Raphael Mwalyosi kutoka IRA UDSM ya mwaka 2009 itatumika kama tathmini ya athari za kimazingira za ujenzi wa bwawa la Stiegler's. Amesema, " Kwa...
Back
Top Bottom