tatizo la ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Serikali iondoe Kodi kwenye uingizaji wa mashine za uzalishaji, ili kupunguza tatizo la ajira

    Vijana wengi wapo idle hawana kazi wana bet tu Naomba serikali iondoe Kodi kwenye uingizaji wa mashine za uzalishaji Vile vile Kuna ukiritimba wa uagizaji hasa wa zana za kilimo na pembejeo, Kuna matajiri wanapata vikwazo wakitaka kuagiza, maana Kuna viongozi wa serikali ndo wana hiyo nafasi ya...
  2. M

    Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

    Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema. Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana No need...
  3. Eli Cohen

    Kama ni wewe ni graduate na bado hujapata ajira, basi fanya shughuli zifuatazo

    Kimbia kajifunze ufundi wa ku-design gypsum boards, tv show case outlook, outlook ya kisasa ya maduka na interior design nyingine kwa pamoja. Kimbia kajifunze mji ulivyo, zunguka utafute nyumba, acha vipeperushi vya namba yako kuwa wewe ni dalali, kaa kitaa na wana upate dili za viwanja na...
  4. W

    Watoto walazimishwe kuanza hustling likizo na weekends, Kizazi cha vijana wa sasa jobless ni matokeo ya kusoma sana wakati hakuna ajira za kutosha

    Zile zama za kuwa na uhakika wa ajira ukiwa na elimu zilishapita kitambo sana. Hali imebadilika mostly kuanzia 2010 soko la ajira za kisomi limekuwa gumu sana, Ajira nyingi inabidi uwe na CONNECTION aidha uwe na mtu wa kukushika mkono au umjue wa kumpa rushwa uingie, Ni kweli wapo wanaoingia...
  5. Bulelaa

    Teuzi zinaendelea, Wastaafu wanaendelea kulamba asali huku wahitimu wakiendelea kulia mabarabarani

  6. M

    Tatizo la ajira lingetangazwa kama janga tu , inawezekanaje ajira 14648 za walimu ziombwe na watu zaidi ya laki mbili

    Nimeshituka sana tangu Jana kuaona ajira za walimu na idadi ya walioomba , kumbuka anayesoma ualimu ni either 1. Mtoto wa maskini 2. Uwezo mdogo shuleni 3. Kama hayo mawili hayapo Basi alikumbwa na matatizo flani kwenye maisha, mimi ni mwalimu ualimu hauwezi kuwa kimbilio , hii idadi ya...
  7. Kinghanje

    DOKEZO Tatizo la Ajira Tanzania linavyotumiwa na watu kutapeli vijana

    Hili ambalo kiongozi ACT wazalendo, amelizungumzia akribani mwaka sasa umepita BADO LIPO LINAENDELEA MAENEO YALE YALE mwenyewe ni muathirika na swala hili. Jamani eeh hii bado Inaendelea na Ni maeneo hayo hayo. Mm nimetoka kupigwa juz hpa. Nmesafiri from Njombe to dar. Maeneo hayo, nlipata...
  8. R

    Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania

    Habari za asubuhi wanajukwaa. Nikisikiliza habari za magazetini leo nimesikia eti makamu wa Rais Dk. Mpango amewataka wanaofanya utafiti watafiti tatizo la ajira kwa vijana limeanzia wapi. Kama mpaka leo kama kiongozi hujajua kama tatizo kubwa ni nani bora kunyamaza kuliko kuongea kauli kama...
  9. Riskytaker

    woga na kuogopa mabadiliko vipo sambamba na watanzania

    Leo Tanzania vijana hawana ajira,mishahara kiduchu, gharama za maisha zipo juu watu wanatekwa wanauwa,ushoga n.k Leo uliza mshahara wa hawa askari wanaoranda mitaani kuzima maandamano lakini akuna anaehoji tunazibwa midomo na mbinu ndogo kama goli la mama Duniani huko vijana wanakiwasha kudai...
  10. J

    MJADALA: Je, unapendekeza Serikali na Sekta Binafsi zifanye nini cha tofauti ili kuondoa tatizo la ajira nchini?

    Takwimu za Benki ya Dunia na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Jamii na Uchumi (REPOA) zinakadiria takriban watu 800,000 hadi 1,000,000 huingia katika Soko la Ajira Tanzania kila Mwaka, ambapo wanaopata kazi ni kati ya 60,000 hadi 200,000 tu Je, unapendekeza Serikali na Sekta Binafsi zinafanye...
  11. Riskytaker

    Kurundika mtaani 'ma-jobless' ambao wana taaluma zao kutaitoa CCM madarakani, ni suala la muda tu

    75% ya graduate wote wa tangu 2015+ wapo mtaani no ajira vijana wanamachungu sana Tatantarira za CCM zinakua nyingi huku wakirundika vijana mtaani bila kazi. Zaidi watu milion moja wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka halafu wanaoajiriwa hata elfu 50 hawafiki. Vijana wanajazana humo UVCCM...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Elimu ilikuwa mkombozi wa Wanawake na Vijana maskini lakini janga la ajira limewarudisha kulekule kwenye utumwa

    ELIMU ÍLIKUWA MKOMBOZI WA WANAWAKE NA VIJANA MASKINI LAKINI JANGA LA AJIRA LIMEWARUDISHA KULEKULE KWENYE UTUMWA Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Elimu ñdio ilikuwa ukombozi wakutegemewa na Wanawake waliowèngi na vijana kutoka familia maskini. Wanawake wengi hasa wale waliokuwa wanafanya...
  13. N

    Punguzeni tatizo la ajira kwa kidogo tulichonacho

    Tanzania bado ni nchi maskini ambao bado tunajitafuta. Na kuna upungufubwa ajira kwa kiasi kikubwa sanaa, hii inatokana kwa sababu serikali bado hawajawa serious katika hili. Nimeandika story of change Lakini nataka leo nitolee namna ambavyo kuna watu wamesoma civil engineering ngazi ya...
  14. Morning_star

    Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

    Darasa la saba ulipata wastani wa "A" na ukakosa fursa ya kwenda kidato cha kwanza? Kidato cha nne ulipata Division ONE na hukuchaguliwa kwenda Alevel au vyuo (kama ulichagua vyuo)? Alevel ulipata Division ONE ukakosa fursa ya kwenda Chuo Kikuu? Chuo Kikuu ukapata GPA ya "First Class" au "Upper...
  15. Visa nevermore

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Tatizo la ajira lifike kikomo

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Kama lilivyo tamu kulitamka jina la nchi yangu Tanzania ndivyo ninavyotamani kuona mabadiliko ya kijamii na kichumi kwa ujumla viwe na ladha hiyo ya utamu. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wasomi wasio na ajira tangu mwaka 2015 hii Kutokana na sera na mabadiliko...
  16. D

    SoC04 Utendaji kazi katika taasisi za serikali ufanyiwe mabadiliko hasa katika kupeana muda wafanyakazi kila baada ya miezi 3 ili kupunguza tatizo la ajira

    Suala la ajira limekuwa tatizo kubwa sana nchini na ukiangalia kila kukicha watu wanaongezeka na wengine kujikuta wakiwa katika msongo wa mawazo licha ya kuwa na elimu lakini wanashindwa kuhimili hali ya kimazingira na ushindani uliopo hivyo kupelekea wengine kujiua na wengine kukata tamaa, hii...
  17. M

    SoC04 Jinsi Tanzania Inavyoweza Kushirikiana na Sekta Binafsi na Jamii Kukabiliana na Tatizo la Ajira kwa Vijana

    Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili. Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
  18. Hofajr16

    SoC04 Ushauri kwa Serikali, Wazazi, vijana kuhusu kupunguza tatizo la ajira

    Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika ujifunzaji wa lugha za kigeni hususani lugha ya kichina katika kupanua soko la ajira kwa vijana...
  19. F

    Tanzania yangu na tatizo la Ajira kwa vijana

    Kumekuwa na wimbi kubwa sas ama kilio kikubwa juu ya kanga la ukosefu WA ajiraa miongoni mwa vijana wanao hitimu ngazi mbali mbali za elimi, na hata walioko mtaanii pia. Huku upande mwingine tukisikia wimbo wa Tanzania ni tajiri na fursa nyingi. Nini kifanyike? Kwa maoni yangu kwa miaka kadha...
  20. R

    SoC04 Uwekezaji kwenye sanaa na michezo kupunguza wimbi la tatizo la ajira

    Sanaa kwa kiasi kikubwa katika ukanda wetu wa bala la Africa kwa kiasi kikubwa imeanza kuwa sekta rasmi ambayo kama itawekewa mkazo kwa kiasi kikubwa sana inaweza kutoa ajira kwa watu wengi sana kwani cheni ya ajira kwenye sanaa ni kubwa sana kuanzia kwenye chimbuko ambalo ni kipaji cha mtu...
Back
Top Bottom